Tundu Lissu tengeneza CHAWA wako ufike mbali zaidi kisiasa. Usidanganywe, uchawa ndiyo siasa za kileo nchini

Tundu Lissu tengeneza CHAWA wako ufike mbali zaidi kisiasa. Usidanganywe, uchawa ndiyo siasa za kileo nchini

Kididimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
4,153
Reaction score
3,800
Kwa Tanzania ya leo kisiasa ni Uchawa tuu. Hakuna jipya! Usitegemee chawa wa mwenzako, tengeneza wako.

Ukilielewa hilo, 2025 haitakupa shida!
 
Akija na Agenda yenye maono yanayoeleweka ni zaidi ya kutengeneza chawa
Agenda yenye maono aitoe wapi? Mtu mwenyewe #dishlimetilt kiasi hicho, na think tank ya chadema ilikufa baada ya Dr Mkumbo na Dr Slaa kuondoka, unategemea agenda yenye maono aitoe wapi?
 
Kwa Tanzania ya leo kisiasa ni Uchawa tuu. Hakuna jipya! Usitegemee chawa wa mwenzako, tengeneza wako.

Ukilielewa hilo, 2025 haitakupa shida!
Uchawa unatokana na mtu mwenyewe kuwa mvivu wa kufikiri pia mtu anayependa kuwa na machawa huyo hatufai.
 
Agenda yenye maono aitoe wapi? Mtu mwenyewe #dishlimetilt kiasi hicho, na think tank ya chadema ilikufa baada ya Dr Mkumbo na Dr Slaa kuondoka, unategemea agenda yenye maono aitoe wapi?
Mkumbo na Slaa ni wachumia tumbo wasiojielewa, ni aibu kuwatumia kama reference.
Mnapokuwa kwenye kulenga kufiki malengo mkiwa timu cha kwanza ni loyalty. Snitches na hypocrites ni aina za watu wanaopaswa kuepukwa kabisa, baada ya kuonyesha rangi zao halisi naamini imekuwa neema kwa CDM kuondokana na uozo ule.
 
Kwa Tanzania ya leo kisiasa ni Uchawa tuu. Hakuna jipya! Usitegemee chawa wa mwenzako, tengeneza wako.

Ukilielewa hilo, 2025 haitakupa shida!

Hizo siasa za kijinga huko CCM ndio unasema ni siasa za kileo?!
 
Kina mbowe wanajilewea zao majukwaani tuh wanamsikilizia mbeligiji wa singida
 
Back
Top Bottom