Tundu Lissu: Tutamkabili Dr Samia kama tulivyomkabili Hayati Dr Magufuli kwenye Uchaguzi Ujao, tumejipanga

kauli hiyo ya Lissu anaonesha kuwa kishashindwa.

Simshangai, nafahamu anaelewa kuwa Tanzania ni Republic siyo democracy, Rais haamuliwi na masanduku ya kura. Anateuliwa, kura ni za kupatia takwimu za uongozi tu.
LOoooh! Yamekuwa haya tena?

Imenilazimu ninakili haya maneno yako niyaweke kwenye kumbukumbu, maana sijawahi kukusoma ukiwa katika hali hii!

Hata hivyo itabidi uweke maelezo ya ziada, kwani huyo "rais atakaye teuliwa", ni lazima awe ni 'Chura Kiziwi'?
Safari hii kazi mnayo kwelikweli!
 
Hapa Lissu kapotea!

Umkabili Samia kwenye uchaguzi wenye tume ile ile iliyojaa maafisa vipenyo wa serikali wenye viapo vya utii kwa rais??

Wakurugenzi na PoliCCM wanalinda vibarua vyao unatarajia ushindi gani?

Hapo baada ya uchaguzi tutarajie wimbo ule ule wa miaka yote "TUMEIBIWA" halafu inapita miaka mingine mitano mnajiingiza kwenye igizo hili linaoitwa uchaguzi.

CHADEMA walitakiwa wasusie uchaguzi huu bila tume huru na mfumo mpya wa kueleweka.
Upinzani kwenye uchaguzi muhimu ili Ile hazina yao waliyoficha wajitoe tuifaidi wananchi na zile hela Toka arabuni tunazitaka zije ukisusa unawapa faida maccm
 
LOoooh! Yamekuwa haya tena?

Imenilazimu ninakili haya maneno yako niyaweke kwenye kumbukumbu, maana sijawahi kukusoma ukiwa katika hali hii!

Hata hivyo itabidi uweke maelezo ya ziada, kwani huyo "rais atakaye teuliwa", ni lazima awe ni 'Chura Kiziwi'?
Safari hii kazi mnayo kwelikweli!
Huyu ni mdini kichwa yake imejaa juzuu huwezi jadili naye mambo ya akili akakuelewa
 
Unajitahidi kwa uandishi ulio nyooka kidogo; ingawa uliniudhi sana kwa ile lugha yenu ya huko mlikotoka. Unapokubali kuwa mtu wa hapa, basi huko kwingine achana nako kabisa.

Kuhusu Lissu. Huyu ni kiongozi tofauti kabisa na hawa wengine wa hivi karibuni tulio wahi kuwa nao.

Kama siyo huyu atakaye tusaidia kuwaondoa hawa watekaji wa CCM; hasa hasa huyu 'Chura Kiziwi', basi nchi hii itakuwa na bahati mbaya sana kwenda mbele..
Tumpe ushirikiano Tundu Lissu; hata kama ni kwa kazi moja tu ya muda mfupi; kuondoa utawala huu usio wajali waTanzania.
Kalamu sentensu ya kwanza sehemu ya pili sijakueleea huko nilikotoka ni wapi?

Umeusema ukweli kuwa Mpinzani wa kweli mwenye maono na nguvu kwa sasa ni Tundu Lissu na uwezo wa kuongoza nchi anao. Deep state waache uwanja huru. Tundu hahitaji Upendeleo ili kufanikiwa jambo hili. He is by Meritocracy
 
LOoooh! Yamekuwa haya tena?

Imenilazimu ninakili haya maneno yako niyaweke kwenye kumbukumbu, maana sijawahi kukusoma ukiwa katika hali hii!

Hata hivyo itabidi uweke maelezo ya ziada, kwani huyo "rais atakaye teuliwa", ni lazima awe ni 'Chura Kiziwi'?
Safari hii kazi mnayo kwelikweli!
Ndiyo protokoli ilivyo kwa sasa. Kuna "factors" nyingi za kuamuwa Rais awe nani ndiyo maana walipata tabu kutangaza kifo cha Magufuli. Jenerali alishindwa kuusema ukweli kuwa waliamrishwa wasubiri mpaka ije amri.

Mpaka sasa Mama Samia anakidhi vigezo vyote. Kumbuka uamuzi wa nani atawale hautegemei Watanzania pekee.
 
Huyu ni mdini kichwa yake imejaa juzuu huwezi jadili naye mambo ya akili akakuelewa
Faza Foxy hawezi kujadili jambo lolote beyond Religious Doctrin, ni mtu aliyeathirika kwa Udini na anautumia wazi wazi kubagua watu.

Hatufai.
 
Ndiyo protokoli ilivyo kwa sasa. Kuna "factors" nyingi za kuamuwa Rais awe nani ndiyo maana walipata tabu kutangaza kifo cha Magufuli. Jenerali alishindwa kuusema ukweli kuwa waliamrishwa wasubiri mpaka ije amri.

Mpaka sasa Mama Samia anakidhi vigezo vyote. Kumbuka uamuzi wa nani atawale hautegemei Watanzania pekee.
Ana kidhi vigezo? Vipi? Hapo alipofika ni kwa kubebwa tu na mfumo na hawezi ushindani. Ataangukia pua hili hata CCya ccm inajua na NEC inajua.
 
kauli hiyo ya Lissu anaonesha kuwa kishashindwa.

Simshangai, nafahamu anaelewa kuwa Tanzania ni Republic siyo democracy, Rais haamuliwi na masanduku ya kura. Anateuliwa, kura ni za kupatia takwimu za uongozi tu.
Majambazi mwaka huu mtatoa siri zote cc Nape
 
Elewa tu kwenye republic haiamui sanduku la kuru, hayo ni mambo ya democracy.

Mifano ipo mingi lakini hamuioni, nafahamu kuwa shule mlienda kusomea ujinga. Lakini naona huu wa kusomea umechanganyika na wa asili kwa wengine.

Kama hamuelewi au wengine mlikuwa hamjazaliwa; wakati tunaondoka chama kimoja kuelekea vyama vingi, waliotaka tuingie kwenye vyama vingi ni kidogo kuliko waliotaka kibaki chama kimoja.

Kwanini wengi wasipewe (democracy)?

Ukipata jibu utaelewa maana ya "republic".
 
Huyu ni mdini kichwa yake imejaa juzuu huwezi jadili naye mambo ya akili akakuelewa
Hakuna dini kama hiyo. Huyo ni mlevi tu kama walivyo walevi wengine wote, iwe ulevi wa kinywaji, madawa, au hizi imani. Ulevi wa aina yoyote ile unaharibu akili; na huyo akili yake ilisha athirika siku nyingi.
 
Ndiyo protokoli ilivyo kwa sasa. Kuna "factors" nyingi za kuamuwa Rais awe nani ndiyo maana walipata tabu kutangaza kifo cha Magufuli. Jenerali alishindwa kuusema ukweli kuwa waliamrishwa wasubiri mpaka ije amri.

Mpaka sasa Mama Samia anakidhi vigezo vyote. Kumbuka uamuzi wa nani atawale hautegemei Watanzania pekee.
Sitapenda kuweka maneno ya kuvuruga mtiririko huu wa mawazo yako haya kama ulivyo yaweka hapa. Ngoja niyaache yalivyo; na kuyajumuisha na yale mengine niliyojiwekea kwenye kumbukumbu.
 
Usichoke tu.
 
Kalamu sentensu ya kwanza sehemu ya pili sijakueleea huko nilikotoka ni wapi?

Umeusema ukweli kuwa Mpinzani wa kweli mwenye maono na nguvu kwa sasa ni Tundu Lissu na uwezo wa kuongoza nchi anao. Deep state waache uwanja huru. Tundu hahitaji Upendeleo ili kufanikiwa jambo hili. He is by Meritocracy
Utaniwia radhi sana kama nimekuchanganya na mnyarwanda mmoja humu aliyeleta tabia za huko kwao na kubandika lugha yao kwenye jukwaa hili wiki chache zilizo pita akijibishana na mkuu 'imhotep'.

Kitu pekee kinachoweza kumvurugia Tundu Lissu kwa sasa hivi ni CHADEMA tu basi!
 
Back
Top Bottom