Tundu Lissu: Uhusiano wangu na Mwenyekiti Mbowe siyo mzuri

Kazi kweli kweli
 
Mpangaji anamtesa mwenye nyumba 😂😂
 
MBOWE, sema unataka nafasi ya mwenyekiti uifanyie Nini kipya ambacho hujakifanya kwa miaka yako 20 madarakani?
 
Kwahiyo anataka tumsaidie nini kama hawana mahusiano alfu mambo yao ya kibinafsi sisi yatuhusu nini ahache unafiki hautamsaidia kitu
Hivi ukiwa unahojiwa hutakiwi kusema ukweli ulivyo?
Uchawa unakusumbua Huna jipya
 
Yaani ninyi Chadema ndio mnaogombana halafu unasema mimi CCM dawa iniingie? Kwa lipi? CCM na Serikali yake HAJAWAHI kumuogopa LISSU, lakini Lissu ndio anaiogopa CCM na Serikali yake hadi akahamisha familia yake na kuipeleka Ubeleji. Ahahahahaha!!!
Baada ya masaii mingi miiingi sio
 
Inaweza ikawa kweli kabisa. Imagine lema kaona usoro mtupu kapita zake. Kuna someting fish
 
Huyu jamaa ana
Huyu jamaa ana shida kubwa sana.Ni mnafiki na ni mtu wa vurugu
 
Ni shida huu mwaka
 
Kwenye kazi mahusiano ni ya kikazi zaidi sio kwendq kula nyumbani kwa mtu kuwe Kwa Mbowe au kokote

Lisu aache utoto

Mbowe linapokuja swala la kazi za chama hapendi utoto na kuendekeza mambo ya uhusiano binafsi kama kigezo cha uhusiano kazini
Ndio maana hajali awe Godbless Lema nduguye au yeyote.Ni hapa kazi tu ndio maana hadi Lema katorokea. Canada akijua angegombea uenyekiti wa kanda asingepata

Mbowe ni mtu wa vitendo sio maneno maneno na makelele kila siku vyombo vya habari kama Lisu na Lema

Lisu kama anataka chakula aende kwa mkewe amwambie ampikie sio Mbowe
 
Lakini zamani alikuwa akiwaita na kuwapikia. Kosa Lao ni kugombea uenyekiti??
 
Lakini zamani alikuwa akiwaita na kuwapikia. Kosa Lao ni kugombea uenyekiti??
Usiishi kwa mazoea kwenye maisha

Nikikukaribisha kula nyumbani kwangu week end usinizoee tafadhali kuwa kila weekend niwe nakualika

Lisu akili hana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…