Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Wakati akiwa anahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tundu Lissu ametoa yake ya moyoni.
Ameseme kuwa bila vyombo vya Usalama na Wakurugenzi CCM isingekuwepo madarakani na kwamba CCM inatumia nguvu za kijeshi kubaki madarakani
"CCM wapo kwenye uchaguzi huu kwasababu moja tu ya Mkurugenzi na watumishi wake na mapolisi hawa. CCM ipo tu kwa sababu ya Wakurugenzi na hawa wanaoitwa wasimamizi wa Uchaguzi na DC na mapolisi. Ukiondoa hawa CCM hakuna"
Hivi ndio kusema kwamba CCM imeishiwa kabisa sera?