Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Nchi hii kuna mambo ambayo bila kuongelewa na wanasiassa au watu maarufu, mambo hayo huendelea kufanyika hata kama yako kinyume cha sheria na yanaumiza wananchi.
Mojawapo na hili la mikopo ya mitandaoni ambalo hata Raisi wa nchi sidhani kama amewahi kuliongelea.
Hili kwa sasa ni tatizo kama ilivyo bangi na madawa ya kulevya.
Lissu na wapinzani kwa ujumla, tunaomba swala hili liwe agenda kwenye mikutano yenu ya hadhara.
Sikilza hii clip: