LOoooh! Yamekuwa haya tena?kauli hiyo ya Lissu anaonesha kuwa kishashindwa.
Simshangai, nafahamu anaelewa kuwa Tanzania ni Republic siyo democracy, Rais haamuliwi na masanduku ya kura. Anateuliwa, kura ni za kupatia takwimu za uongozi tu.
Magu alipata pressure iliyompelekea kifo baada ya kuhoji matokeo lakini akashindwa na lissuShujaa Magufuli walimkabili kwa kupata Mbunge mmoja? 😄😄😄
Upinzani kwenye uchaguzi muhimu ili Ile hazina yao waliyoficha wajitoe tuifaidi wananchi na zile hela Toka arabuni tunazitaka zije ukisusa unawapa faida maccmHapa Lissu kapotea!
Umkabili Samia kwenye uchaguzi wenye tume ile ile iliyojaa maafisa vipenyo wa serikali wenye viapo vya utii kwa rais??
Wakurugenzi na PoliCCM wanalinda vibarua vyao unatarajia ushindi gani?
Hapo baada ya uchaguzi tutarajie wimbo ule ule wa miaka yote "TUMEIBIWA" halafu inapita miaka mingine mitano mnajiingiza kwenye igizo hili linaoitwa uchaguzi.
CHADEMA walitakiwa wasusie uchaguzi huu bila tume huru na mfumo mpya wa kueleweka.
We we unaishi kwa uchawa 2020 tunampinga chini Binti kiziwi je utaishije?Jibu swali,anaishi Kwa saisa akishindwa Urais atafanya kazi gani?
Huyu ni mdini kichwa yake imejaa juzuu huwezi jadili naye mambo ya akili akakuelewaLOoooh! Yamekuwa haya tena?
Imenilazimu ninakili haya maneno yako niyaweke kwenye kumbukumbu, maana sijawahi kukusoma ukiwa katika hali hii!
Hata hivyo itabidi uweke maelezo ya ziada, kwani huyo "rais atakaye teuliwa", ni lazima awe ni 'Chura Kiziwi'?
Safari hii kazi mnayo kwelikweli!
Ahahahahaha!!!Shujaa Magufuli walimkabili kwa kupata Mbunge mmoja? 😄😄😄
Kalamu sentensu ya kwanza sehemu ya pili sijakueleea huko nilikotoka ni wapi?Unajitahidi kwa uandishi ulio nyooka kidogo; ingawa uliniudhi sana kwa ile lugha yenu ya huko mlikotoka. Unapokubali kuwa mtu wa hapa, basi huko kwingine achana nako kabisa.
Kuhusu Lissu. Huyu ni kiongozi tofauti kabisa na hawa wengine wa hivi karibuni tulio wahi kuwa nao.
Kama siyo huyu atakaye tusaidia kuwaondoa hawa watekaji wa CCM; hasa hasa huyu 'Chura Kiziwi', basi nchi hii itakuwa na bahati mbaya sana kwenda mbele..
Tumpe ushirikiano Tundu Lissu; hata kama ni kwa kazi moja tu ya muda mfupi; kuondoa utawala huu usio wajali waTanzania.
Ndiyo protokoli ilivyo kwa sasa. Kuna "factors" nyingi za kuamuwa Rais awe nani ndiyo maana walipata tabu kutangaza kifo cha Magufuli. Jenerali alishindwa kuusema ukweli kuwa waliamrishwa wasubiri mpaka ije amri.LOoooh! Yamekuwa haya tena?
Imenilazimu ninakili haya maneno yako niyaweke kwenye kumbukumbu, maana sijawahi kukusoma ukiwa katika hali hii!
Hata hivyo itabidi uweke maelezo ya ziada, kwani huyo "rais atakaye teuliwa", ni lazima awe ni 'Chura Kiziwi'?
Safari hii kazi mnayo kwelikweli!
Faza Foxy hawezi kujadili jambo lolote beyond Religious Doctrin, ni mtu aliyeathirika kwa Udini na anautumia wazi wazi kubagua watu.Huyu ni mdini kichwa yake imejaa juzuu huwezi jadili naye mambo ya akili akakuelewa
Ana kidhi vigezo? Vipi? Hapo alipofika ni kwa kubebwa tu na mfumo na hawezi ushindani. Ataangukia pua hili hata CCya ccm inajua na NEC inajua.Ndiyo protokoli ilivyo kwa sasa. Kuna "factors" nyingi za kuamuwa Rais awe nani ndiyo maana walipata tabu kutangaza kifo cha Magufuli. Jenerali alishindwa kuusema ukweli kuwa waliamrishwa wasubiri mpaka ije amri.
Mpaka sasa Mama Samia anakidhi vigezo vyote. Kumbuka uamuzi wa nani atawale hautegemei Watanzania pekee.
Hujiamini kabisa,2020? 😂😂We we unaishi kwa uchawa 2020 tunampinga chini Binti kiziwi je utaishije?
Majambazi mwaka huu mtatoa siri zote cc Napekauli hiyo ya Lissu anaonesha kuwa kishashindwa.
Simshangai, nafahamu anaelewa kuwa Tanzania ni Republic siyo democracy, Rais haamuliwi na masanduku ya kura. Anateuliwa, kura ni za kupatia takwimu za uongozi tu.
Unajipa moyo.....Ukweli ubajulikana Nguvu na Uwezo wa Lissu vs MamaHujiamini kabisa,2020? 😂😂
Lisu hawezi kuwa Rais 🤣🤣
Elewa tu kwenye republic haiamui sanduku la kuru, hayo ni mambo ya democracy.Majambazi mwaka huu mtatoa siri zote cc Nape
Hakuna dini kama hiyo. Huyo ni mlevi tu kama walivyo walevi wengine wote, iwe ulevi wa kinywaji, madawa, au hizi imani. Ulevi wa aina yoyote ile unaharibu akili; na huyo akili yake ilisha athirika siku nyingi.Huyu ni mdini kichwa yake imejaa juzuu huwezi jadili naye mambo ya akili akakuelewa
Sitapenda kuweka maneno ya kuvuruga mtiririko huu wa mawazo yako haya kama ulivyo yaweka hapa. Ngoja niyaache yalivyo; na kuyajumuisha na yale mengine niliyojiwekea kwenye kumbukumbu.Ndiyo protokoli ilivyo kwa sasa. Kuna "factors" nyingi za kuamuwa Rais awe nani ndiyo maana walipata tabu kutangaza kifo cha Magufuli. Jenerali alishindwa kuusema ukweli kuwa waliamrishwa wasubiri mpaka ije amri.
Mpaka sasa Mama Samia anakidhi vigezo vyote. Kumbuka uamuzi wa nani atawale hautegemei Watanzania pekee.
Usichoke tu.Sitapenda kuweka maneno ya kuvuruga mtiririko huu wa mawazo yako haya kama ulivyo yaweka hapa. Ngoja niyaache yalivyo; na kuyajumuisha na yale mengine niliyojiwekea kwenye kumbukumbu.
Usichokoze na mawazo mfu haya. Najua 'ulevi' ni tabia mbovu inayovuruga akili..., haya yaachie hapo ulipo yafikisha.Usichoke tu.
Utaniwia radhi sana kama nimekuchanganya na mnyarwanda mmoja humu aliyeleta tabia za huko kwao na kubandika lugha yao kwenye jukwaa hili wiki chache zilizo pita akijibishana na mkuu 'imhotep'.Kalamu sentensu ya kwanza sehemu ya pili sijakueleea huko nilikotoka ni wapi?
Umeusema ukweli kuwa Mpinzani wa kweli mwenye maono na nguvu kwa sasa ni Tundu Lissu na uwezo wa kuongoza nchi anao. Deep state waache uwanja huru. Tundu hahitaji Upendeleo ili kufanikiwa jambo hili. He is by Meritocracy