Tundu Lissu: Tumekuwa na Marais Wezi

Haya ya Marcus unaweza kutuwekea ushahidi wowote
 
Kwa hiyo una maana ngoma droo? Au ulikuwa na maana gani ndugu?
 
Mbowe kishasema kwamba Yeye ataendelea na Mazungumzo , na hata Lissu kalisema hilo jana , lakini mazungumzo ya maridhiano hayazuii Chadema kusema Ukweli , wala hayazuii Chadema kudai Katiba Mpya
 
Mbowe kishasema kwamba Yeye ataendelea na Mazungumzo , na hata Lissu kalisema hilo jana , lakini mazungumzo ya maridhiano hayazuii Chadema kusema Ukweli , wala hayazuii Chadema kudai Katiba Mpya
Ni kama nilivyosema, mimi navuta subira tu.

'In fact', nilianza kitambo kuvuta subira, na kila siku inayopita nazidi kuuona mwanga juu ya CHADEMA (mpya).
 
Haya ya Marcus unaweza kutuwekea ushahidi wowote
Hata yeye aliwapuuza,kila mwizi wa siku hizi hukimbilia kuuliza ushahidi na kisha atakwambia nipeleke mahakamani.
Sababu anajua pesa itamuokoa!

Ushahidi ni Marcus Albanie,na imo humu thread yake na inasomeka!

Pia hata pesa za Sabodo,magazeti yaliandika sana.

Pesa za michango ya lazima toka Mishahara ya wabunge na Madiwani pia ushahidi upo humu na Media zote ziliandika!

Chadema hakuna msafi.

Mlinfilisi Lowassa na kisha mkamtupa,mkamuacha akidhalilishwa na kina Lema!

Toweni kibanzi kwenye macho yenu,kabla hamjaziona boriti kwenye macho ya wenzenu!
 
Kwa hiyo una maana ngoma droo? Au ulikuwa na maana gani ndugu?
Nina maana hata Chadema hakuna msafi,wote ni wasakaaisha tu.

Kina John Mrema walipiga pesa za Lowassa mpaka ikafika mahali wakawa wanasutana wao wenyewe huko Club House!
 
kumbe huna ushahidi , endelea kutunga uongo
 
Mwendazake na genge lake waliiba 1.5T
 
Hivi zile sadaka tulizochangishwa kipondile Cha kuzindua kampeni kwenye uwanja wa mbagala zakem mapato yake na matumizi yake yako wapiii jamaaaniii??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…