Tundu Lissu: Tutamkabili Dr Samia kama tulivyomkabili Hayati Dr Magufuli kwenye Uchaguzi Ujao, tumejipanga

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Hapo jana akiwa amewasili kutoka Ughaibuni alikokuwa kwenye Mapumziko ya takribani Mwezi Mmoja ameyasema hayo.

Mh Tundu Lissu Ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Chama cha Denlmokrasia na Maendeleo Chadema amebainisha kuwa hawataacha kumkabili mpinzani wao wa chama cha mapinduzi.

Tundu Lissu ametanabaisha kuwa kama Dr Hayati Magufuli aliyekuwa mkali na kutisha namna ile walimkabili kiasi ambacho alishindwa hadi leo kubandika matokeo ya Urais kila jimbo kama ilivyo takwa la kisheria then anajua kilichompata kwenye uchaguzi ule. Yeye anadai Dr Samia kwenye kinyanganiro kijacho ni mwepesi.

Alipoulizwa kuwa anasemaje pale anaoona Dr Samia akisifiwa kila mahali kwa kazi yake nzuri, Makanu huyo alijibu kwa kusema hao wanaoimba nyimbo za sifa ni waliohongwa tu lakini ukweli wenyewe uko wazi.

Katk mahojiano mafupi na vyombo vya habari aliulizwa pia nini maoni yake kuhusu Kuhama chama Mchungaji Msigwa na kuanza kukibagaza chama chake cha zamani Tundu Amesema haishangazi kwa kuwa kila anayehama Chadema anakiongelea vibaya siku zote licha ya kuwa amekuwa kiongozi mkubwa akiwa Memba wa Kamati kuu na Halimashauri kuu pamoja na kuwa mbunge kwa vipindi vyote viwili.

Swala lingine lililogusa hisia za waandishi ni namna alivyojibu kuhusu minong'ono kuwa Ndani ya Chama kuna migogoro

Mh Lissu alijibu kwa kusema chama ambacho hakisemwi wala kubagazwa basi hicho ni chama mfu na hakipo. Kwa kusema hivyo Chadema ni Chama hai na kina impact ndio maana kinazungumzwa kila mahali.

" Mimi sina ugomvu na mwenyekiti na nimeshasema zaidi ya mara mia kuwa sitagombea na sina Mgogoro wowote"... Alinukuriwa akisema hayo Mh Tundu.

Maoni Yangu binafsi.

Tundu Lissu anaonekana akiwa mkakamavu na mwenye nguvy mpya hata kwa macho tu. Pili pamoja na kuwa mpinzani wa muda mrefu huyu jamaa hazeeki.

Ana miaka 57 sasa bado analipa anaonekana kijana wa miaka 35 hivi.

Hata hivyo ni kipindi ambacho manabii kama Nabii Siguye anadai ktk njozi zake ameona Chama kimoja cha Upinzani kikiibuka kama Giant.

Tunawatakia Kila la Kheri Wapambaji woote na Wananchi wa Tanzania wenye Mapenzi Mema kwa kukataa utawala ulioshindwa kuleta maendeleo kwa kipindi cha miaka 60.

Mwaka 2025 ni Mwaka wa Ukombozi, hakuna mwaka mwingine,

Muda ulioamuriwa ni sasa, muda mzuri ni Muda wa Mungu.

Weekend Njema.

View: https://youtu.be/h4L79n4sa1U?si=CAz4UO04XwrIm8AT
 
Bora ungegombea ubunge uwe na mchanango wa maana Bungeni ila huku kwenye Urais si tuu hutapata kura za kutosha Bali ndio itakuwa mwisho wa siasa zako.
 
kauli hiyo ya Lissu anaonesha kuwa kishashindwa.

Simshangai, nafahamu anaelewa kuwa Tanzania ni Republic siyo democracy, Rais haamuliwi na masanduku ya kura. Anateuliwa, kura ni za kupatia takwimu za uongozi tu.
Duu na wewe mwislam unabariki wizi wa kura na uporaji?

Mbingu na Firdaus ni ngumu sana
 
Umenena vyema,

Hao hao republican wakishamtangaza Lissu ikiwa atagombea, imeisha hiyo!!
 
Shujaa Magufuli walimkabili kwa kupata Mbunge mmoja? 😄😄😄
Acha zako John...Ukweli unaujua, sijui kama mlipata hata Wabunge 10 nyie CCM Majimboni..Mlipigwa kila kona...Nilikuwa Shy town mimi..Katambi alikuwa analia kama Paka-Shume..Yule Dada wa CHADEMA( Sasa Covid-19)alikaba inye..na Pu..mbu za Patrobas, mpaka alipanda Jukwaani siku moja na chupi ya kike ina damu ameivaa kichwani, akawa ana mnanga yule dada kwamba amewatukana wana wake wa Shy kuwa hawana hela ya pedi...basi wamchague Katambi atawanunulia pedi za kidigala ili wasichafue chupi kama aliyovaa kichwani eti ni ya mpiga kura wake mmoja amejitolea ampe aonyeshe uhalisia..?!Mkurugenzi naye kwenye ku force kutangaza matokeo yaliyopinduliwa akatwishwa konde moja la hatari na yule dada mpaka chini..Duh.Polisi wakaingilia..:Huwa sielewi yule dada alirubunika vipi tena kuingia Covid-19.
 
Duu na wewe mwislam unabariki wizi wa kura na uporaji?

Mbingu na Firdaus ni ngumu sana
Kwenye Uislam hakuna kura. Kuna kuteuliwa tu.

Mfumo wa Republic unalingana sana na mfumo wa utawala wa Kiislam. Tena unakuwa mfumo mzuri sana ikifatwa sharia badala ya sheria.

Democracy ndiyo mfumo wa kiliberali, ushoga mtupu.
 
Back
Top Bottom