Tundu Lissu: Tumekuwa na Marais Wezi

Ukiondoa mwalimu jk waliobaki wote ni majizi na ushahidi upo wazi
 
Kwanini tusiwe na katiba inayomtaka rais kulishirikisha bunge kuhusu maamuzi fulani kuhusu ardhi kuliko rais kuamua kwa utashi wake mwenyewe?
 
Kwanini tusiwe na katiba inayomtaka rais kulishirikisha bunge kuhusu maamuzi fulani kuhusu ardhi kuliko rais kuamua kwa utashi wake mwenyewe?
Huo ni mjadala mpana,

Tutajadili Kwa undani suala Hilo Rasimu zote zitakapowekwa mezani.

Jambo muhimu ni kushiriki ktk Kila hatua.
 
CCM haitetei mafisadi? Halafu kumbuka rais akiiba anaibia nchi nzima
 
CHADEMA hamchimbi visima

Kwa hiyo mlichofanya mlim bamboozle Sabodo mkapokea hela ya visima mkijua fika nyinyi si wachimba visima !
Chadema walimfilisi Lowassa mpaka akawakimbia!
 
mbonaa yeye kakimbia mume wake hajasema
 
Kweli KATIBA mpya ni lazima,

Bt Kwa maoni yangu Binafsi,

Rais apunguziwe mamlaka ktk mengi mfano, aondolewe Kinga ya kutoshtakiwa,

Bt ARDHI iachwe Kwa Rais Ili iwe salama!!!
Sawasawa
 
Kwanini tusiwe na katiba inayomtaka rais kulishirikisha bunge kuhusu maamuzi fulani kuhusu ardhi kuliko rais kuamua kwa utashi wake mwenyewe?

..pia kiwepo kifungu cha kumshtaki Raisi ikiwa atavunja sheria.

..hivi tukiweka sheria kwamba mwanafunzi akiiba mtihani hatafutiwa matokeo tutakuwa na wanafunzi wa aina gani?

..Tumeweka kifungu kwamba Raisi hatashtakiwa, halafu tumemkabidhi mali za kila aina, tunatarajia nini?
 
Hata yeye ni mwizi. Anadai stahili ambazo hakuzifanyia kazi.

Halafu alitutisha kushtakiwa MIGA baada ya kulipwa na wale alioenda kujificha kwao. Hii ni baada ya kulipwa pesa nyingi akaenda bungeni kupinga kukamata makinikia. Nani mjinga na mpumbavu anabisha hili kuwa Tundu Lissu ni mwizi
 
unaweza kujenga hoja bila kulia na ukaeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…