Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Yaani ninyi Chadema ndio mnaogombana halafu unasema mimi CCM dawa iniingie? Kwa lipi? CCM na Serikali yake HAJAWAHI kumuogopa LISSU, lakini Lissu ndio anaiogopa CCM na Serikali yake hadi akahamisha familia yake na kuipeleka Ubeleji. Ahahahahaha!!!Tulieni dawa iwaingie
ulipoambiwa hela ni shetani sasa hii ndio maana yake, deal kwenye taasisi na kwenye mashirikiano na wenzako mwishowe hakuna hatima njema, mdhara ya huyo shetani pesa ndo hayaKwahiyo anataka tumsaidie nini kama hawana mahusiano alfu mambo yao ya kibinafsi sisi yatuhusu nini ahache unafiki hautamsaidia kitu
CCM wamefanya Tanzania kuwa taifa la waongo, na uongo ndio imekuwa mbadala wa ukweli.Amesema uhusiano wao kwa sasa ni 'Civil' wewe hiyo ya 'siyo mzuri' umeitoa wapi?
Inasikitisha na kuhuzunisha...So sad.naona wengi sasa wameshajua kuwa, mbowe ndio mrudisha maendeleo ya nchi hii namba moja, kwa sababu huwa anawachezea wenzake akili, anavuta mpunga, anaacha wenzie waumizwe, vijana wapigwe, ila yeye huo uwenyekiti anafaidika nao sana na hataondoka. wananchi wa chadema nadhani angalieni wenyewe na mhukumu wenyewe. pia, Lisu anapata shida sana hata kuongea mengi kwa sababu tu ati mbowe ndiye alishika chupa wakati amepigwa risasi. risasi zenyewe alipigwa akipigania hicho chama, mbowe hakuwa na harakati zozote za kuweza kupigwa risasi. lakini kijana aliyekuwa mstari wa mbele ndio umekuwa utumwa sasa, lisu hatakiwi kumbeza saaana kwa sababu tu atasema mimi ndiye nilikuokoa siku ile usife.
napenda kuwaambia watu, mtu akikusaidie mshukuru Mungu, usimpe sifa mwanadamu, Mungu ndiye alimwokoa lisu, iwe kwa kutumia mbowe, msigwa au yeyote, na mbowe pia ajue kuna Mungu mbinguni ambaye hata yeye aweza kupatwa na janga hata leo akasaidiwa na wengine, yeye sio mwokozi wa kushikilia wenzake utumwa kwa sababu tu ati aliwasaidia. kwa hiyo mtu akikusaidia ndio afanye chochote usiseme? na kama lisu anasema hawezi kuwa na ujasiri kula kwa mbowe, ina maana mbowe ana mambo ya siri ya uuaji pia huwa anafanya, yale anayolaumiwa nayo kumbe inawezekana sio ya uongo.
Kweli - jamaa ni kasuku kila kitu yeye tu ndiyo anakijuaSema Lissu nae anaongea sana tatizo mimi ndio maana nashindwa kumuamini 100% ., mbowe simkubali ila lissu ananipa mashaka pia
Hilo lishangazi kwenye avatar ni wewe?Asante mbowe kwa kunusuru KIKOBA CHETU cha UCHAGANI
Mpandisha uzi na picha pamoja na zigo lake alilobebelea mikononi.Unamwambia nani?
Hajakusikia endelea kumtafuta mkuuMpandisha uzi na picha pamoja na zigo lake alilobebelea mikononi.
WE umejuaje ni za uongo mkuuKwahiyo kwasababu mahusiano Yako na MBOWE kuwa sio maZuri ndio maana uamattack kwa tuhuma za uongo
Lissu na Mbowe wote ni TISS... Jiulize kipindi tuna Rais weak Ndio Chadema ipate misukosuko?Sema Lissu nae anaongea sana tatizo mimi ndio maana nashindwa kumuamini 100% ., mbowe simkubali ila lissu ananipa mashaka pia