1. Soma vigezo na masharti kabla ya kukopa.
2. Ukiamua kukopa,hakikisha unalipa kiwango chote ulichokopa na kwa wakati mwafaka.
3. Ukipuuza mambo hayo, acha tu wakudhalilishe.
Mswahili anataka akope halafu muda wa kulipa uanze kumbembeleza na kutia huruma.