othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Ila wahuni wanaobebwa kwenye malori hamuwaongelei, this time mmeshikwa pabayaLissu ni kichaa tu, anadanganyika na wahuni wanaopita mitaani wakimshangilia anaona ndio wameshampigia kura eti, wacha awatie ujinga tu
Ingefaa sana wachaguliwe wawakilishi kila jimbo wapewe elimu hii na wao wakafundishe majimboni hadi ngazi ya kijijiLissu amejitolea sana kupambana na huyu mkoloni mweusi CCM. Lazima wote tumpe ushirikiano.
Sema jamaa akili ndiyo zimeanza kuja, wenzake wanazo toka zamani. Baada ya tatehe 28, mbichi na mbivu.Jamaaa anaakili mara 1000000 kumzidi magu aseee. Yani alivyodadavua kama kweli vikatekelezwa, magufuli ajiandaye kufungasha virago na kwenda kwao ( nje ya Tanzania)
Amekujibu ipasavyo, wewe kwa upumbavu wako ulidhani kama kwenye kituo hakuna mgombea udiwani au ubunge basi hakutakua na wakala pia?Hujaelewa nilichoandika. Ila ahsante kwa kujaribu.
Yaani wewe hata kuandika vizuri hujui, maCCM hovyo kabisa.Ukikaza sana akili na kuamini utopolo utaishia kusema unaonewa kama mnavyodai hakuna time huru ikiwa si kweli.
2. Muziki ni sanaa inayotumika kufikisha ujumbe kwa hadhira. Wasanii ni wananchi, wasanii ni wana uhuru wa kushiriki katika shughuli za kisiasa. Bado sijaona point ya msingi hapa
Mbona chadema 2015 walikua na band waliyozunguka nayo kwenye kampeni zao. Baada ya dhuluma na migogoro kutokea walijikuta wanagawanyika, je wamekueleza hilo?
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Wanaompinga Magufuli ni watu kama wewe ambao wengi wako Mitandaoni, Ninachokiona ni wazi kuwa Magufuli hana imani na wapinzani kama tulivyo Watanzania wengi, Lissu hana uwezo wa Kumshinda Magufuli, Hana.Magufuli wako hana uwezo wa kushinda kwa kura kwa halali. Muulize kwanini anaogopa tume huru ya uchaguzi kama ana uwezo wa kushinda kwa kura halali?. Kwanini anaengua wapinzani?.
Kwanini kwenye mikutano yake anatumia wasanii,kusomba watu, kufunga mashule ili ajaze uwanja?. Why?
Kwa hio tuliopo mitandaoni , nje ya mitandao hatu exist ?Wanaompinga Magufuli ni watu kama wewe ambao wengi wako Mitandaoni, Ninachokiona ni wazi kuwa Magufuli hana imani na wapinzani kama tulivyo Watanzania wengi, Lissu hana uwezo wa Kumshinda Magufuli, Hana.
Hakuna wizi mkubwa kwenye taasisi kama kwenye promotions..Nani asiyeijua Coca Cola au Pepsi, kwanini kila ujao wanachapicha mabango na matangazo ya TV, radio kila kona....Uliza watu wa marketing kuwa kwanini kuna kujitangaza hata kama unafahamika kama CCM?