LOoooh! Yamekuwa haya tena?kauli hiyo ya Lissu anaonesha kuwa kishashindwa.
Simshangai, nafahamu anaelewa kuwa Tanzania ni Republic siyo democracy, Rais haamuliwi na masanduku ya kura. Anateuliwa, kura ni za kupatia takwimu za uongozi tu.
Imenilazimu ninakili haya maneno yako niyaweke kwenye kumbukumbu, maana sijawahi kukusoma ukiwa katika hali hii!
Hata hivyo itabidi uweke maelezo ya ziada, kwani huyo "rais atakaye teuliwa", ni lazima awe ni 'Chura Kiziwi'?
Safari hii kazi mnayo kwelikweli!