Uchaguzi 2020 Tundu Lissu usijidanganye; Watanzania siyo wajinga kama wananchi wa Belarus wanaoshinikizwa na mabeberu wamtoe Rais wao madarakani

Mkuu wewe ndo Magufuli mwenyewe? Mbona unasahau au kujitoa ufahamu haraka Kama magufuli?hapo juu nimeuliza raslimali za nchi hii kwa miaka 60 chini ya ccm zinaenda wapi? Ukasema Mimi ni masikini kwa sababu ya kujipanga vibaya,nilivyokuonesha umasikini wa watanzania kwa ujumla wetu chini ya ccm,unasema nchi ilivurugwa,je ilivurugwa na kina nani Kama siyo hao akina magu?lakini pia sijui kwanini unajitoa ufahamu kuwa wale waliopendekezwa na tume kwamba wachukuliwe hatua kwamba hawajulikani while walitajwa kwa majina yao.Ni mjinga tu wa kiwango chako anaweza akaamini fisadi mkuu Magu anapambana na ufisadi
 
Me wawepo hao kina mbuzi na beberu wao wasiwepooo ninavyowafahamu wabongo walishaanza kuandamana kwenye mitandao kitambooo,ila litakapokuja suala la kuingia barabarani hapo ndo huwa maajabu yanaanza kuonekana.
Yule dada aliishiaga kutukana kimya kimya hakuamini kilichotokea heh
 

Sawa nimekuelewa.

Kama wewe waniona mimi ni mjinga hayo ni mawazo yako maana kwa sasa nimezoea hayo maneno, hayanipi tabu.

Ila kiukweli wapinzani mna kazi kubwa sana ya kuwa-convince watanzania kuwapa dhamana ya kuongoza nchi hii balada ya CCM.

Ni kwasababu mpaka sasa hawajasikia sera zenu.

Tukutane October 28th
 
Gadafi kaondoka na amani yake kwa wanalibya.kwa sasa Libya hapakaliki.
kwanza msiwe mnamtolea mifano Gadafi,Gadafi alipigania maisha bora kwa wanalibya.
amani ni tunda la haki, basi.
maisha bora si kitu kama haki haipo!
 
Kawaulize sasa walibia wanajisikiaje banda ya kjkubari upumbafu kutoka kwa baberu Obama!! Wanalia na kusaga meno
 
Tanzania ya wapi iyo watu waingie barabarani kupasuana utumbo, uliendaga wapi ule ukuta uliotrend mtandaoni miaka ya juzi, CCM bado miaka kama 100 ivi, acheni kujipa stress, napenda sana lichama libabe kama hili. CCM mbele kwa mbele......
 
Kawaulize sasa walibia wanajisikiaje banda ya kjkubari upumbafu kutoka kwa baberu Obama!! Wanalia na kusaga meno
chini ya Gaddafi, Walibya walikuwa na maisha mazuri sana kiuchumi lakini hawakuwa na uhuru na pia haki ilikosekana.... ndicho kilichopelekea Gaddafi ang'olewe.

najua unayajua haya yote lakini nayarudia kutokana na context ya post yako.

so, ili sisi tukwepe yaliyowasibu Walibya, ni muhimu na ni lazima kuwepo haki kwa watu wote!
 
Tutamtoa Magufuli wenyewe bila msaada wa mnaowaita mabeberu. Hata NEC/Polisi/Jeshi havitamsaidia. Wananchi tuna nguvu kuliko jeshi lolote. Aende akautumie uwanja wake wa Chato kwa jogging. Hakutakuwa na ndege za kwenda huko.

OTTER
Utamtoa Wewe na nani?..
 
OTTER,

Nguruwe akishindwa lazima aondoke hats kwa mapambano na watanzania sio wajinga ndo maana pamoja na mapambio ya vinyago kuwa madaraja sijui ndege bado watanzania wameona huo ni upuuzi mtupu wanasubir October wamuadhibu vampire.
Watanzania wa wapi hao wahangaike....
 
Kiazi wewe leo ndo unajua kuwa Amani haina chama!! Jino kwa jino, Shetani wewe rudi nyuma hatua 3 unatakakuturudisha zama za mawe!
 
Kwa kuanza,tutaanza na wewe kukutoa humu jamii forum maana huna hoja nnkupepesuka na hoja za viroba na siasa za maji taka
 
Mimi haunijui. M-tag mama yako. Hata Idd Amin, alikuwa na wapambe pamoja na mambo yote aliyofanya ikiwemo kula nyama za watu. Hata shetani ana wafuasi. Tena wengi tu.
Siku ikifika nitakutag upate kusikia uchungu vizuri.....
 
Mimi haunijui. M-tag mama yako. Hata Idd Amin, alikuwa na wapambe pamoja na mambo yote aliyofanya ikiwemo kula nyama za watu. Hata shetani ana wafuasi. Tena wengi tu.
Hahaha Bila shaka hiyo siku unaiogopa kama kiama subiri uone utakavyolia kwa uchungu......
 
Mtoa mada naomba unitajie MABEBERU JAPO WATATU UNAOWAFAHAMU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…