kama taifa hatuta kubali hadaa za kibaraka yoyote wa mabwenyenye ya magharibi ambae mwili uko Tanzania akili iko ulaya kwa familia yake,Wakuu,
Wakati akiwa anahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tundu Lissu ametoa yake ya moyoni.
Ameseme kuwa bila vyombo vya Usalama na Wakurugenzi CCM isingekuwepo madarakani na kwamba CCM inatumia nguvu za kijeshi kubaki madarakani
"CCM wapo kwenye uchaguzi huu kwasababu moja tu ya Mkurugenzi na watumishi wake na mapolisi hawa. CCM ipo tu kwa sababu ya Wakurugenzi na hawa wanaoitwa wasimamizi wa Uchaguzi na DC na mapolisi. Ukiondoa hawa CCM hakuna"
Hivi ndio kusema kwamba CCM imeishiwa kabisa sera?
Ukweli mtupu huuWakuu,

Kama DC, mkurugenzi na maofisa wa ngazi za juu za polisi wanateuliwa na Rais Kwa akili Yako ndogo ulitaka watii agizo la nani? CCM ni Taasisi na sio kikoba kama chenu, ukiona nchi ngumu hamia BurundiWakuu,
Wakati akiwa anahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tundu Lissu ametoa yake ya moyoni.
Ameseme kuwa bila vyombo vya Usalama na Wakurugenzi CCM isingekuwepo madarakani na kwamba CCM inatumia nguvu za kijeshi kubaki madarakani
"CCM wapo kwenye uchaguzi huu kwasababu moja tu ya Mkurugenzi na watumishi wake na mapolisi hawa. CCM ipo tu kwa sababu ya Wakurugenzi na hawa wanaoitwa wasimamizi wa Uchaguzi na DC na mapolisi. Ukiondoa hawa CCM hakuna"
Hivi ndio kusema kwamba CCM imeishiwa kabisa sera?
Gentleman 🐒 ulishawahi tembelea nchi gani??kama taifa hatuta kubali hadaa za kubaraka yoyote wa mabwenyenye ya magharibi ambae mwili uko Tanzania akili iko ulaya kwa famila,
hakuna wa kubabaika na upotoshaji huo wa kibaraka bali kama taifa tunasonga mbele na kesho tunafanya uchaguzi kwa amani
Kama DC, mkurugenzi na maofisa wa ngazi za juu za polisi wanateuliwa na Rais Kwa akili Yako ndogo ulitaka watii agizo la nani? CCM ni Taasisi na sio kikoba kama chenu, ukiona nchi hamia Burundi
nashukuru kwa kiasi nimezurura maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na ulaya gentleman 🐒Gentleman 🐒 ulishawahi tembelea nchi gani??
Ulaya nchi gani gentleman ?nashukuru kwa kiasi nimezurura maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na ulaya gentleman 🐒
hadi huko anakoishi kibaraka wa mabwenyenye na familia yake 🐒Ulaya nchi gani gentleman ?
Mkuu nikisema wewe ni lost soul nakosea. Kiongozi 🤣🤣🤣hadi huko anakoishi kibaraka wa mabwenyenye na familia yake 🐒
kusema au kukaa kimya ni hiyari yako, uhuru, haki na uamuzi wako gentleman..Mkuu nikisema wewe ni lost soul nakosea. Kiongozi 🤣🤣🤣
Mkuu natamani siku moja useme kuhusu akili kwa sababu wewe una akili ila tu chama kinakuponza🤣🤣🤣kusema au kukaa kimya ni hiyari yako, uhuru, haki na uamuzi wako gentleman..
ni vigumu mno mimi kubabaika na hilo 🐒
leo ndio nimeamini kweli dunia haijulikani ni duara au mviringo...Mkuu natamani siku moja useme kuhusu akili kwa sababu wewe una akili ila tu chama kinakuponza🤣🤣🤣
Mkuu mimi najua wewe kuna advantages unazitumia 😂😂😂leo ndio nimeamini kweli dunia haijulikani ni duara au mviringo...
ati akili zimefanya nini gentleman?🤣
una bahati sana wananchi wako kwenye maandalizi ya mwisho ya uchaguzi wa wa maana sana kesho 🐒
Unakataa ukweli ila hakuna ccm bila ya ya hayo aliyoyataja na kama huamini jaribuni tu kutokutegemea vyombo vya dola.kama taifa hatuta kubali hadaa za kubaraka yoyote wa mabwenyenye ya magharibi ambae mwili uko Tanzania akili iko ulaya kwa famila,
hakuna wa kubabaika na upotoshaji huo wa kibaraka bali kama taifa tunasonga mbele na kesho tunafanya uchaguzi kwa amani
No Gentleman,Mkuu mimi najua wewe kuna advantages unazitumia 😂😂😂