Tundu Lissu tumia ujuzi wako wa sheria ndege iliyokamatwa iachiwe

Nyani atumwe kwa sokwemtu agomboe mbaazi za tumbili zilizokamatwa na ngedere. Kama ni tundulissu wangu nimayemjua akishaigomboa tu ataanza kuila by the time mnagutu keshaimaliza sana sana kamkabizi fatmakarume for safekeeping in India.
 
Lissu ni loud speaker tu.
Nipe kesi ya makampuni aliyoitetea successfully mahakamani na hivyo kujipatia sifa na umaarufu katika eneo hilo.
 
Kosa lako topic yako imejaa kashfa , unoko, roho mbaya,kejeli na dharau kuonyesha una mtu unaona alitumbuliwa kimakosa, na lau si kumtumbua hii shida ingelikwisha kitambo hivyo basi wacheni mkome, (sukuma gangs), Bali pia akina Tundu Lissu kwa sababu wamemkukubali MAMA kwa UCHAPAKAZI wake na UADILIFU WAKE ktk kutetea HAQI za watu na mali zao ,na wakati wote wa DICTOTOR walipiga kelele mwanzo mwisho kukataa mateso, ubabe, wizi, ubadhirifu,na dhulma kwa nafsi za watu na mali zao, kwa akili za kijiko ulizoonayo unaona wanalamba ASALI !, ambayo ilikuwa SERA ya sukuma gangs,kwa muktadha huo RAIS wetu MAMA SAMIA hakushindwa kumtuma TUNDU LISSU KABUDI (unayemtengenezea uadui na RAIS) au mwengine yeyote hata kusubiri umshauri wewe SUU NAFSI WARUUH QABIH ( SUKUMA GANGS ) bal yadhihirisha hata macho yalivyo mekundu kuonyesha na roho zenu ni nyeusi tiii.
 
Hujasoma ripoti ya CAG ? ni haki ipi unayoizungumzia au ndiyo kazi ya nyumbu kushangilia tu
 
Sukuma Gang nendeni mkairudishe kwani marehemu wenu ndiye aliyeiponza kwa upumbavu wake wa kihutu.
Wewe itakuwa ni shoga la kiume bi dada wa kiume .walah..tena..wanaume hawawi hivi walah
 
Wanasheria wa serikali wanalipwa mishahara, kazi yao ni ipi ikiwa mnataka Tundu Lissu aitetee serikali kwanza kubalini wanasheria wenu hawana uwezo ndipo Lissu aingie kazini.
 
Nenda wewe na mamako, au tatizo nauli?
 
Hayo madeni marehemu wala hayamuhusu. Ingekuwa Sukuma gang wapo madarakani usingesikia huo ujinga. Mbona walijaribu wakashindwa.
Sasa kama hayamhusu tueleze kina kabudi walikuwa wanaenda kukomboa kitu gani na kwa sababu gani? Ukiwa mpumbavu jaribu kuwa na kaujinga flani hivi ka kubishana na werevu!
 
Wakuu mbona huku kijiji cha Nyatwali hatuna habari hizo za kushikiliwa ndege kwa takribani miezi sita? aiseee! hii habari imefanya hadi machozi yananilengalenga, tatizo ni nini lakini!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…