ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Anazunguka kwenye Barabara zilizojengwa Kwa kutumia mkojo wake Hadi aseme vimekwenda?Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha.
Lissu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee.
Mlale Unono ππ
Mbona wewe umejificha huku jf hujaenda kulipa hiyo gharama? Unataka nani akulipie? Mtaishia kulalamika hivyo hivyo ππKabisa, serikali zinazoingia madarakani bila ridhaa ya umma, huwa haziogopi mahakama, bali huogopa nguvu ya umma pekee.
Unapokuwa na umma usio tayari kulipa gharama za mabadiliko, kila kitu kitauzwa na hakuna tutakalofanya. Ni aidha machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi ili tuanze moja kiutawala.
Hii inanikumbusha kitabu cha The Godfather!! Haki dhidi ya serikali huwezi ipata mahakamani!!
Duniani kote hakuna uhuru uliopatikana mahakamani!!
Nilimshangaa mno Mwabukusi!
Ni baada ya kuangukia pua ππMakaburi yao yatafukuliwa na kuchomwa moto! Waache washupaze shingo kuuza mali ya umma! Hata hao wanaojidai wananunua mali za umma wa watanganyika kwa rushwa yatawapata kama makabaila wa
Zimbabwe! Tutazitaka kwa nguvu mali za umma!
Au siyo πππ bwana Mwambukusi Sukuma gangUkikuta mwanamme halewi Ujue hana majukumu kwa familia wala taifa πππ
Hii aliniambia Ben wa Lupaso!
Utaongozwa na ccm Hadi siku ya kuzikwa ππππSitaki kuitawala hii Tanzania boss, lakini siko tayari kuongozwa na CCM.
Hujui wanalipa corporate tax kiasi gani kwa mwaka? Na wanatoa mikopo kwa wahitajiNBC BANK kuna tija gani?
mkuu yupi? huyu wakwetu mwenye kisura cha kike? hahaaaaa mtashangaa sana CDF mzuri kuliko hata Rais anapata wapi Guts na akili ya kuona mbali kwa mustakabali wa vizazi vijavyo wakiwemo na wajukuu zake mwenyewe? kuteuliwa ni utumwa siku zote, Niger ni miamba wameamua kula sahani moja na wakoloni, ndio maana wagner wanatoa suport.
ππππ I wish cdf aione hii comment ili utafutwe na ufinywe kimya kimyamkuu yupi? huyu wakwetu mwenye kisura cha kike? hahaaaaa mtashangaa sana CDF mzuri kuliko hata Rais anapata wapi Guts na akili ya kuona mbali kwa mustakabali wa vizazi vijavyo wakiwemo na wajukuu zake mwenyewe? kuteuliwa ni utumwa siku zote, Niger ni miamba wameamua kula sahani moja na wakoloni, ndio maana wagner wanatoa suport.
Huyo Rais wa Zimbabwe ataishi milele?ππππ I wish cdf aione hii comment ili utafutwe na ufinywe kimya kimya
Kuumbuka kwa hukumu inayotolewa na mahakama za Tanzania?!Ni baada ya kuangukia pua ππView attachment 2714138
watu ni wajinga mno mkuu na wanajisahaulisha namna tunavyotia aibu huko duniani i wish angeona ile clip ya yule profesa wetu wa makinikia alivyotia aibu kule nje ya nchi, we are not all stupid kama wao.Kuumbuka kwa hukumu inayotolewa na mahakama za Tanzania?!
Halafu huyu Lissu anajitambilisha kama Afisa wa Mahakama Kuu. Tukimuita mwehu, wengine wanalalamika.Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha.
Lissu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee.
Mlale Unono ππ
wee ni kiazi mviringoHalafu huyu Lissu anajitambilisha kama Afisa wa Mahakama Kuu. Tukimuita mwehu, wengine wanalalamika.
Mawakili Wote ni Maafisa wa Mahakama Kuu πππ₯Halafu huyu Lissu anajitambilisha kama Afisa wa Mahakama Kuu. Tukimuita mwehu, wengine wanalalamika.
Alitumia uhuru wake wa kikatiba.Hii inanikumbusha kitabu cha The Godfather!! Haki dhidi ya serikali huwezi ipata mahakamani!!
Duniani kote hakuna uhuru uliopatikana mahakamani!!
Nilimshangaa mno Mwabukusi!
Ulitaka waamue Mwambukusi ameshinda ndio Mahakamani isingeumbuka π€ͺπ€ͺKuumbuka kwa hukumu inayotolewa na mahakama za Tanzania?!
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha.
Lissu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee.
Mlale Unono [emoji1][emoji1]
Ningeshangaa iwapo wangeamua kuendana na madai ya mwabukusi. Hatuna mahakama huru hivyo.Ulitaka waamue Mwambukusi ameshinda ndio Mahakamani isingeumbuka π€ͺπ€ͺ