Fundi kweli. Imagine unataka kwenda kwenye msiba wa JPM unapost kuwa kesho utaenda kushuhudia maiti yake halafu unafika unakanyagwa unakufa.Mungu fundi aisee
Labda wewe na ukoo wako ndio mmepotezwaAnaishi mbali na nchi anaonekana yuko ndotoni, anasahau jambo moja la msingi kuwa kati ya wale waliojitokeza kuchangia matibabu yake, ndio wale waliojitokeza kumpokea uwanja wa ndege alivyokuja kwa ajili ya uchaguzi mkuu uliopita.
Huruma ya hao watu ndio hiyo hiyo iliyowasukuma kujitokeza kwa wingi barabarani kumuaga Magufuli baada ya kufariki, chuki yake kwa Magufuli asilazimishe kuirithisha kwa watanzania wote, sawa alipigwa akaumizwa, lakini huruma ya watanzania huwa haichagui, na wala asijidanganye ana hatimiliki ya kupendwa na watanzania.
Kwa hii move yake sisemi uongo na wala sitaki kumliwaza yeyote, Lissu is disappointing big time, kuipiga mateke maiti sio ujanja ni ushamba, na hili litamfanya aonekane mropokaji, like it or not, write in English or Chinese.
Atarudi Tz watampokea tena kwa wingi, after that, that will be it, he is crossing the line, nothing lasts forever aliwapata wafuasi wakati wa shambulio, now anawapoteza.
Feel pain? Take it easy boyaK wewe
Bahati mbaya wewe huna mamlaka yoyote. Ni sawa na kima tu wa mwituniNa ww huna hoja yyte zaidi ya upambe.....
niwaambia wazi kabisa kazi yenu itabaki kupiga kelele tu huku mitandaoni kamwe narudia kamwe CDM haiwezi kuja kutawala Tz....
dikteta amekwendaKazi za JPM
SGR, Stiglasgoji, Madaraja, upanuzi wa bandari, meli, Kota za bule Kwa wananchi wake, kufufua shirika la ndege n.k
Kazi za Tundu Lissu..
Kuitisha mandamano yamsaidie kuingia Ikulu.
Kutumia nguvu nyingi kupambana na wafu.
Kujiunga na mabeberu kuhakikisha bwawa la umeme halijengwi.
Kuungana na mabeberu kuyashawishi ili nchi yake mwenyewe iwekewe vikwazo.
Kutukana viongozi wote hata viongozi wa dini na kazi zote za maendeleo ya nchi yetu
Hapa Nani mwenye faida Kwa Nchi?
Nitajie beberu mmoja tu ambaye nchi haina ushirika naye.Kabla ya kuwa Raisi ulimwona wapi akitukana nchi na viongozi wake?
Ulimwona wapi akiuza nchi Kwa mabeberu?
Naona unahangaika kum quote kila mtu, kunywa maji utulie utapasua hicho kichwa bure huku Lissu unaemlilia sidhani hata kama anakujua.Mbona hukunukuu maandiko wakati ule Lissu anapigwa risasi? Yale yasemayo usiue, mpende jirani yako kama nafsi yako, lile unalotaka mtu akufanyie basi na wewe yafanye kwa wengine. Au umejiunga na ukristo tarehe 17/03/2021 saa tano usiku?
Bila shaka wewe ni mmoja kati ya wachache wanaotaka kuficha udhalimu wa Magufuli! Ni vema maovu yake yote yaorodheshwe ili kuweka kumbukumbu sawa kwa vizazi vijavyo na pia funzo kw viongozi wajao.
Hawa dada zetu kwa nini wanataka mimi nichume kwanza ndiyo anikubali badala ya kushirikiana nami tuchume kwa pamoja?
Kelele zote kumbe NJAA....Usijali NIYEYE TL 2090!Magufuli bana! Anatufanya sisi mazuzu, alituahidi kuboresha maslahi ya wafanyakazi mwaka 2015 kabla hajawa Rais. Alipoapishwa akatugeuka kwa madai anajenga stigler's gorge, standard gauge na ma-flyover. Sasa anakuja na ahadi ile ile!
Hatudanganyiki!
Mtu aliyekuwa hafikiki kirahisi na watu kwenye uhai wake. Kila wakati kazungukwa na mamitambo ya ulinzi na wanajeshi makomando wa PSU, leo anazungushwa kama samaki wa feri waliododa.Kwa kweli Mwacheni Mungu aitwe Mungu. Mtu aliyejiita Chuma, mara Jiwe leo wanamzungusha juani, vichochoroni na mitaani akiwa ndani ya sanduku wakati yule aliyetoa amri ya kuuawa akiwa yupo hai. Hili ni fumbo kubwa mno! Ni fundisho kwa wote wanaowatakia wenzao mabaya. Ingawa kwa kweli nilitamani sana Lissu awe Rais wakati huyu wanayezurula naye vichochoroni akiwa hai.
Ha haaaMsameheni kisha mpuuzeni huyu mtu. hayuko sawa kichwani.
Sasa wewe ni binadamu wa aina gani unayekereka na ujumbe wa binadamu kupendana? Nimesema yale unayopenda kufanyiwa basi na wewe wafanyie hivyo wenzako, halafu wewe unakereka. Kwa hiyo tukueleweje unayekereka kwa ujumbe wa amani?Unakera, sasa unatofauti gani na wale wanaosemaga wanaume wote ni mbwa?
Kwann usimtafute aliyedhihaki jaribio la mauaji kwa TL ndo umwambie hayo mambo ya kudhihaki?
Ww umeshawahi niona nikidhihaki jaribio la mauaji la TL? Maana unanijumuisha tu bila mpangilio.
Unatoa majibu ukiongozwa na chuki. Unajibu tu hujiulizi.
Kuhusu kumuaga JPM hayo ni maamuzi ya serikali, familia, ndugu, rafiki na wafuasi wa marehemu.
Wewe upo kwenye kundi lolote kati ya hayo? Kama haupo tulia heshimu maamuzi ya wenye msiba, akifa anayekuhusu zika haraka hakuna atakaye kuuliza, maamuzi yako yataheshimika.
Lazima umpime uwezo unayebishana naye. Tunaokoa muda, hawa wengine wamezoea FB na InstagramMpinge kihoja sio unaropoka!!yeye kataja zake nawe taja hoja zako ndio haswaa uchangiaji wa hoja ulivyo.
Msubiri siku akirudi ukambebe mgongoni halafu uone mwisho wake kama haya makelele anayopiga now yatamsaidia chochote, ukimtua tu, na habari yake ndio imeishia hapo.Labda wewe na ukoo wako ndio mmepotezwa
Wale wale tuMr Devil, hivi walimu wako walikufundisha hivyo kweli: Uyu = Huyu, ata = Hata, nk. Mnadhalilisha sana walimu wenu, nenda kaangalie notice zako za darasa la nne, huwezi kuyakuta hayo maneno uliyoandika hapo juu, uyu,..... ata.....!!!!!! aibu sana.
Wasalimie walioko huko mbinguniLisu jiandae tu na kupambana na ubaguzi wa rangi huko ughaibuni!! Ubaguzi umemkimbiza Prince wa Uingereza wewe utaweza?
Huyo anayezungushwa barabarani, anakujua wewe?Naona unahangaika kum quote kila mtu, kunywa maji utulie utapasua hicho kichwa bure huku Lissu unaemlilia sidhani hata kama anakujua.
Wishful thinking, with lots of pain. Pole sanaMsubiri siku akirudi ukambebe mgongoni halafu uone mwisho wake kama haya makelele anayopiga now yatamsaidia chochote, ukimtua tu, na habari yake ndio imeishia hapo.
Mungu kawapa upofu fulani hivi ili tujue binadamu tusiinue mabega kujidai. wanazurula naye angani na nchi kavu. Hii ni adhabu na fundisho tosha. Kulitokea kiongozi mmoja Katili sana kule Liberia aliitwa Samwel Doe. Alipokufa walizunguka naye mitaani karibia mwezi mzima wakifikiri ni heshima kumbe wale waliokuwa wakizunguka naye walisema wanataka kutoa ujumbe kwa umma kwamba wamepata fursa ya kumdhalilisha aliyewadhalilisha wenzake. Baadaye wakaanza kumburuza tu na gari. Hadi mamlaka za nchi walipoingilia kati kwamba pamoja na ubaya alioufanya sasa inatosha waende wakamzike.Mtu aliyekuwa hafikiki kitahisi na watu kwenye uhai wake. Kila wakati kazungukwa na mamitambo ya ulinzi na wanajeshi makomando wa PSU, leo anazungushwa kama samaki wa feri waliododa.
Tafakari Mara mbili, ule siyo umaarufu. Ni adhabu ya Mungu tu
Sababu haikuwa ujumbe wako wa amani, sababu ni kugeneralise uhusika wa kufurahia shambulio la mauaji la TL.Sasa wewe ni binadamu wa aina gani unayekereka na ujumbe wa binadamu kupendana? Nimesema yale unayopenda kufanyiwa basi na wewe wafanyie hivyo wenzako, halafu wewe unakereka. Kwa hiyo tukueleweje unayekereka kwa ujumbe wa amani?