LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Kama spika kashavunja sheria ya kumrudisha mbunge aliyejivua uwanachama , kuna tatizo LA wabunge kuvunja sheria?Lissu anawadanganya wabunge wa Chadema wavunje sheria ili wakose ubunge km yeye
Kama WHO ndio iliwapeleka bungeni, wape kichwa tu, pesa zirudi haraka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjibu na la Mh Rais, Je, ni sawa kuwa Chato?Tundu acha kutetea utapeli, wanalipwa posho za kujikimu ili kuwawezesha kuhudhuria vikao vya bunge na si vinginevyo. Kujiweka karantini kuna taratibu zake na si mihemko ya Mbowe. Msigwa, Zitto wamekiri kuwa wapo Dar. Huu utapeli hata wewe uliutumia kukaa ubelgiji huku ukidai kulipwa stahiki za ubunge.
Rais Yuko wapi??Sio kesi Kama unaupenda uhai rudisha per diem.zikatumike kupambana na Corona kwa Nini unachukua milioni 110 unatokomea nazo gizani rudisha uwe CCM au chadema rudisha haraka .Hakuna Cha kuleana Wala kubembelezana kisa wewe CCM
Kachukue buku 7 yako, ushaingiza sikuYeye mwenyewe aliliwa kichwa kimasiharasihara tu hivi Leo hii anashauri wenzake! Tunatofautiana akili.
Tanzania anachapa kaziRais Yuko wapi??
Kila nikijaribu kitetea serikali yangu naulizwa kwann raisi hayupo ikulu? Hili swali huwa najikanyaga sana kulijibu maana kwa kweli sijui kwann yupo kule.
Mbunge atalipwa posho ya kujikimu pale anapokuwa Dodoma kwa shughuli za Bunge na si vinginevyo. Sasa kama Mbunge anachukua posho ya kujikimu akiwa Lockdown Dodoma, je yupo kwenye shughuli za Bunge? Mbunge kachukua posho ya kujikimu anasingizia yupo Lockdown Dodoma lakini anazurura huku na kule, je Mbunge huyo ana uhalali wa kuchukua hizo fedha? Jibu ni rahisi tu, pesa ya wavuja jasho irudishwe bila mbwembwe za mapambio....!!!!Posho za kujikimu siyo kifungo cha mbunge kuhudhuria bunge, ni Haki kama mbunge kupewa hizo hela whether awepo au asiwe bungeni,Spika wenu ****** alichofanya ni kuupotosha Umma wa Watanzania kuwa wabunge wa CDM wamelipwa sitting allowance ambayo mbunge analipwa tu pale anapohudhuria vikao, Period
Huko aliko ndiko mahala anapotakiwa kuwa?? Au unajibu KIJIMA?Tanzania anachapa kazi
Wewe hujaelewaMbunge atalipwa posho ya kujikimu pale anapokuwa Dodoma kwa shughuli za Bunge na si vinginevyo. Sasa kama Mbunge anachukua posho ya kujikimu akiwa Lockdown Dodoma, je yupo kwenye shughuli za Bunge? Mbunge kachukua posho ya kujikimu anasingizia yupo Lockdown Dodoma lakini anazurura huku na kule, je Mbunge huyo ana uhalali wa kuchukua hizo fedha? Jibu ni rahisi tu, pesa ya wavuja jasho irudishwe bila mbwembwe za mapambio....!!!!
Kwahiyo Rais analipwa mshahara akiwa Chato?Mbunge atalipwa posho ya kujikimu pale anapokuwa Dodoma kwa shughuli za Bunge na si vinginevyo. Sasa kama Mbunge anachukua posho ya kujikimu akiwa Lockdown Dodoma, je yupo kwenye shughuli za Bunge? Mbunge kachukua posho ya kujikimu anasingizia yupo Lockdown Dodoma lakini anazurura huku na kule, je Mbunge huyo ana uhalali wa kuchukua hizo fedha? Jibu ni rahisi tu, pesa ya wavuja jasho irudishwe bila mbwembwe za mapambio....!!!!
Kwani umeambiwa raisi kahama makazi ya ikulu?Mnaochangia UZI huu anzeni kwanza kusoma katiba juu ya Rais, utendaji kazi na makazi yake, msijibu tu kwa sababu mmesoma jina la Lissu bila kuelewa alichokisema.
Sheria anavunja Rais tu, na wanaochukua posho na marupu rupu ya kibunge kwa kilaghai bila kufanyia kazi awavunji sheria?Kumbe kuna hiyo sheria ya Presidential Affairs Act of 1962, R.E 2002.
Kwa muktadha huo, Rais anavunja sheria makusudi alizoapa kuzilinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi kusema maana wao wanavunja sheria na kanuni lakini lissu kapepesa macho.Lisu nini kimempata? Alikuwa vizuri kwenye kutetea hoja. Kwa sasa anatumia makosa ya Mkuu kama Kinga kwa Wabunge wa Chadema. Ajipe mda kuna siku atakuwa sawa au kwa vile hashiriki kwenye vikao vya maamuzi inabidi tu atetee hata kama maamuzi hayako sawa. Wabunge jana tu watatu wamekiri wenyewe wako Dar. Kalantini wayayosema ni ipi? Per diem walochukua na wakati wako makwao wata claim vipi? Hayo ni machache tu ila asitumie Kwa mtu aliye Chato kama kinga ya kutetea. Mara zote wakishaongelea Posho huwa mnakuwa wapole sana.
Sent using Jamii Forums mobile app