Tundu Lissu: Uchaguzi huu siyo kusema tu "People's power" wala "tumekupa kura zote tayari"; huko ni kutiana ujinga. Uchaguzi ni kusoma makaratasi

Tundu Lissu: Uchaguzi huu siyo kusema tu "People's power" wala "tumekupa kura zote tayari"; huko ni kutiana ujinga. Uchaguzi ni kusoma makaratasi

Wanazi wa ccm wasio mpenda magu wameshachana mkeka, wamempa full package lisu.

Kazi ipo mwaka huu, kesho polepole anataka kujaribu kuziba mianya lkn mkeka ushachanwa.
 
Lissu amejitolea sana kupambana na huyu mkoloni mweusi CCM. Lazima wote tumpe ushirikiano.
Ingefaa sana wachaguliwe wawakilishi kila jimbo wapewe elimu hii na wao wakafundishe majimboni hadi ngazi ya kijiji
 
I see kwa kwa nondo hizo alizozishusha Lissu , the man is very intelligent , haya maelekezo yaliyotolewa na Lissu yafanyiwe kazi , yaani ndani ya nchi kibano na n'nje ya nchi mabeberu wanamsubilia , Jiwe avuruge uchaguzi aingie kwenye kumi na nane zao wamkaange balaa , EU wametoa tamko , Marekani sennet , masikini Jiwe siku zake zinahesabika .
IMG_20201006_145313.jpg
IMG_20201006_145319.jpg
IMG_20201006_145353.jpg
 
Jamaaa anaakili mara 1000000 kumzidi magu aseee. Yani alivyodadavua kama kweli vikatekelezwa, magufuli ajiandaye kufungasha virago na kwenda kwao ( nje ya Tanzania)
Sema jamaa akili ndiyo zimeanza kuja, wenzake wanazo toka zamani. Baada ya tatehe 28, mbichi na mbivu.
Nafurahi kuona mnavyojitahidi kutafuta ushahidi wa kushidwa kihalali, maana mlizoea kujitia moyo kwamba mnaibiwa,
Naamini mwaka huu mtakubali kuwa mmeshindwa kweli maana mianya yote ya kujitetea mnaiziba. Saafi Sana.
Hi ni Kama vile mko kwenye utafiti was kuthibitisha uongo wa visingizio vyenu.
 
Hujaelewa nilichoandika. Ila ahsante kwa kujaribu.
Amekujibu ipasavyo, wewe kwa upumbavu wako ulidhani kama kwenye kituo hakuna mgombea udiwani au ubunge basi hakutakua na wakala pia?
 
Ukikaza sana akili na kuamini utopolo utaishia kusema unaonewa kama mnavyodai hakuna time huru ikiwa si kweli.

2. Muziki ni sanaa inayotumika kufikisha ujumbe kwa hadhira. Wasanii ni wananchi, wasanii ni wana uhuru wa kushiriki katika shughuli za kisiasa. Bado sijaona point ya msingi hapa

Mbona chadema 2015 walikua na band waliyozunguka nayo kwenye kampeni zao. Baada ya dhuluma na migogoro kutokea walijikuta wanagawanyika, je wamekueleza hilo?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Yaani wewe hata kuandika vizuri hujui, maCCM hovyo kabisa.
 
Magufuli wako hana uwezo wa kushinda kwa kura kwa halali. Muulize kwanini anaogopa tume huru ya uchaguzi kama ana uwezo wa kushinda kwa kura halali?. Kwanini anaengua wapinzani?.
Kwanini kwenye mikutano yake anatumia wasanii,kusomba watu, kufunga mashule ili ajaze uwanja?. Why?
Wanaompinga Magufuli ni watu kama wewe ambao wengi wako Mitandaoni, Ninachokiona ni wazi kuwa Magufuli hana imani na wapinzani kama tulivyo Watanzania wengi, Lissu hana uwezo wa Kumshinda Magufuli, Hana.
 
Wanaompinga Magufuli ni watu kama wewe ambao wengi wako Mitandaoni, Ninachokiona ni wazi kuwa Magufuli hana imani na wapinzani kama tulivyo Watanzania wengi, Lissu hana uwezo wa Kumshinda Magufuli, Hana.
Kwa hio tuliopo mitandaoni , nje ya mitandao hatu exist ?

You are an idiot

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani asiyeijua Coca Cola au Pepsi, kwanini kila ujao wanachapicha mabango na matangazo ya TV, radio kila kona....Uliza watu wa marketing kuwa kwanini kuna kujitangaza hata kama unafahamika kama CCM?
Hakuna wizi mkubwa kwenye taasisi kama kwenye promotions..
 
Back
Top Bottom