Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hapo jana akiwa amewasili kutoka Ughaibuni alikokuwa kwenye Mapumziko ya takribani Mwezi Mmoja ameyasema hayo.
Mh Tundu Lissu Ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Chama cha Denlmokrasia na Maendeleo Chadema amebainisha kuwa hawataacha kumkabili mpinzani wao wa chama cha mapinduzi.
Tundu Lissu ametanabaisha kuwa kama Dr Hayati Magufuli aliyekuwa mkali na kutisha namna ile walimkabili kiasi ambacho alishindwa hadi leo kubandika matokeo ya Urais kila jimbo kama ilivyo takwa la kisheria then anajua kilichompata kwenye uchaguzi ule. Yeye anadai Dr Samia kwenye kinyanganiro kijacho ni mwepesi.
Alipoulizwa kuwa anasemaje pale anaoona Dr Samia akisifiwa kila mahali kwa kazi yake nzuri, Makanu huyo alijibu kwa kusema hao wanaoimba nyimbo za sifa ni waliohongwa tu lakini ukweli wenyewe uko wazi.
Katk mahojiano mafupi na vyombo vya habari aliulizwa pia nini maoni yake kuhusu Kuhama chama Mchungaji Msigwa na kuanza kukibagaza chama chake cha zamani Tundu Amesema haishangazi kwa kuwa kila anayehama Chadema anakiongelea vibaya siku zote licha ya kuwa amekuwa kiongozi mkubwa akiwa Memba wa Kamati kuu na Halimashauri kuu pamoja na kuwa mbunge kwa vipindi vyote viwili.
Swala lingine lililogusa hisia za waandishi ni namna alivyojibu kuhusu minong'ono kuwa Ndani ya Chama kuna migogoro
Mh Lissu alijibu kwa kusema chama ambacho hakisemwi wala kubagazwa basi hicho ni chama mfu na hakipo. Kwa kusema hivyo Chadema ni Chama hai na kina impact ndio maana kinazungumzwa kila mahali.
" Mimi sina ugomvu na mwenyekiti na nimeshasema zaidi ya mara mia kuwa sitagombea na sina Mgogoro wowote"... Alinukuriwa akisema hayo Mh Tundu.
Maoni Yangu binafsi.
Tundu Lissu anaonekana akiwa mkakamavu na mwenye nguvy mpya hata kwa macho tu. Pili pamoja na kuwa mpinzani wa muda mrefu huyu jamaa hazeeki.
Ana miaka 57 sasa bado analipa anaonekana kijana wa miaka 35 hivi.
Hata hivyo ni kipindi ambacho manabii kama Nabii Siguye anadai ktk njozi zake ameona Chama kimoja cha Upinzani kikiibuka kama Giant.
Tunawatakia Kila la Kheri Wapambaji woote na Wananchi wa Tanzania wenye Mapenzi Mema kwa kukataa utawala ulioshindwa kuleta maendeleo kwa kipindi cha miaka 60.
Mwaka 2025 ni Mwaka wa Ukombozi, hakuna mwaka mwingine,
Muda ulioamuriwa ni sasa, muda mzuri ni Muda wa Mungu.
Weekend Njema.
View: https://youtu.be/h4L79n4sa1U?si=CAz4UO04XwrIm8AT