You accept what TL is doing at twitter? Bad mouthing and chalanging a dead person?Why are you thinking in a stupidity manner like this? Is this your own country or a country of we all? Stop such stupid perception of thinking that this country is your. It is ours. You have already inherited bad behaviour from the deceased! Poor you.
Mjane una wivu hata kwenye lugha!!? Hii roho ya kishetani ife mara moja.Je kama kaandikiwa? Kumbuka yuko Ulaya.
Ukweli akatapo ujuwa sijui atajionaje?I’m very sure he knows and these writings are just a way of justifying his Ego!
I am realived too."As his most persistent critic and perhaps his most prominent victim, I was and I am, frankly, relieved to see him go".
Kwa kweli Mwacheni Mungu aitwe Mungu. Mtu aliyejiita Chuma, mara Jiwe leo wanamzungusha juani, vichochoroni na mitaani akiwa ndani ya sanduku wakati yule aliyetoa amri ya kuuawa akiwa yupo hai. Hili ni fumbo kubwa mno! Ni fundisho kwa wote wanaowatakia wenzao mabaya. Ingawa kwa kweli nilitamani sana Lissu awe Rais wakati huyu wanayezurula naye vichochoroni akiwa hai.Tundu Lissu ni mpango wa Mungu. Kama Magufuli alimtuma Paul Makonda na kikundi chake wakamwagie mvua ya risasi, kisha wakamzike kijijini kwao Ikungi Singida. LAKINI Lissu hakufa
Na aliponusurika akapelekwa kutibiwa Nairobi na Belgium huku Magufuli akasitisha asilipiwe gharama za matibabu, akamnya g'anya mshahara na mafao ya ubunge akamnya g'anya na ubunge LAKINI Lissu HAKUFA
Bado akaja kugombea u-Rais na akawa na mvuto kuliko Magufuli na Magufuli analijuwa Hilo ndiyo maana akaamua KUIBA UCHAGUZI wote na kujipa 84%.
Magufuli pamoja na kulindwa na ma unduki na magari ya kudhibiti internet na kila kitu amekufa kizembe tu kwa kukaidi COVID19 na sasa maiti yake inazurulishwa kila mahali, LAKINI Tundu Lissu yuko HAI. Kama huamini katika Mungu hapa lazima UKUBALI kuwa MUNGU YUPO.
Usimchukulie Tundu Lissu kirahisi, anakubalika na kueleweka na WATANZANIA wengi sana. Tuombe uhai tuione 2025
Pslmp , Huna uwezo kuchangia hoja hii na uandishi wako wa Darasa la 7. Wewe subiri wenye bongo zao wachambue.
Kama umeishi kwa kutegemea taarifa za TBC1, utapata shida sana.
Huyu mnayerurula naye mitaani si mlimwita Mungu wenu ambaye ni Chuma. majigambo yote kwisha kazi, mnamburuza juani bila huruma. Nyie watu hamna huruma nyie!Mungu yupi? Hata shetani katika ufalme wake anaitwa mungu na wafuasi wake.
Jibuni hoja masikini nyie !Bahati nzuri tushamjua yeye ni nani.
View attachment 1733156
Inawezekana sjasoma, Ila wewe ndo boya zaidi yangu, huwezi kuishia kunishambulia pekee bila kuja na hicho unachodhani ndio sahihiDaaaaaaah we jamaa kiazi kweli, nawe ukafikiria na kuandika hicho?
Shule umeenda kweli? Maana hayo mawazo yako ni ya mtu ambaye hajasoma tena wa matombo huko ndani ndani? Soma ulichoandika afu kufikiria mwenyewe,.
Acha hoja za kitoto
what did you do in such time of assassination attempt? Kila wakati tunasisitiza usimfanyie mwenzio lile usilopenda wewe kufanyiwa. Mlimdhihaki Lissu alivyopigwa zile risasi, eti wamepigana wao kwa wao. kama kweli wamepigana risasi wao kwa wao si muwakamate? kwani mimi nikimpiga risasi mtoto wangu nitaachwa? Mlidhihaki na hata huyu mnayezurula naye mitaani na mkimuanika juani bila huruma hakumpenda kabisa Lissu. Ukiuliza sababu anasema anamkosoa. Ona sasa Mungu alivyo. Wewe ulitegemea leo mliyemwita Chuma, Jiwe awe anaburuzwa mitaani na juani bila huruma namna hii? Hata kuzika ni kama hawataki, wanataka waendelee kuzurula naye vichochoroni. Hii ni aibu. Karibia wiki ya pili sasa ni kuzurula na mwili wa mtu angani na barabarani. Heshima ya marehemu ni kumhifadhi na siyo kuzurula naye huku na huku. Huu siyo ubinadamu kabisa.You accept what TL is doing at twitter? Bad mouthing and chalanging a dead person?
He had my vote at the ballot but unafiki si tabia yangu.
Anyways Inawezekana hujaelewa nilichoandika au maamuzi yako huwa yanaongozwa na chuki uliyonayo kwa serikali.
Hata kama Lissu akafa leo sawa tu ili mradi huyu aliyefkiri anamtanguliza Lissu katangulia yeye. Hiyo tu inatosha.Inavyoonekana ni kama tukio hili ni la kufurahisha na lenye mafanikio kwa Tundu Lisu.
Hapawezi kuwa na maneno mengi ya kutosha kufanya Tundu lisu ajue anachofanya sio sahihi, lakini ni vizuri tu ajue iko siku na yeye pia ataandikiwa makala pia
Kwa kweli Mwacheni Mungu aitwe Mungu. Mtu aliyejiita Chuma, mara Jiwe leo wanamzungusha juani, vichochoroni na mitaani akiwa ndani ya sanduku wakati yule aliyetoa amri ya kuuawa akiwa yupo hai. Hili ni fumbo kubwa mno! Ni fundisho kwa wote wanaowatakia wenzao mabaya. Ingawa kwa kweli nilitamani sana Lissu awe Rais wakati huyu wanayezurula naye vichochoroni akiwa hai.
Mr Devil, hivi walimu wako walikufundisha hivyo kweli: Uyu = Huyu, ata = Hata, nk. Mnadhalilisha sana walimu wenu, nenda kaangalie notice zako za darasa la nne, huwezi kuyakuta hayo maneno uliyoandika hapo juu, uyu,..... ata.....!!!!!! aibu sana.Uyu nae ana hangaika kuliko ata wafiwa
Sasa kwa nini huyu hawajampa onyo ila wamemuua kabisa? Halafu, kwa nini mnazurula naye angani, vichochoroni, mitaani na mwenzetu bila huruma? Hadhi ya marehemu ni kumpumzisha na siyo kuzurula naye kama hivi mnavyofanya. mambo mengine ni kudhalilisha hayati tu.Lissu hawezi pata urais ndani ya inchi hii na alichokifanya marehemu kilikua sahihi,binafsi namchukulia lissu kama mamruki tu na msaliti wa inchi hii alionywa mara nyingi sana hakuwa msikivu na lile ni onyo tu hawakutaka kumuua
Nyie wakujibiwa na hoja,wakati hoja mzilizo zijenga 2010-2015 (ufisadi na Lowasa),kwa vinywa vyenu 2015 mkazikataa kwa dk 5.Jibuni hoja masikini nyie !