PreGE2025 Tundu Lissu: Tumepokea barua za wabunge wawili kati ya 19 tuliowafukuza uanachama CHADEMA, wanataka kurudi

PreGE2025 Tundu Lissu: Tumepokea barua za wabunge wawili kati ya 19 tuliowafukuza uanachama CHADEMA, wanataka kurudi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ndiyo.
Lijadiliwe huko na liamriwe huko kwa mijadala huru na haki.
Pamjoja na yote, itashangaza sana wakirudi kirahisi tu kana kwamba hakuna lolote baya lililofanyika kwa chama.
Kurudi kwao kuwe kwa masharti maalum; moja likiwa kutogombea nafasi yoyote ya uongozi katika muda maalum, ikiwemo ubunge.
Atakaye kubaliana na sharti hilo, huyo atakuwa na mapenzi na chama na siyo msukumo wa maslahi binafsi.
Kuwawekea masharti yaweza sababisha wakamwaga mboga.

Maana inasemekana hao hao top brass ya Cdm ni wanufaika wa kashifa hiyo.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema wale wabunge 19 wapo 2 wameandika barua za kuomba msamaha warudi, lakini pia wapo wengi wanamtafuta pembeni.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wafuate procedures, waandike barua kwa katibu mkuu kisha kamati kuu ikae kuamua hatma yao

Aida Lissu amesema Iringa watapokea wanachama wengine walioamua kurudi kama Slaa
Kosa kubwa kuwa rudisha hao wabunge tena kosa kubwa sana tofauti kabisa na kumrudisha Slaa ....hao wabunge walifanya fitina ya uchu wa fedha wakaketi bungeni kula pesa kinyume na chama chao tena wamesubiri hadi damu ya mwisho ya ulaji wao ndiyo wanataka chama!?nitawadharau chadema kama watafanya kosa kubwa kama ilo
 
Hakika.
Baba Yetu Muumba wa Mbingu na Nchi na vyote vilivyomo anasamehe, iweje sisi waja wake tusisamehe wale wanaokiri kuwa wamekosea na wapo tayari kubadilika!!???
👏👏🤝🫵👉💐💐💐💐💐💐
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema wale wabunge 19 wapo 2 wameandika barua za kuomba msamaha warudi, lakini pia wapo wengi wanamtafuta pembeni.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wafuate procedures, waandike barua kwa katibu mkuu kisha kamati kuu ikae kuamua hatma yao

Aida Lissu amesema Iringa watapokea wanachama wengine walioamua kurudi kama Slaa
Kina Msigwa 🤣🤣
 
Wale malaya wa Covid 19 ni wapumbavu, na Chadema ikiwapokea itaonekana ni wapumbavu zaidi.
Hawana ujanja lazima warudi.Mbona mumepokea kina Slaa waliounga mkono juhudi?

Mbona anataka kupokea Jamaa yake Msigwa?

Mtu kama Msigwa hata akirudi atapitia Jimbo gani Hadi achaguliwe?
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema wale wabunge 19 wapo 2 wameandika barua za kuomba msamaha warudi, lakini pia wapo wengi wanamtafuta pembeni.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wafuate procedures, waandike barua kwa katibu mkuu kisha kamati kuu ikae kuamua hatma yao

Aida Lissu amesema Iringa watapokea wanachama wengine walioamua kurudi kama Slaa
Wafuate procedures, waandike barua kwa katibu mkuu kisha kamati kuu ikae kuamua hatma yao💪🏿👌🏿
 
Hawana ujanja lazima warudi.Mbona mumepokea kina Slaa waliounga mkono juhudi?

Mbona anataka kupokea Jamaa yake Msigwa?

Mtu kama Msigwa hata akirudi atapitia Jimbo gani Hadi achaguliwe?
Kuna tofauti ya mtu anaye kiama chama kwa kuto kuridhika no moja mbili tatu na mtu anaye kiujumu chama chake ndani kwa ndani hao covid awakutoka chamani wenyewe walikuwa wanatumika kukiujumu ndani kwa ndani ....ndiyo maana hadi sasa wanataka kurudi chamani ila ni wabunge wa chadema bungeni huoni fitina hiyo KAMA CHADEMA WAKIKUBALI KUWA POKEA HAO LITAKUWA KOSA KUBWA SANA BORA MSIGWA ALIONDOKA CHAMANI BAADA YA KUTOKULIDHIKA NA MAMBO YALIVYO KUWA CHAMANI...HAO COVID19 NI HATARI KAMA YULE RAFIKI WA MUHUNI ABDUL NDANI YA CHADEMA.
 
Mtihani mgumu,katika safu za uongozi wa Chadema.
Wakirudi Chadema ni wazi hawatapewa kipaumbele cha kusaka ubunge,watabaki wanachama wa kawaida.
Hawajafuta kesi ya kuwakilisha Chadema bungeni kama viti maalum.
Kama kweli kuna wafia chama si muda watajitokeza.

Lakini Chadema kumsamehe Dr Slaa japo linaweza kuchukuliwa kama jambo zuri,lakini mkawakaanga akina mama hao kwa vifungu vya sheria na wengine wakiwaita malaya.Ndio mfume dume na unyanyasaji wa kijinsia mnajiingiza shimoni.
 
Back
Top Bottom