Tundu Lissu: Ukiwa na Rais mwizi mnawezaje kuwa salama? Katiba bora ni kuzuia Marais wezi

Uzima Tele

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2023
Posts
1,270
Reaction score
2,822
Ama kweli: KNOWLEDGE IS POWER.

Kama haya ndiyo matusi tunayoambiwa na kina Makonda, basi iko shida mahali bila shaka.

Yaani ukweli kwa hawa ndugu zetu, kwao ni matusi.

=============

Tukirudi kwenye mada kumhusu huyu mwamba.

Kwamba, haina shaka kuwa anaijua historia ya Tanganyika na Tanzania kila anapokwenda.

Amejaa ufahamu na maarifa ya kutosha. Watu wa namna hii hawafungwi wala hawadanganyiki. Wajinga na wasio na ufahamu ndio huonewa na kunyanyaswa.

Mtu hachoki kumsikiliza Tundu Lissu anapotoa elimu ya uraia kwa watu.

Anatumia lugha rahisi yenye "authority" na ya kueleweka na kila mtu wa ulewa wowote kwa urahisi kabisa.

Kwa ufupi yaliyomo ktk video:

Hapa anaongelea ma - Rais wezi wanaolindwa na mfumo mbovu wa kikatiba ya mwaka 1977.

Anauliza wananchi swali hili linalogonga akili zao sawasawa, kwamba; "Hivi mkiwa na Rais mwizi mnawezaje kupona?"

Anasema, Rais akiwa kinga ya kutoshitakiwa kwa matendo maovu kama wizi, hata hawa huku chini mawaziri, wabunge, ma - RCs, DCs, Wakurugenzi nk nao watakuwa wezi vilevile.

Anaendelea kusema kuwa, katiba ikiondoa kinga ya Rais tu kutokuwa mwizi, hawa wengine wote huku chini hawatakuwa na wizi wa kimfumo kama ilivyo sasa.

Anawapandia mbegu ya ujasiri watu wa Babati mpaka wanamfurahia.

Amwongolea pia Herman Sarwatt aliyewahi kuwa mbunge binafsi asiye na chama, machachari wa jimbo la Mbulu miaka ya 1960 - 1965 chini ya chama kimoja - TANU.

Huyu (Herman Sarwatt) alipambana na mwenzake Dodo kuwania ubunge jimbo la Mbulu wote kwa tiketi ya TANU.

Kwa sababu ya misimamo mikali ya kutopenda uchawa, TANU ya Nyerere ilikata jina la Herman Sarwatt. Kuona hivyo, Herman Sarwatt hakukata tamaa. Wakati huo katiba ilikuwa inaruhusu mtu kusimama kama mgombea binafsi.

Herman Srwatt akagombea kama mgombea binafsi na kushinda.

Nyerere alienda Mbulu kumpigia kampeni Dodo na TANU. Hakuweza kumsaidia. Dodo na TANU yake na kwa msaada wa Nyerere alibwagwa chini na Herman Sarwatt.

Kwa uzuri zaidi hebu tazama na sikiliza mwenyewe kwa umakini video clip hii upate ufahamu.
 
Unajua kwasasa nchini Kuna vitu viwili vimehalalishwa na kulindwa na dola!

1. Uchawa hata kwa watu wabadhirifu was nchi!

2. Wizi ufisadi ubadhirifu unalindwa kabisa na dola hapa nchini,wezi wa kuku na wakosoaji ndio wanafunguliwa mashtaka!

Ripoti ya CAG imeripoti ubadhirifu mkubwa sana lakini nani kafunguliwa mashtaka!!?nani kawekwa korokorni Kwa uchunguzi hamna kabisa.

Dola mnahalalisha wizi kwa kisingizio Cha katiba mnatukosea sana!

Ina maana huwa hamumwiti Raise na kumwambia "Hatupendezwi na hili Wala lile kama umeshindwa tuambie Ili tuanze mchakato wa kumpachika mwingine"?

Nchi ni kubwa kuliko cheo kwanini mnafanya cheo kuwa kikubwa kuliko nchi!

Yaani ofisi ya waziri Ina shida ya ubadhirifu halafu muhusika hajiuzulu Wala kuwekwa mahabusu!
 
Ndio maana CCM wanamuogopa sana Tundu Lissu.

Hawangependa kabisa kumuona anasimama kugombea kiti cha Rais na mtu wao yeyote watakayemweka.

Na wakirogwa wamweke huyu mama, atachanwachanwa mpaka watamhurumia!
 
there is no where mercenaries and puppets can be given a chance to represent their masters in our land Mama Tanzania.

no way 🐒
Mercenaries (mamluki wa mabeberu) ni wale waliokwisha kuuza na kugawa rasrimali asili zetu zote Watanganganyika kwa wageni wa mataifa ya nje kwa mikataba ya kichifu - Magungo kama vile wajinga ambao hawajawahi kwenda shule kabisa.

Hawa si wengine bali ni CCM wote ukiwemo wewe Tlaatlaah walio tayari kuuza nchi hii, utu wao na ndugu zao kwa mabeberu wa Ulaya na Uarabuni kwa sababu ya tamaa ya fedha na kutaka kujaza matumbo yao tu.

Na kwa sababu ya kutojua kwako au kwa makusudi tu kwa sababu unanufaika ktk namna fulani, basi kutwa nzima unawatetea na kulamba viatu vya mercenaries hawa Ili mradi ulipwe ujira kidogo.

Acha kulamba viatu vya kina Samia wewe. Jiunge na wapigania uhuru wenzako toka kwa mkoloni mweusi - CCM ili tutengeneze mfumo bora wa kikatiba na kisheria wa kutuwezesha kujitawala kwa haki na kugawana keki ya taifa hili kwa usawa.

Otherwise, kama unajiweka mbali na wanaopinga mfumo huu wa utawala kandamizi, usio haki, maana yake unajipa mwenyewe tiketi ya kuwa mlamba viatu vya kina Samia Suluhu Hassan na wenzake walio kwenye prestigious political positions za chako chako.!

Amka Tlaatlaah.

Huo ubunge unaoutafuta kwa kujidhalilisha na kulamba viatu vya bwana zako hao, unaweza kuupata kirahisi bila gharama ya kuuza utu wako kwa kina Paul Makonda wahalifu walioshindikana iwapo tutafanikiwa kuweka mazingira na mfumo bora wa uchaguzi na mgawanyo wa rasrimali zetu.
 
Mercenaries (mamluki wa mabeberu) ni wale waliokwisha kuuza na kugawa rasrimali asili zetu zote Watanganganyika kwa wageni wa mataifa ya nje kwa mikataba ya kichifu - Magungo kama vile vile wajinga na wasioenda shule.

Hawa si wengine bali ni CCM wote ukiwemo wewe Tlaatlaah.

Na kwa sababu ya kutojua kwako au kwa makusudi tu kwa sababu unanufaika ktk namna fulani, basi kutwa nzima unawatetea na kulamba viatu vya mercenaries hawa Ili mradi ulipwe ujira kidogo.

Acha kulamba viatu vya kina Samia wewe. Jiunge na wapigania uhuru wenzako toka kwa mkoloni mweusi - CCM ili tutengeneze mfumo bora wa kikatiba na kisheria wa kutuwezesha kujitawala kwa haki na kugawana keki ya taifa hili kwa usawa.

Otherwise, unajiweka mbali na wanaopinga mfumo huu wa utawala kandamizi na usio haki, maana yake unajipa mwenyewe tiketi ya kuwa mlamba viatu vya kina Samia Suluhu Hassan na wenzake!

Amka Tlaatlaah. Ubunge unaoutafuta kwa kujidhalilisha na kulamba viatu vya bwana zako hao, unaweza kuupata kirahisi bila gharama ya kuuza utu wako kwa kina Paul Makonda wahalifu walioshindikana!
siwezi kamwe kujiunga na mercenaries or puppets team, that one can never ever happen to me 🐒

nanufaika na amani na utulivu uliopo nchini, unaosimamiwa na serikali madhubuti sana ya CCM, chini ya kiongozi wetu makini sana Dr Samia Suluhu Hassan 🐒

I can confirm to to you all, without fear of contradictions kwamba patriotics of this country tupo chonjo, tupo rada mbaya sana, kuwazuia na kuwadhibiti vibaraka na mamluki wa aina yoyote, wanaotumwa kuja kuwahadaa waTanzania, ambao wengi ni waerevu sana, na wameshastukia kamchezo, ka hasa huyu kibaraka mkuu, alietumwa na mabwenyenye, ati kuja kujaribu kutikisa amani na utulivu wa waTanzania, kitu ambacho hakiwezekani kamwe 🐒

waTanzania hawawezi kujiunga na hiyo barabara ya mihemko. mtashindana lakini hamtashinda na hakuna mahali mnaenda humu nchini 🐒
 
I hope you are referring to puppets and mercenaries from Zanzibar!
narudia tena,
there is nothing, mercenaries and puppets can do in this country against very able and united Tanzanians Patriots 🐒
 
Kwa uungwana mkubwa raisi wetu aliruhusu mikutano ya hadhara na maandamano kwa vyama vya siasa nchini ili viweze kujijenga.

Lakini masharti ya ruhusa hiyo ilikuwa vyama hivyo vikafanye siasa za kiustaarabu. Hili alilisisitiza sana mheshimiwa raisi. Lakini kwa masikitiko makubwa Tundu Lissu amelipuuza agizo hili muhimu la raisi na kuendelea na siasa zake za uchochezi, ubaguzi, maudhi, matusi etc. Mwenyekiti wake Mh. Mbowe yeye kalizingatia sharti hilo vizuri na anafanya siasa za kistaarabu na za kuheshimiana, akijenga hoja zake kwa ustadi mkubwa bila kuudhi mtu ye yote. ACT wazalendo na CUF nao wanafanya siasa za kistaarabu kwa ustadi mkubwa.

Sasa kipi kifanyike kumunyoosha Tundu Lisu kumrudisha kwenye mstali sahihi? Akiachwa hivyo ataivuruga nchi na kuleta machafuko kama yale ya Sudani na kwingineko tunayoyaona. Demokrasia haina maana hiyo. Tunajua watoto wake wako Amerika (wana uraia wa Marekani) na mke wake yuko Ubeligiji. Akikinukisha hapa yeye haraka atakwenda Amerika au Ubelgiji, sisi atatuacha tukiumizana.
 
Bila machafuko hatuwezi kupata tume huru Wala katiba mpya. Hizo ruhusa unazosema sio za kufanya mikutano ya kichawa ya kumsifia rais, Bali ni kusema ukweli kuhusu utawala wa nchi yetu. Kama mlitoa ruhusa mkitegemea watu wafanye siasa za kujipendekeza basi mmeumia. Hao CUF na ACT nao wanadai tume huru ya uchaguzi na katiba mpya kwa hizo siasa mnazoita za kistaafabu, mbona hatuoni wakipewa zaidi ya kupewa ahadi za ulaghai?
 
Kwa uungwana mkubwa raisi wetu aliruhusu mikutano ya hadhara na maandamano kwa vyama vya siasa nchini ili viweze kujijenga.

Lakini masharti ya ruhusa hiyo ilikuwa vyama hivyo vikafanye siasa za kiustaarabu. Hili alilisisitiza sana mheshimiwa raisi. Lakini kwa masikitiko makubwa Tundu Lissu amelipuuza agizo hili muhimu la raisi na kuendelea na siasa zake za uchochezi, ubaguzi, maudhi, matusi etc. Mwenyekiti wake Mh. Mbowe yeye kalizingatia sharti hilo vizuri na anafanya siasa za kistaarabu na za kuheshimiana, akijenga hoja zake kwa ustadi mkubwa bila kuudhi mtu ye yote. ACT wazalendo na CUF nao wanafanya siasa za kistaarabu kwa ustadi mkubwa.

Sasa kipi kifanyike kumunyoosha Tundu Lisu kumrudisha kwenye mstali sahihi? Akiachwa hivyo ataivuruga nchi na kuleta machafuko kama yale ya Sudani na kwingineko tunayoyaona. Demokrasia haina maana hiyo. Tunajua watoto wake wako Amerika (wana uraia wa Marekani) na mke wake yuko Ubeligiji. Akikinukisha hapa yeye haraka atakwenda Amerika au Ubelgiji, sisi atatuacha tukiumizana.
Hovyo kabisa. Ondoa hiyo 'title' ya Dr. kwa sababu huna hadhi nayo.

Andiko lote hata mfano mmoja tu hujatoa kuonyesha hayo maudhi unayomhusisha nayo Tundu Lissu.

Nchi hii hatuwezi wote kuwa 'chawa' wa kuishi kwa uchafu wa mnayemtegemea nyinyi. Sifa hiyo pekee ni maudhi makubwa kwa taifa hili

Mnatumia misamiati: kistaarabu, staha, uungwana, n.k., kulaza akili za watu huku matendo yenu yakiwa maovu, yasiyokuwa na staha wala ustaarabu wowote. Msifikiri ulaghai wenu huu wa kutumia lugha kuwapumbaza watu utafanikiwa.
Na kwa bahati mbaya sana kwenu, Tundu Lissu sasa anaeleweka zaidi na watu wanaomsikiliza kuliko wakati mwingine wowote.
 
Ama kweli: KNOWLEDGE IS POWER..

Kama haya ndiyo matusi tunayoambiwa na kina Makonda, basi iko shida mahali bila shaka.

Yaani ukweli kwa hawa ndugu zetu, kwao ni matusi...
==========================================
Tukirudi kwenye mada kumhusu huyu mwamba.

Kwamba, haina shaka kuwa anaijua historia ya Tanganyika na Tanzania kila anapokwenda..

Amejaa ufahamu na maarifa ya kutosha. Watu wa namna hii hawafungwi wala hawadanganyiki. Wajinga na wasio na ufahamu ndio huonewa na kunyanyaswa..

Mtu hachoki kumsikiliza Tundu Lissu anapotoa elimu ya uraia kwa watu.

Anatumia lugha rahisi yenye "authority" na ya kueleweka na kila mtu wa ulewa wowote kwa urahisi kabisa..
View attachment 2975995
Kwa ufupi yaliyomo ktk video:

Hapa anaongelea ma - Rais wezi wanaolindwa na mfumo mbovu wa kikatiba ya mwaka 1977.

Anauliza wananchi swali hili linalogonga akili zao sawasawa, kwamba; "Hivi mkiwa na Rais mwizi mnawezaje kupona?"

Anasema, Rais akiwa kinga ya kutoshitakiwa kwa matendo maovu kama wizi, hata hawa huku chini mawaziri, wabunge, ma - RCs, DCs, Wakurugenzi nk nao watakuwa wezi vilevile..

Anaendelea kusema kuwa, katiba ikiondoa kinga ya Rais tu kutokuwa mwizi, hawa wengine wote huku chini hawatakuwa na wizi wa kimfumo kama ilivyo sasa..

Anawapandia mbegu ya ujasiri watu wa Babati mpaka wanamfurahia...

Amwongolea pia Herman Sarwatt aliyewahi kuwa mbunge binafsi asiye na chama, machachari wa jimbo la Mbulu miaka ya 1960 - 1965 chini ya chama kimoja - TANU..

Huyu (Herman Sarwatt) alipambana na mwenzake Dodo kuwania ubunge jimbo la Mbulu wote kwa tiketi ya TANU..

Kwa sababu ya misimamo mikali ya kutopenda uchawa, TANU ya Nyerere ilikata jina la Herman Sarwatt. Kuona hivyo, Herman Sarwatt hakukata tamaa. Wakati huo katiba ilikuwa inaruhusu mtu kusimama kama mgombea binafsi..

Herman Srwatt akagombea kama mgombea binafsi na kushinda...

Nyerere alienda Mbulu kumpigia kampeni Dodo na TANU. Hakuweza kumsaidia. Dodo na TANU yake na kwa msaada wa Nyerere alibwagwa chini na Herman Sarwatt..

Kwa uzuri zaidi hebu tazama na sikiliza mwenyewe kwa umakini video clip hii upate ufahamu.
Asnante kw Kushare hii taarifa njema
 
Bila machafuko hatuwezi kupata tume huru Wala katiba mpya.
Bunge kwa kufanya maigizo ya marekebisho ya sheria za uchaguzi na sheria hizo kusainiwa na rais, ni ushahidi tosha wa kuhalalisha unayosema hapa; ninakubaliana nawe katika hili. Lakini sijakubaliana na njia za kuyaleta hayo machafuko.
Kwa bahati mbaya sana, CHADEMA wameipoteza nafasi hiyo kwa kumsikiliza Mbowe na habari zake za 'mazungumzo ya maafikiano."
Sasa wamewapa CCM njia chee, ya kufanya wanayofanya miaka yote kubaki madarakani.
Too bad for us all.
 
Ama kweli: KNOWLEDGE IS POWER..

Kama haya ndiyo matusi tunayoambiwa na kina Makonda, basi iko shida mahali bila shaka.

Yaani ukweli kwa hawa ndugu zetu, kwao ni matusi...
==========================================
Tukirudi kwenye mada kumhusu huyu mwamba.

Kwamba, haina shaka kuwa anaijua historia ya Tanganyika na Tanzania kila anapokwenda..

Amejaa ufahamu na maarifa ya kutosha. Watu wa namna hii hawafungwi wala hawadanganyiki. Wajinga na wasio na ufahamu ndio huonewa na kunyanyaswa..

Mtu hachoki kumsikiliza Tundu Lissu anapotoa elimu ya uraia kwa watu.

Anatumia lugha rahisi yenye "authority" na ya kueleweka na kila mtu wa ulewa wowote kwa urahisi kabisa..
View attachment 2975995
Kwa ufupi yaliyomo ktk video:

Hapa anaongelea ma - Rais wezi wanaolindwa na mfumo mbovu wa kikatiba ya mwaka 1977.

Anauliza wananchi swali hili linalogonga akili zao sawasawa, kwamba; "Hivi mkiwa na Rais mwizi mnawezaje kupona?"

Anasema, Rais akiwa kinga ya kutoshitakiwa kwa matendo maovu kama wizi, hata hawa huku chini mawaziri, wabunge, ma - RCs, DCs, Wakurugenzi nk nao watakuwa wezi vilevile..

Anaendelea kusema kuwa, katiba ikiondoa kinga ya Rais tu kutokuwa mwizi, hawa wengine wote huku chini hawatakuwa na wizi wa kimfumo kama ilivyo sasa..

Anawapandia mbegu ya ujasiri watu wa Babati mpaka wanamfurahia...

Amwongolea pia Herman Sarwatt aliyewahi kuwa mbunge binafsi asiye na chama, machachari wa jimbo la Mbulu miaka ya 1960 - 1965 chini ya chama kimoja - TANU..

Huyu (Herman Sarwatt) alipambana na mwenzake Dodo kuwania ubunge jimbo la Mbulu wote kwa tiketi ya TANU..

Kwa sababu ya misimamo mikali ya kutopenda uchawa, TANU ya Nyerere ilikata jina la Herman Sarwatt. Kuona hivyo, Herman Sarwatt hakukata tamaa. Wakati huo katiba ilikuwa inaruhusu mtu kusimama kama mgombea binafsi..

Herman Srwatt akagombea kama mgombea binafsi na kushinda...

Nyerere alienda Mbulu kumpigia kampeni Dodo na TANU. Hakuweza kumsaidia. Dodo na TANU yake na kwa msaada wa Nyerere alibwagwa chini na Herman Sarwatt..

Kwa uzuri zaidi hebu tazama na sikiliza mwenyewe kwa umakini video clip hii upate ufahamu.
Katina Mpya itakayofuta miaka 60 ya maombolezo

Hahahaa
 
Mercenaries (mamluki wa mabeberu) ni wale waliokwisha kuuza na kugawa rasrimali asili zetu zote Watanganganyika kwa wageni wa mataifa ya nje kwa mikataba ya kichifu - Magungo kama vile wajinga ambao hawajawahi kwenda shule kabisa.

Hawa si wengine bali ni CCM wote ukiwemo wewe Tlaatlaah walio tayari kuuza nchi hii, utu wao na ndugu zao kwa mabeberu wa Ulaya na Uarabuni kwa sababu ya tamaa ya fedha na kutaka kujaza matumbo yao tu.

Na kwa sababu ya kutojua kwako au kwa makusudi tu kwa sababu unanufaika ktk namna fulani, basi kutwa nzima unawatetea na kulamba viatu vya mercenaries hawa Ili mradi ulipwe ujira kidogo.

Acha kulamba viatu vya kina Samia wewe. Jiunge na wapigania uhuru wenzako toka kwa mkoloni mweusi - CCM ili tutengeneze mfumo bora wa kikatiba na kisheria wa kutuwezesha kujitawala kwa haki na kugawana keki ya taifa hili kwa usawa.

Otherwise, kama unajiweka mbali na wanaopinga mfumo huu wa utawala kandamizi, usio haki, maana yake unajipa mwenyewe tiketi ya kuwa mlamba viatu vya kina Samia Suluhu Hassan na wenzake walio kwenye prestigious political positions za chako chako.!

Amka Tlaatlaah.

Huo ubunge unaoutafuta kwa kujidhalilisha na kulamba viatu vya bwana zako hao, unaweza kuupata kirahisi bila gharama ya kuuza utu wako kwa kina Paul Makonda wahalifu walioshindikana iwapo tutafanikiwa kuweka mazingira na mfumo bora wa uchaguzi na mgawanyo wa rasrimali zetu.
Umesema kweli kabisa! Big up!
 
Back
Top Bottom