Tundu Lissu: Tumekuwa na Marais Wezi

Tundu Lissu: Tumekuwa na Marais Wezi

Kuondkana na viongozi wezi ni lazima kukuza sekta binafsi na demokrasia ili uongozi uwe wa kujitolea zaidi badala ya njia ya kutafuta ulaji.
Fikra potofu za kuwabana wananchi kujiendeleza katika sekta binafsi kwa Kodi na sheria nyingine za kudhibiti kupitia watendaji wajinga na masikini wa fikra na mali ndiyo msingi wa tatizo.
 
Hata sisi wavuvi tayari tumetapeliwa hizi pesa, CCM hawafai kabisa

Capture-Uvuvi.PNG


Capture- Uvuvi2.PNG
 
visima vya nini ?
Visima vya mafuta!

Unaonekana kabisa unakwepa swali na kujidhihirisha ni genge la wezi ndani ya CHADEMA

Visima vya nini, kwani Tanzania vinachimbwa visima vya nini ?

Ndo maana mnapata hati chafu kila ukaguzi. Chama cha upinzani unapata pataje hati chafu ?
 
Visima vya mafuta!

Unaonekana kabisa unakwepa swali na kujidhihirisha ni genge la wezi ndani ya CHADEMA

Visima vya nini, kwani Tanzania vinachimbwa visima vya nini ?
Sasa Chadema ni wachimba visima ?
 
Nina maana hata Chadema hakuna msafi,wote ni wasakaaisha tu.

Kina John Mrema walipiga pesa za Lowassa mpaka ikafika mahali wakawa wanasutana wao wenyewe huko Club House!
Makosa mawili hayahalalishi moja siyo?
 
Haya mambo mbona mwenyekiti wako hana ujasiri wa kuyasema hadharani siku hizi?. Toeni majizi kwenye hilo genge lenu ndio muwe na legitimacy ya kukemea majizi waliopo kwenye vyama vingine.

..wanasema mganga hajigangi.

..Ccm fichueni majizi yaliyoko Cdm.

..bahati nzuri Dpp, Polisi, Takukuru, zote ni mali za Ccm, mnashindwa nini kuwashughulikia?

..Cdm nao wafichue majizi yaliyoko Ccm.
 
Akizungumza katika Mkutano wake wa kwanza wa Hadhara, Tangu arejee kutoka nje ya nchi alikokimbilia kunusuru Uhai wake, Lissu amedai kwamba Nchi ya Tanzania inaongozwa na Marais wezi.

Akikazia madai yake, amesema kwamba, kama kuna mtu anadhani anasema vibaya aende akasome Kitabu cha Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kinachoitwa "MAISHA YANGU" Ambapo ndani ya kitabu hicho ambacho Mwandishi ni Mkapa Mwenyewe anakiri kwamba WALIIBA DOLA mil 100 mwaka 2005 ili wapate pesa za kampeni za CCM.


Toa Maoni yako.
Watanzania lini wameanza kusoma vitabu?
 
Kwani kwa sasa tajiri akitaka ardhi anaikosa sababu ya maskini?
Ardhi ikiwa chini Ya Ràis ana uwezo wa kubatilisha hati yote Kwa maslah ya nchi.

Endapo imeuzwa kiharamu, marekebisho yaeza fanyika, Kenya jambo Hilo huwezi fanya.
 
Back
Top Bottom