Hapana mkuu. Watu wengi wana smartphone lkn hali zao za kimaisha ni chokambaya (chokest). Kwahiyo usitumie umiliki wa smartphone kama kigezo cha mtu kutoboa kimaisha.Wakopaji wakubwa mitandaoni sio maskini ni watu wenye kipato
Maskini Hana uwezo wa kumiliki simu janja yenye internet
Mtu anamiliki simu janja yenye internet utamwita maskini? Maskini simu zake Nokia torch Tena hata button unakuta zimefutika yeye tu ndie ajua