Tundu Lissu tunaomba uingilie kati suala la mikopo ya mitandaoni labda serikali itachukua hatua

Tundu Lissu tunaomba uingilie kati suala la mikopo ya mitandaoni labda serikali itachukua hatua

Usidanganyike benki zinakopesha yoyote mwenye dhamana ya vitu
Sio kweli Sasa hivi wanajikita kwenye kitu kinachoingiza pesa zaidi kama nyumba iwe ya kupangisha nk hawatumii majumba ya kulala na kuamka
 
1. Soma vigezo na masharti kabla ya kukopa.

2. Ukiamua kukopa,hakikisha unalipa kiwango chote ulichokopa na kwa wakati mwafaka.

3. Ukipuuza mambo hayo, acha tu wakudhalilishe.

Mswahili anataka akope halafu muda wa kulipa uanze kumbembeleza na kutia huruma.
Naomba kujua zilipo ofisi za swift fund au zamani wakijiita m pesa financial, kama utazipata nijulishe
 
Back
Top Bottom