Tundu Lissu, too late a hero!

Correction;

Samia hakubaliki kwa wananchi.

Yaani hawataki hata kumsikia.

Anakubalika kwa wafanyabiashara wakubwa na wanasiasa waliopo karibu nae.
Tatizo lako nini, si unapata ajira na kodi zinalipwa!
Au uko lile kundi la "wanyonge" hewa?
 
Ni kweli kama kapotea hivi ila usidanganye kuwa eti mama anakubalika labda kwenu ,mm sio ccm Wala chadema ila ukiweka ccm na andazi nachagua andazi....
 
Hivi!! Alipotua uwanjani kutoka ugaibuni hakupokewa na Mbowe ila Lema aliporudi kutoka Canada alipokewa na Mbowe, kulikoni?
 
Nilikosea kudhani kuwa una akili.
Sasa wewe huna kazi, huna kisomo, huna akili ya biashara, huna pesa mfukoni.
Huna hata akili ya kulima na kujitegemea.
Nakushauri Tz hapakufai, kajiunge na M23 au Renamo ili tukuswage.
 
Sasa wewe huna kazi, huna kisomo, huna akili ya biashara, huna pesa mfukoni.
Huna hata akili ya kulima na kujitegemea.
Nakushauri Tz hapakufai, kajiunge na M23 au Renamo ili tukuswage.
Mjinga mmoja hivi mwenye simu ya android yenye bundle.
 
True son of Africa anawahusudu wazungu
Hata Nyerere hakukosana na wazungu. Aliwapa akina Manning na Bryson uwaziri. Na mashaba Wazungu kule Mufindi, Ludewa, Njombe na Amani yapo mpaka leo. Acha Diamond Williamson kule Mwadui nk.
 
Hata Nyerere hakukosana na wazungu. Aliwapa akina Manning na Bryson uwaziri. Na mashaba Wazungu kule Mufindi, Ludewa, Njombe na Amani yapo mpaka leo. Acha Diamond Williamson kule Mwadui nk.
Mkuu Jaji Julie Manning na ukoo wake ni half caste.
Na wapo pale Ghana Mbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…