Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Chama ni cha watu wengi, lakini ni wapi pameandikwa tumsamehe Shetani?Kwahiyo siyo swala la kamati kuu tena? Bali ni swala la maamuzi yako? Siyo

Mathayo 6:14-15Chama ni cha watu wengi, lakini ni wapi pameandikwa tumsamehe Shetani?
Iweke hapaMathayo 6:14-15
Sii nimekuwekea hapo mtumishIweke hapa
Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema wale wabunge 19 wapo 2 wameandika barua za kuomba msamaha warudi, lakini pia wapo wengi wanamtafuta pembeni.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wafuate procedures, waandike barua kwa katibu mkuu kisha kamati kuu ikae kuamua hatma yao
Aida Lissu amesema Iringa watapokea wanachama wengine walioamua kurudi kama Slaa
Moja ya sababu ninayompendea Lissu ni mtu "EXTRA SMART ". Huona mbali na mapema zaidi ya wengine. Bravo.Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema wale wabunge 19 wapo 2 wameandika barua za kuomba msamaha warudi, lakini pia wapo wengi wanamtafuta pembeni.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wafuate procedures, waandike barua kwa katibu mkuu kisha kamati kuu ikae kuamua hatma yao
Aida Lissu amesema Iringa watapokea wanachama wengine walioamua kurudi kama Slaa
Siyo Mkuu. Usipende kuishi kwa hofu! Hata Wadira unayemuona leo kapitia mengi.Ila hili la kumpokea slaa chadema naona wamebugi mzee katumwa huyu wakafanya na igizo la kuwekana ndani ionekane ana ugomvi nao ili chadema wamsogezee jikon ajue nn kinaendeleea awapelekee
Haahaa msigwa anarudi lini,!?Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema wale wabunge 19 wapo 2 wameandika barua za kuomba msamaha warudi, lakini pia wapo wengi wanamtafuta pembeni.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wafuate procedures, waandike barua kwa katibu mkuu kisha kamati kuu ikae kuamua hatma yao
Aida Lissu amesema Iringa watapokea wanachama wengine walioamua kurudi kama Slaa
Slaa je?Hili ni jambo la Kamati kuu na Baraza kuu
sahihi kuna jambo wamejifunzaKuna haja ya kusamehe na kuendelea na mapambano, anayerudi aombe msamaha.
Ila wasijepokea hii tumbili imetukana sana Chadema na aliyekuwa Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe.
kwani slaa nae alikuwa viti maalum?Slaa je?
Kuhusu utaratibu wa kurejeakwani slaa nae alikuwa viti maalum?
kesi zao ni mbili tofautiKuhusu utaratibu wa kurejea
[emoji1787][emoji1787] Kuwa mpole utashirikiananaotu, ilimradi wanaongeza nguvu.Sitaki warejeshwe ila sina mamlaka ya kupinga uamuzi wa chama, lakini wakirejeshwa sitashirikiana nao
Hujui unachoongea ndugu, bora ukaekinya usubiri muda uongee.Wale malaya wa Covid 19 ni wapumbavu, na Chadema ikiwapokea itaonekana ni wapumbavu zaidi.
Lisu amewasha moto haswa, hao wabunge waachie kwanza ule ubunge fakeMwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema wale wabunge 19 wapo 2 wameandika barua za kuomba msamaha warudi, lakini pia wapo wengi wanamtafuta pembeni.