Uchaguzi 2020 Tundu Lissu usijidanganye; Watanzania siyo wajinga kama wananchi wa Belarus wanaoshinikizwa na mabeberu wamtoe Rais wao madarakani

Hilo neno mabeberu unakariri mfano
wa kasuku..Hizo slogan zimepitwa na wakati.Zilitumika enzi ya nyerere
miaka.zaidi ya hamsini ilopita
 
Walianza kuweka vitangazo vyao eti zanziba kwa lipuka sijui nini,
Walipodhibiti zile pesa za kile kituo safari zikafa ghafla
mpaka sasa amebaki kuzungumzia kwenye vimedia vya youtube huku hasira zikimbana, alete zingine zibanwe ndo atajua tz sio huko aliko kuwa akidhani atacheza na vibeberu vyake,
Sasa vibeberu vyake navyo vimebaki kuandika matamko yasio kuwa na kichwa.

 
Beberu walikufanya nini wewe mbuzi jike...!?
 
Kaka inawezekana kiswahili kinakusumbua kama Mwenyekiti wako wa chama au umejitoa akili. Ulisikia wapi Lisu akisema hatokubaliana na matokeo ya uchaguzi yakitangazwa iwapo kama hatotangazwa mshindi
 


Tulishasema kama huwajui mabeberu wewe ni mbuzi jike. Tueleze mabeberu kwa majina
 
Beberu mwenyewe ndiyo huyu munae mwogopa...?
 
Ondoa uchafu wako lissu hakusema atakataa matokeo alichodai akishindwa kwa haki atakubali Ila akifanyiwa uhuni hawez kukubali acha kupotosha
 
Wewe ndiyo Pepo ambalo halijui linataka nini? linataka damu, pesa au amani? pole sana.
Huyo Lissu ulimsikiliza peke yako? Au umekariri vineno viwili vitatu vya Polepole na wewe unajiona bonge ya Great thinker?
 
Mkuu Jambo wakisema wapinzani wanahatarisha amani, ila NAPE akisema atawapiga watu mabuti mnasema ni mzalendo..

Ujinga, Maradhi na Umasikini
 
LISSU HANA SERA ISIPOKUWA MIAKAKATI YA KUTAKA KUVURUGA AKILI ZA WATU, HAWEZI KUWA RAIS WA WATU MILIONI 50. HATA KWA KIDUKU KULE KUNA UDIKTETA WAWAZI SIO HUU UCHWARA, ZINGUA UFE KAMA SISIMIZI, KULE HAUFI KAMA TEMBO. LAKINI WANAISHI WANAFANYA KAZI KWA AMANI. CHUNGENI KUZUBAISHWA NA MTU ALIYEAMUA KUWA MKIMBIZI WAKATI NCHI YAKE HAINA VITA
 
Gadafi kaondoka na amani yake kwa wanalibya.kwa sasa Libya hapakaliki.
kwanza msiwe mnamtolea mifano Gadafi,Gadafi alipigania maisha bora kwa wanalibya.
 
Wewe na lisu nani mwenye akili timamu, lisu anaungwa mkono na mamilioni ya watanzania wewe je? acha ujinga!
 
Wanajeshi wabongo wamewachoka CCM..mtapigana nao nyie na nguo zenu za Veggies
 
Lumumba buku jero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…