Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wako wale watupa laini wakudhani akitupa laini deni kinakufa anasahau kuwa laini alisajili kwa kitambulisho Cha taifa na dole gumbaMtu anakopa halafu anajikausha,simu hapokei,akiitwa tapeli anaanza kulia lia eti anadhalilishwa.
Nawajibika kwa maisha yangu na sio kwa maisha ya ndugu zangu.Ngugu zenu huko remote areas ndio wahanga wakubwa
Wakopaji wakubwa mitandaoni sio maskini ni watu wenye kipatoKauli ya Lisu haiwezi kubadili chochote kwasbb mzizizi wa tatizo ni umaskini.
Mpk serikali ifanye jitihada za dhati kupunguza umaskini huu ndiyo ukopaji holela utapungua.
Mambo ni holela mno!Akiongea,serikali nzima itajitokeza kujibu na walau tutaona kuna jitihada za kuidhibiti.
Anyway, CCM imefeli kwenye mambo mengi tu sio hili.
Unataka Serikali ilinde wezi3Watu wanadhalilika sana mpaka huruma.Ni wajibu wa serikali kulinda raia wake, vinginevyo hata madawa ya kulevya ikkiwemo bangi yangeachwa tu watu wayatumie.
Sipo hapa kumfurahisha yeyote,mimi sio Bwana yako.Hivi wewe jamaa naona bado hujaelewa ila umeamua kucomment ili ufarahishe jamvi
Utajijua kilichokupeleka Kwake ukakope Nini? Wale wanachaji riba kubwa Kwa matapeli waliokatalliwa na wakopeshaji wanao chaji riba ndogoTapeli na mwiizi ni yule anaechaji riba ya asilimia 50 ndani ya wiki huku hata leseni hana.
Naunga mkono hojaSipo hapa kumfurahisha yeyote,mimi sio Bwana yako.
Narudia tena waswahili kama mnakopa halafu hamtaki kulipa mdhalilishwe tu hakuna huruma kwa tapeli.
Kama unajua hana leseni kwanini unaenda kukopa kwake?Tapeli na mwiizi ni yule anaechaji riba ya asilimia 50 ndani ya wiki huku hata leseni hana.
Mnakaa-nyagwa wewe na jao wamikopo wa mtandaoni ila soon mwarobaini wenu unapatikana juju nyieSipo hapa kumfurahisha yeyote,mimi sio Bwana yako.
Narudia tena waswahili kama mnakopa halafu hamtaki kulipa mdhalilishwe tu hakuna huruma kwa tapeli.
Ilo ni suala la kipambavu sana Lissu kuliongelea. Soma vigezo na masharti kabla ya kukopa na ukiamua kukopa akikisha mzunguko wako wa hela unaruhusu kulipa deni kwa wakatiNchi hii kuna mambo ambayo bila kuongelewa na wanasiassa au watu maarufu, mambo hayo huendelea kufanyika hata kama yako kinyume cha sheria na yanaumiza wananchi.
Mojawapo na hili la mikopo ya mitandaoni ambalo hata Raisi wa nchi sidhani kama amewahi kuliongelea.
Hili kwa sasa ni tatizo kama ilivyo bangi na madawa ya kulevya.
Lissu na wapinzani kwa ujumla, tunaomba swala hili liwe agenda kwenye mikutano yenu ya hadhara.
Sikilza hii clip:
Soma sheria za ukopeshaji na si kuleta ujinga kwenye mambo ya msingi... Ipo wazi hizi kampuni za kutoa mikopo mitandaoni zimekaa kiutapeli na wanajua sheria zipo lakini hazifanyi kazi kwao ..Kama unajua hana leseni kwanini unaenda kukopa kwake?
Ulivyo MPUMBAVU hata ukinywa sumu kwa makusudi utalaumu serikali.
Hawa wapo bize kudai katiba tu badala ya kudeal na issue zinazowatesa raia. Hiyo mikopo na hivi vimicrofinance vinawatesa raia hasa bayport lakini kamwe huwasikii hawa viongoz wetu wakilizungumzia sio bungeni wala hawa wanasiasa wa upinzani ila nadhani Makonda atawavaa ni swala la muda tu.
Mpaka siku Lissu atapoongea, ndio utwaona wanajibaraguza kujibu.Kwa ninachoona hili suala @napennauye anahusika na ana mgao mkubwa sana, anaruhusu vipi haya kama hana mgao?!