Tundu Lissu: Tutazipima kauli za Kikwete kwenye Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala!

Tundu Lissu: Tutazipima kauli za Kikwete kwenye Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala!

Lissu anashindana na tembo...

Mkuu nidhamu ya WOGA ndo imelifikisha hapa TAIFA letu m2 hukubaliani na jambo unashindwa kusema LIVE unalalmikia pembeni! Mfano CCM cyote wanayopitisha wanakubaliana Ila wakiwa pembeni wengine wanalalamika! LISU anawaongoza waTZ kuvunja minyororo yakuwaogopa watawala! bila kuvunja SHERIA tartibu wa2 wataelewa2! Kwa style hii itafikia kipindi Kiongozi hawezi cmama mbele za wa2 kusema kitu ambacho hata yy hana uhakika nacho!!
 
Rais Anaonewa ......!Taaluma na akili za kuzaliwa hazimruhusu kukabiliana na mitihani kama hii.
 
Jibu kuhusu TEC na CCT wewe mzandiki

Sipotezi muda wangu kumjibu kilaza kama wewe... Mzandiki, muongo na mnafiki ni huyo rais wenu... Muulizeni mbona hoja za wazandiki
zimemfanya asisaini muswada hahahahhah
 
Kadanganya Watanzania juu ya Wajumbe wa kutoka TEC na CCT kuto kuteuliwa! Anakuja na ngonjela za Zanzibar! Alichosema JK Uzandiki wa Lissu ni kudanganya watu juu ya TEC na CCT aseme hapo
Wajumbe wanaweza kuwepo lakini anachosema lisu majina siyo yale yaliyopelekwa na taasisi hizo! Pia hapa kila upande unatakiwa kuthibitisha! Km we unampinga lisu twambie anayewakilisha tec ni nani na cct ni nani?
 
Huyo ni muongo tu hata aitishe press conference ya dunia nzima. TEC na CCT wameshirikishwa au hawakushirikishwa?
Acha kushinda kwenye keyboard siku nzima kampikie mumeo we mwanamke ukitoka hapo kampe haki yake ya ndoa
 
Usichanganye mada mh mzandiki kadanganya Watanzania habari ya TEC na CCT!

Lisu na chadema wake wasituzuge, watuambie ni watu gani ambao waliwaweka kwenye orodha ya TEC na CCT na ambao hawakuteuliwa na Rais. kama hoja ni uwakilishi, kwani Al Shaymar si mlemavu? mbona chadema hawakupinga alipoteuliwa na rais kuwa mbunge kuwawakilisha walemavu bungeni? au hao walemavu wanaowataka wao ni akina nani?
 
Rais Anaonewa ......!Taaluma na akili za kuzaliwa hazimruhusu kukabiliana na mitihani kama hii.

Ben tunaomba analysis yako juu ya hoi issue tafadhari, we would love to hear something of substance from you, not single sentence like that mkuu. Karibu sana
 
Huyo ni muongo tu hata aitishe press conference ya dunia nzima. TEC na CCT wameshirikishwa au hawakushirikishwa?

sasa dada unamuuliza nani wakati umeshaambiwa hawakushirikishwa muulize mzee wa kuambiwa awaulize waliomdanganya
 
Lisu na chadema wake wasituzuge, watuambie ni watu gani ambao waliwaweka kwenye orodha ya TEC na CCT na ambao hawakuteuliwa na Rais. kama hoja ni uwakilishi, kwani Al Shaymar si mlemavu? mbona chadema hawakupinga alipoteuliwa na rais kuwa mbunge kuwawakilisha walemavu bungeni? au hao walemavu wanaowataka wao ni akina nani?

she wasnt even a member of SHIVYAWATA. Muulize Amon Anastaz atakujibu kuhusu upuuzi huu.
 
Hata mzazi wako anaweza kuwa mzandiki lazima Useme ukweli! Mzandiki ni mzandiki tu! Lissu ni mzandiki aseme wajumbe wa kutoka TEC au CCT wapo au hawapo kwenye tume ya Jaji Warioba

Mkuu upo sahihi kabisa
Ukiwa kilaza kazima uambiwe.

Ukiwa dhaifu lazima uambiwe.
Ni bahati mbaya saba kwa nchi yetu juwa na dhaifu kwa 10 F yrs.
 
Lissu njoo CUF tunakuhitaji baba kuna nafasi ya Hamad Rashid na Lipumba., chadema utazeeka bure., sasa umekuwa mwana kindakindaki wa ukweli kabisa., maalim anakukubali pia.,
 
Lissu njoo CUF tunakuhitaji baba kuna nafasi ya Hamad Rashid na Lipumba., chadema utazeeka bure., sasa umekuwa mwana kindakindaki wa ukweli kabisa., maalim anakukubali pia.,

kwi kwi kwi kwiii! Wote shetani wetu ni mmoja! CCM! Tulitwange kichwa
 
sasa dada unamuuliza nani wakati umeshaambiwa hawakushirikishwa muulize mzee wa kuambiwa awaulize waliomdanganya

Rais anasema ameambiwa, amepashwa, amehabarishwa.

Yani anajitoa kwenye game...kwamba yeye hana makosa..hao waliompasha na kumhabarisha ndo wenye makosa.

:thumbdown:
 
Nachukia mijitu yenye akili ila inajifanya haina akili. Ni wapi TK alisema TEC na CCT wa walemavu hawakushirikishwa? Acheni ku-divert issue!
 
Back
Top Bottom