Ashauri kuhusu hao wanashirikiana na Walio serikalini na awataje wanaohakikisha tunashindwa na kugaragazwa Kila kukicha.Yeye ni mwanasheria sio mchumi, atashauri vipi suala la kiuchumi?
Dalali wa ndege mbovu? Sina soko la chuma chakavu boss.Ndio nasemaje,
TUNDU Lissu na CDM watoe maoni ya kizalendo na nini kifanyike kutatua shida hiyo,
Tukikusikiza ndugu Tindo, yaezakuwa wewe ni dalali, unatengeza mazingira ya kutupiga Cha juu,
Naamini Lisu akishauri kitaalamu, wataogopa kutushtaki.
Ushauri wa Lisu ccm hawautaki, maana itaonekana ni kumpaisha kisiasa.Ashauri kuhusu hao wanashirikiana na Walio serikalini na awataje wanaohakikisha tunashindwa na kugaragazwa Kila kukicha.
Haiwezekani tubahatike msomi aina ya Lissu halafu tushindwe kesi kimataifa,
Uzalendo utangulie ,siasa zifuate.
Tunajua watapuuza kama ada Yao,Ushauri wa Lisu ccm hawautaki, maana itaonekana ni kumpaisha kisiasa.
Unaona sasa mawazo Yako,Dalali wa ndege mbovu? Sina soko la chuma chakavu boss.
Mkuu unajua ukweli wa hizo ndege? Au ww ukiona ndege tu imepigwa rangi unaita mpya?Unaona sasa mawazo Yako,
Ndege mpya zimepaki, unaziita mbovu Ili uuze CHUMA chakavu!!
UKWELI ni upi?Mkuu unajua ukweli wa hizo ndege? Au ww ukiona ndege tu imepigwa rangi unaita mpya?
Ni chuma chakavu.UKWELI ni upi?
Mbona wamekuwa wakitoa ushairi miaka na mikaka!Basi atoe mawazo mbadala kwamba Yeye na chama chake Wana mawazo Gani kuhusu ndege zilizopaki ambazo zilinunuliwa Kwa Kodi zetu na wananchi tunakamuliwa kulipa mikopo hiyo ilhali TIJA haionekani.
Umesema ukweli kabisa!Kwanza hizo ni dili za wakubwa
Nchi imeoza mkuuUmesema ukweli kabisa!
HOFU ya kukamatwa Kwa ndege ndio Hasa sababu ya kuziground.
Sasa ndipo haja ya kuomba msaada Toka Kwa Mwanasheria msomi Tundu Lissu unaibukia hapo.
Hilo nakubaliana nalo...kwanini ndege zinakamatwa huko nje?
..Ccm kuna watu wa ajabu sana. Kwanini mmeifikisha nchi ktk aibu hii.
..Labda ushauri mzuri ni mpumzike, muwaachie wengine wenye uzalendo waongoze.
Hilo nakubaliana nalo.
Ndipo sasa ningependa kujua ikiwa TUNDU Lissu na CDM Wana mpango Gani na ndege zilizopo,
Au wao watabinafsisha kabisa ATCL itoke mikononi mwa Serikali Kisha ndege zinapigwa Bei, ama nini!!
ANGALIZO: Kunihusisha Mimi na CCM,ni kunivunjia Heshima.
Karibu.
1. Mipango mibovu...Kwani tatizo la Atcl ni nini haswa?
Kwa hiyo huyo Lisu unayemuomba huo msaada atakusaidiaje bila ya kuwa na taarifa za kina?Umeshaletewa mjukuu tayari,
Sasa kumuuliza Binti Yako kuwa kwanini umeniletea mjukuu saizi ilhali sijawa tayari kuitwa Babu,
Swali Hilo halisaidii chochote.
Ndugu barafu unaitwa huku.Alikuwepo Pia Mwandishi Mmoja wa Habari za Anga na Usafiri wa Anga
mr Barafu huyu mwamba wakiungana na Lissu wataokoa Taifa.
Wanufaika wa ccm hawapo tayari kuona hilo likitokea.Salaam, Shalom!
Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini,
Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini,
Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za kutosha zilizonunuliwa Kwa Kodi zetu, ndege hizo mara kadhaa zimedaiwa kukamatwa kisa kuvunja baadhi ya masharti ya kimataifa kuhusu nashauri Fulani Fulani.
Ninakuomba, kupitia majukwaa ya kisiasa, ueleze umma njia ambazo Nchi unaweza kuzitumia Ili tuondokane na kesi hizo ikibidi tumia usomi wako Nchi ishinde case hizo, ndege zetu zinufaishe Taifa uchumi wa Nchi ukue.
Ningependa nione kama Mtanzania mwenzio, ukitoa dira ya nini chama chako kitafaifanyia Nchi Kwa kutumia usomi na ubobevu wako katika Sheria. Hotuba zako zilenge Kutoa mawazo mbadala juu ya nini wewe na chama chako mtafanya Ili wananchi tuwapime.
Wananchi tungependa kusikia ukisema, ikiwa Watanzania wataichagua CHADEMA kuongoza Dola, mtahakikisha mnapeleka wataalamu kutetea Nchi na kuhakikisha nchi inashinda case zote zinazotukabili.
Napenda nikusikie katika Upande huo wa UZALENDO juu ya nchi Yako Tanzania.
Ni hayo tu ndugu Mzalendo TUNDU Antipas Mugwai Lissu, ubarikiwe.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni.
Wanufaika wa ccm hawapo tayari kuona hilo likitokea.
Wananchi nao hawaoni faida ya kushinda hizo kesi!