Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Kwanza wajivue ule ubunge fake haraka snHakuna mwenye uwezo wa kurejesha mamluki nje ya kamati kuu
Kwanza wajivue ule ubunge fake haraka snHakuna mwenye uwezo wa kurejesha mamluki nje ya kamati kuu
Ndio uungwanaKuna haja ya kusamehe na kuendelea na mapambano, anayerudi aombe msamaha.
Wewe unajua unachoongea?Hujui unachoongea ndugu, bora ukaekinya usubiri muda uongee.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Jamaa alisema ukweli, chadema mkaamua kumfurusha Mbowe na genge lake. Kwa sasa hata akirudi sawa tuu.Ila wasijepokea hii tumbili imetukana sana Chadema na aliyekuwa Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe.
Woyoooooo!Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema wale wabunge 19 wapo 2 wameandika barua za kuomba msamaha warudi, lakini pia wapo wengi wanamtafuta pembeni.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wafuate procedures, waandike barua kwa katibu mkuu kisha kamati kuu ikae kuamua hatma yao
Aida Lissu amesema Iringa watapokea wanachama wengine walioamua kurudi kama Slaa
Saa ya ukombozi yajaWatubu Haraka Saa Ya Ukombozi Ni Sasa
Acha Warudi Ila Ng'ombe Aliyekatika Mkia Machungani Hata Akirudi Zizini, Ng'ombe Wenzake Watajua Hana Mkia Tu
Kama Dkt Mihogo Na Wengine Aina Hiyo
Hamu yangu mama yako.
Mbowe hajafurushwa bali alishindwa kwenye uchaguzi na bado ni mwanacham na mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu ya chama.Jamaa alisema ukweli, chadema mkaamua kumfurusha Mbowe na genge lake. Kwa sasa hata akirudi sawa tuu.
Ukweli na uwaziWanamtafuta pembeni?!! Lissu hanaga siri
Unless hujui wajibu wako! Aidhasi vizuri mambo binafsi kuyaingiza kaziniSitaki warejeshwe ila sina mamlaka ya kupinga uamuzi wa chama, lakini wakirejeshwa sitashirikiana nao
Mimi nadhani ni jambo zuri kuwasamehe hawa hawakwenda kwa kupenda ila kwa mazingira ndiyo yaliyo wa force kwa wakati ule hata hawa wasienda wangeweza hata kuokoteza ambao siyo wanachama na kuwabambika kuwa ni wabunge wa CDM. Mimi nishauri waandike barua na kwakuwa watakuwa wamesamehewa watamalizia ubunge wao kisha waende wakapambane majimboni. Siasa zinakwenda na mda,, ana wakati. Huu ni mda wa hamsha amsha kila kinachowezekana kifanyike. Zimebaki siku chache sana kila kitu kiende kwa speed ya umeme. Hawakuibagaza CDM wakiwa bungeni imgawa waliitia doa na maumimuvu ila ndiyo siasa si hasa.Kuna haja ya kusamehe na kuendelea na mapambano, anayerudi aombe msamaha.
Mbowe kafurushwa, ule haukuwa uchaguzi bali ulikuwa uchafuzi. Lissu alikichafua kweli kweli.Mbowe hajafurushwa bali alishindwa kwenye uchaguzi na bado ni mwanacham na mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu ya chama.
Yupo sehemu salama mnamkumbuka mwache aende nafasi yake haipo.Ila wasijepokea hii tumbili imetukana sana Chadema na aliyekuwa Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe.
Mlimsema sana Mbowe kwa tetesi hizi za kuwapojea COVID 19.Sasa wewe Lisu Leo unataka kufanya Nini?Wewe na genge lako ni tapeli la kisiasa .Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema wale wabunge 19 wapo 2 wameandika barua za kuomba msamaha warudi, lakini pia wapo wengi wanamtafuta pembeni.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wafuate procedures, waandike barua kwa katibu mkuu kisha kamati kuu ikae kuamua hatma yao
Aida Lissu amesema Iringa watapokea wanachama wengine walioamua kurudi kama Slaa
Mbowe amesemwa vibaya sana na hili genge.Haya ya kutaka kuwarejesha Covid 19 ndani ya Chadema anafanya Lissu sasa, angeyafanya Mbowe angetukanwa kila tusi na kuitwa msaliti kutoka kwa wanachadema na maCCM.
Lisu anaongozwa na chuki pamoja na siasa chafu.Hatofanikiwa kuiendeleza CHADEMAMsaliti ni msaliti tu. Dk Slaa alisaliti Upadri, CHADEMA, UKAWA na sasa kaisaliti CCM halafu Lisu anampandisha jukwaani kumpokea na kumvalisha kabisa bendera ya CHADEMA. Hiyo KAMATI KUU YA chadema imekaa lini kupitisha hoja ya kumsamehe na kumrudishia uanachama wake na mbona hatujaona taarifa rasmi ya chama juu ya kusamehewa kwake. Na mbaya zaidi Dk Slaa alitoa tuhuma nzito sana za uongo kwa CHADEMA kuhusu Lisu kipigwa risasi, CHADEMA kuwa na kikundi kinachoteka watu, na wanaomtetea Mbowe kuwa sio gaidi wananyamaze kwani hawajui kitu, n.k. na kwa teknolojia ilivyo sasa hizo tuhuma hazifutiki bado zipo mitandaoni. Hata hao waliompa kazi ya ubalozi walipomstaafisha akaanza kuwapa tuhuma za uongo badala ya kujenga hoja.
Kwa kuwa Lisu ametangaza kumrudisha na kumtumia Dk Slaa kwenye mikutano na ziara zao ni vyema basi wakati anahutubia akawa anatoa ushahidi wa tuhuma nzito alizozitoa dhidi ya CHADEMA na vile vile kama zilikuwa ni za uongo basi akiri jukwaani kuwa alisema uongo. Na aache kujitetea jumla jumla tu kuwa eti tulikwaruzana kidogo huko nyuma kwa hiyo tusameheane tuendelee mbele. Halafu viongozi wanakaa wanacheka cheka nae pale jukwaani bila kujua kuna watu makini ndani ya CHADEMA na nje ya CHADEMA ambao wanahitaji majibu sahihi kwa tuhuma nzito alizozitoa huyo Dk Slaa.
Lisu na timu yake ya uongozi naye aache kurudia makosa yaliyoigharimu CHADEMA. CHADEMA iliwahi kuwapokea watu maarufu sana na haraka haraka wakapewa nafasi za juu huku wafia chama wakiachwa lakini baadae wakaja kukiasi chama matokeo yake wanachama na wafia chama wakawa wanapoteza imani na CHADEMA. Nilitegemea kuwa katika uongozi huu unaosema upo makini kwanza hao kina Slaa na wasaliti wengine na hata wageni wengine wanahamia kwanza wawe wanachama wa kawaida kabisa kwa kipindi kisichopungua miaka mitatu. Baada ya hapo ndio waanze kupewa nafasi za uongozi. Vinginevyo hali inayoendelea sasa hivi itakuwa ngumu sana kwa CHADEMA kufanikiwa.
Ni mtizamo tu.
Ulichoandika sio sahihi kwa 100%.Mimi nadhani ni jambo zuri kuwasamehe hawa hawakwenda kwa kupenda ila kwa mazingira ndiyo yaliyo wa force kwa wakati ule hata hawa wasienda wangeweza hata kuokoteza ambao siyo wanachama na kuwabambika kuwa ni wabunge wa CDM. Mimi nishauri waandike barua na kwakuwa watakuwa wamesamehewa watamalizia ubunge wao kisha waende wakapambane majimboni. Siasa zinakwenda na mda,, ana wakati. Huu ni mda wa hamsha amsha kila kinachowezekana kifanyike. Zimebaki siku chache sana kila kitu kiende kwa speed ya umeme. Hawakuibagaza CDM wakiwa bungeni imgawa waliitia doa na maumimuvu ila ndiyo siasa si hasa.