Tundu Lissu: Tanzania sio Jamhuri, tuko chini ya Utawala wa Kijeshi. Ukiondoa Polisi na Wakurugenzi CCM hakuna!

Hilo hata ma CCM yanafahamu. hayawezi kuchagulika, hivyo ni lazima kwayo kutumia nguvu, hila,udanganyifu, wizi, nguvu na kila linalowezekana kuendelea kubaki madarakani.
 
Kama DC, mkurugenzi na maofisa wa ngazi za juu za polisi wanateuliwa na Rais Kwa akili Yako ndogo ulitaka watii agizo la nani? CCM ni Taasisi na sio kikoba kama chenu, ukiona nchi ngumu hamia Burundi
Ko hapo na uexpert wako umeongea pointiiiii πŸ˜‚
 
Makonda tena qe na machadema machoko tu
 
Kweli kabisa, ccm inashinda kwa kutumia mbinu za makaratasi yaani kanuni na hila. Hivi Trump kwa Yale makosa yote ingekuwa Democratic ndio ccm wangemruhusu kugombea kweli!!
 
Mbona unakubali kuongozwa na msagaji?
 
Mbona unakubali kuongozwa na msagaji?
kibaraka ana ndoa ya pande zote mbili kitua ambacho ni laana, hatwez kukubali hiyo kitu kuanzia kwenye chama chake πŸ’
 
Gentleman,
vitu vyote, Neema na Baraka za Mungu zilizopo ndani ya Tanzania ni mali ya wananchi na waTanzania wote.

kibaraka na wenzie hawawezi kufanya chochote kuvuruga chochote Tanzania πŸ’
Kitaje kilichovurugwa amabcho chanzo kama sio ccm au policcm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…