Mlengo wa Kati
JF-Expert Member
- Feb 16, 2011
- 2,730
- 492
wewe inajulokana tu si ulitoka na mavi wakati wa kuzaliwa,au ulitangulia mikono na miguu ndo ukafuata mgongo, k we!
Lissu anashindana na tembo...
Jibu kuhusu TEC na CCT wewe mzandiki
Jibu kuhusu TEC na CCT wewe mzandiki
Wajumbe wanaweza kuwepo lakini anachosema lisu majina siyo yale yaliyopelekwa na taasisi hizo! Pia hapa kila upande unatakiwa kuthibitisha! Km we unampinga lisu twambie anayewakilisha tec ni nani na cct ni nani?Kadanganya Watanzania juu ya Wajumbe wa kutoka TEC na CCT kuto kuteuliwa! Anakuja na ngonjela za Zanzibar! Alichosema JK Uzandiki wa Lissu ni kudanganya watu juu ya TEC na CCT aseme hapo
Acha kushinda kwenye keyboard siku nzima kampikie mumeo we mwanamke ukitoka hapo kampe haki yake ya ndoaHuyo ni muongo tu hata aitishe press conference ya dunia nzima. TEC na CCT wameshirikishwa au hawakushirikishwa?
Rais Anaonewa ......!Taaluma na akili za kuzaliwa hazimruhusu kukabiliana na mitihani kama hii.
Usichanganye mada mh mzandiki kadanganya Watanzania habari ya TEC na CCT!
Rais Anaonewa ......!Taaluma na akili za kuzaliwa hazimruhusu kukabiliana na mitihani kama hii.
Huyo ni muongo tu hata aitishe press conference ya dunia nzima. TEC na CCT wameshirikishwa au hawakushirikishwa?
Acha mipasho wewe binti
Lisu na chadema wake wasituzuge, watuambie ni watu gani ambao waliwaweka kwenye orodha ya TEC na CCT na ambao hawakuteuliwa na Rais. kama hoja ni uwakilishi, kwani Al Shaymar si mlemavu? mbona chadema hawakupinga alipoteuliwa na rais kuwa mbunge kuwawakilisha walemavu bungeni? au hao walemavu wanaowataka wao ni akina nani?
Rais Anaonewa ......!Taaluma na akili za kuzaliwa hazimruhusu kukabiliana na mitihani kama hii.
Hata mzazi wako anaweza kuwa mzandiki lazima Useme ukweli! Mzandiki ni mzandiki tu! Lissu ni mzandiki aseme wajumbe wa kutoka TEC au CCT wapo au hawapo kwenye tume ya Jaji Warioba
Lissu njoo CUF tunakuhitaji baba kuna nafasi ya Hamad Rashid na Lipumba., chadema utazeeka bure., sasa umekuwa mwana kindakindaki wa ukweli kabisa., maalim anakukubali pia.,
sasa dada unamuuliza nani wakati umeshaambiwa hawakushirikishwa muulize mzee wa kuambiwa awaulize waliomdanganya