Tundu Lissu: Suala la Bandari halihitaji kuamuliwa na Mahakama za Sheria bali Mahakama za Umma. Gesi yote, Dhahabu yote na sasa Bandari vimekwenda!

Tundu Lissu: Suala la Bandari halihitaji kuamuliwa na Mahakama za Sheria bali Mahakama za Umma. Gesi yote, Dhahabu yote na sasa Bandari vimekwenda!

Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha.

Lissu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee.

Mlale Unono 😄😄
Anazunguka kwenye Barabara zilizojengwa Kwa kutumia mkojo wake Hadi aseme vimekwenda?
 
Kabisa, serikali zinazoingia madarakani bila ridhaa ya umma, huwa haziogopi mahakama, bali huogopa nguvu ya umma pekee.

Unapokuwa na umma usio tayari kulipa gharama za mabadiliko, kila kitu kitauzwa na hakuna tutakalofanya. Ni aidha machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi ili tuanze moja kiutawala.
Mbona wewe umejificha huku jf hujaenda kulipa hiyo gharama? Unataka nani akulipie? Mtaishia kulalamika hivyo hivyo 😁😁
 
Makaburi yao yatafukuliwa na kuchomwa moto! Waache washupaze shingo kuuza mali ya umma! Hata hao wanaojidai wananunua mali za umma wa watanganyika kwa rushwa yatawapata kama makabaila wa
Zimbabwe! Tutazitaka kwa nguvu mali za umma!
Ni baada ya kuangukia pua 😂😂
20230810_200716.jpg
 
Hivi mkuu wa majeshi hayaoni ya Niger?

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu yupi? huyu wakwetu mwenye kisura cha kike? hahaaaaa mtashangaa sana CDF mzuri kuliko hata Rais anapata wapi Guts na akili ya kuona mbali kwa mustakabali wa vizazi vijavyo wakiwemo na wajukuu zake mwenyewe? kuteuliwa ni utumwa siku zote, Niger ni miamba wameamua kula sahani moja na wakoloni, ndio maana wagner wanatoa suport.
 
😂😂😂😂 I wish cdf aione hii comment ili utafutwe na ufinywe kimya kimya
 
😂😂😂😂 I wish cdf aione hii comment ili utafutwe na ufinywe kimya kimya

Huyo Rais wa Zimbabwe ataishi milele?

Mithali 27:22

Mpumbavu ukimtia kwenye kinu pamoja na ngano ukamtwanga kwa mchi Upumbavu wake hautamtoka 😄😄🔥
 
Kuumbuka kwa hukumu inayotolewa na mahakama za Tanzania?!
watu ni wajinga mno mkuu na wanajisahaulisha namna tunavyotia aibu huko duniani i wish angeona ile clip ya yule profesa wetu wa makinikia alivyotia aibu kule nje ya nchi, we are not all stupid kama wao.
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha.

Lissu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee.

Mlale Unono 😄😄
Halafu huyu Lissu anajitambilisha kama Afisa wa Mahakama Kuu. Tukimuita mwehu, wengine wanalalamika.
 
Hii inanikumbusha kitabu cha The Godfather!! Haki dhidi ya serikali huwezi ipata mahakamani!!

Duniani kote hakuna uhuru uliopatikana mahakamani!!

Nilimshangaa mno Mwabukusi!
Alitumia uhuru wake wa kikatiba.
Kwa maoni yangu ya kisomi,Mahakama ilikuwa sahihi kwa kiasi kikubwa.Kesi ilikuwa kwamba mahakama inaombwa kuamua uvunjifu wa katiba.Lakini kilichobainika ni uvunjifu wa sheria na siyo katiba yenyewe.Ndiyo maana mahakama imetoa aina ya ushauri ambao huwa unaweza kutolewa na mahakama.Kisheria ushauri unaotolewa kama maoni tu ya mahakama unaitwa obiter dictum.
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anesema angeshangaa Sana kama majaji wangeamua tofauti na walivyofanya leo kwani hawawezi kuukata mkono unaowalisha.

Lissu amesema Mahakama ya sheria haiwezi kuamua Swala la Bandari bali ni lazima itumike Mahakama ya Umma yenye Majaji milioni 60 na ushee.

Mlale Unono [emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndiyo njia iliyobaki pekee ya kuiokoa nchi isiuzwe kwa wajomba wao.maandamano yasiyo na kikomo ni muhimu sana kwa sasa.kipindi cha ukoloni watu tulidai uhuru kwa amani na pale njia ya amani iliposhindikana matumizi ya bunduki yaliwafanya wakubali matakwa ya wananchi waliojifanya kuziba masikio.Aluta continua
 
Back
Top Bottom