ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Anazunguka kwenye Barabara zilizojengwa Kwa kutumia mkojo wake Hadi aseme vimekwenda?Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha.
Lissu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee.
Mlale Unono 😄😄