Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Na kwahiyo maoni yako ni maoni ya kijani,sioMkuu maoni ya Lisu ndio maoni ya chadema.
Unapotaka kuleta u diamond kwenye chama huo ni ushamba pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwahiyo maoni yako ni maoni ya kijani,sioMkuu maoni ya Lisu ndio maoni ya chadema.
Unapotaka kuleta u diamond kwenye chama huo ni ushamba pia.
Yani wangepewa nguvu ya dola kila mtu angekuwa Chadema kwa lazima na wimbo wao wanasema ni upande wa haki usipowaelewa basi wewe unapinga haki ushighulikiweChama hakina ajenda zaidi ya kudandia trending issues hata zisizo na mashiko. Chadema hawapendi kukosolewa JPM nafuu! Hivi makamu mwenyekiti anaingia kwenye malumbano ya akina Diamond kweli?
Hawa kwao kikwazo si alikuwa mwendazake? Sasa watakuwa exposed jinsi wasivyo na ajenda.
Hao ndio huwa wanaipa ccm ushindi ila kwa akili zako na kina Lisu unaona hawana impactWavaa suruali chini tako hamna impact.
Tangu lini umekua mshauri wa mh Tundu lissu na Chadema ,? Wanachama wa chadema wakigawanyika kisa sijui nani uliemtaja,si ndo vizuri ccm inazidi kuimarika Sasa shida yako ipo wapi tena mkuuLisu tukimuonya pia kwamba tabia yake ya kupiganiwa urais wake na amsterdam mtu wa nje ya nchi anawapoteza watz wengi maana watamuona anatumiwa na mabebru.
Hili la diamond, akumbuke kwamba kuna mashabiki kibao wa diamond anao huko chadema, sasa hizi chuki zake kwa diamond haoni kama anawagawa watu wake?
Hivi inakuwaje chadema ile ya dr slaa imekuwa mrenda mrenda kiasi hiki?
Lissu ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema na mgombea urais neno lake tunalizingatia wapiga kura.Kuwa na heshima. Lisu kasema hamuungi mkono diamond basi. Matusi tena ya nini???
Siku zote unapokuwa adui wa haki tambua kuwa kila binadamu anapenda haki na anathamini uhuru wake na ule wa wengine, hivyo hats uwe na jeshi, jeshi hilo ndilo lotakalo kuangamiza.Nakuhurumia kwa sababu haulijui jeshi halisi la Wasafi ni kina nani. Labda kama Lissu Hana mpango wa kugombea tena urais. Kama ungelijua jeshi nalolizungumzia ungeskitikia chama chenu.
Naunga mkono hoja.Lissu nakushauri kabisa achana na habari za Diamond maana vita yake hauiwezi. Diamond anafanya sanaa na anawapa watu burudani.
Team Wasafi ni jeshi kubwa na likishambulia linashambulia kama waveitnamu.
Yeye kuchagua chama cha CCM chama cha watoto wa mjini, kosa lake mpaka wewe na wafuasi wako wa Chadema kumshambulia mitandaoni ni lipi?
Mnahubiri haki ila haki ya wenzenu kuchagua wanachopenda hamuitaki. Huu mbona ni udikteta sasa, siku mkipewa nchi watu wasiounga mkono chama chenu hakuna rangi wataacha ona hapa. Hamna polisi hamna jela ila mnataka kila mtu aamini mnachoamini kwa mabavu akiwa tofauti ni adui.
Beyonce alimpigia Hillary Clinton kampeni za kufa mtu ila Trump akachukua nchi, Trump akumgeuza Beyonce adui wala Republican hawakuanzisha vita na Beyonce kwanza full unyamwezi yani Beyonce support bila kujali vyama.
Lissu na viongozi wa huko dizaini yako mnafanya vijana wa kisasa wasivutiwe na Chadema. Yani kwa kifupi mnatuonyesha nyie sio watu poa, kwenu huko ni vurugu, visasi, ukamanda, usela nnya ndio umejaa mpo so harsh 😖😖 mnayafanya maisha kama kitu kigumu sana.
Huyo Ney wenu mnaemsifia mkumbuke jina halisi ni Elibariki wa kulekule sasa kwanini asiwe Chadema.
Hili ni onyo Lissu fanya siasa zako na kina Polepole achana na Wasafi kama unahitaji kuungwa mkono na watoto wa mjini.
Utakuta hata Lisu nae ana mawazo mfu kama haya akilini mwake!Lissu vs chadema haiwezi humiza kichwa na media ikiwemo Wasafi ,bland ya CHADEMA inajitosheleza ,media uchaguzi 2020 zilikua mfukoni mwa mwendazake ila bado ccm chin ya mwendazake ukweli wa mziki wanaujua,na mungu anajua
Sasa Wasafi KWA Chadema kitu gani , au kipi chadema itegemee toka kwenu, walitimuliwa TBC kwenye MKUTANO wa kampeni na bado Mambo yakaenda sembuse Wasafi, Chadema ikiamua inaweza anzisha izo Wasafi hata mia hacheni jitutumua wakati hamna effect yoyote kwa lissu na Chadema
Ushindi wapi bana hamjawahi kujitambua njaa tupu, kifupi hawana issue wawape tu mpaka watakapo jotambua siku moja.Hao ndio huwa wanaipa ccm ushindi ila kwa akili zako na kina Lisu unaona hawana impact
Lisu tulimuonya toka anatoka ubelgiji na mimi binafsi nilisema hatapata zaidi ya 20% ya kura zote.Tangu lini umekua mshauri wa mh Tundu lissu na Chadema ,? Wanachama wa chadema wakigawanyika kisa sijui nani uliemtaja,si ndo vizuri ccm inazidi kuimarika Sasa shida yako ipo wapi tena mkuu
Kwako wewe haki ni kitu gani? Haki ni kuwa shabiki wa chadema basi?Siku zote unapokuwa adui wa haki tambua kuwa kila binadamu anapenda haki na anathamini uhuru wake na ule wa wengine, hivyo hats uwe na jeshi, jeshi hilo ndilo lotakalo kuangamiza.
Nguvu na umoja wa umma ndo kila kitu Sasa chama Kama Chadema kipo katika imani za watu au umma,unaanzia wapi itishia na Wasafi mkuu, Lissu ata akipitishwa na chama gombea bland yake vs ya chama inatosha hapaitajiki Wasafi kupata ushindi bali Tume huru basi,Nakuhurumia kwa sababu haulijui jeshi halisi la Wasafi ni kina nani. Labda kama Lissu Hana mpango wa kugombea tena urais. Kama ungelijua jeshi nalolizungumzia ungeskitikia chama chenu.
Lissu nakushauri kabisa achana na habari za Diamond maana vita yake hauiwezi. Diamond anafanya sanaa na anawapa watu burudani.
Team Wasafi ni jeshi kubwa na likishambulia linashambulia kama waveitnamu.
Yeye kuchagua chama cha CCM chama cha watoto wa mjini, kosa lake mpaka wewe na wafuasi wako wa Chadema kumshambulia mitandaoni ni lipi?
Mnahubiri haki ila haki ya wenzenu kuchagua wanachopenda hamuitaki. Huu mbona ni udikteta sasa, siku mkipewa nchi watu wasiounga mkono chama chenu hakuna rangi wataacha ona hapa. Hamna polisi hamna jela ila mnataka kila mtu aamini mnachoamini kwa mabavu akiwa tofauti ni adui.
Beyonce alimpigia Hillary Clinton kampeni za kufa mtu ila Trump akachukua nchi, Trump akumgeuza Beyonce adui wala Republican hawakuanzisha vita na Beyonce kwanza full unyamwezi yani Beyonce support bila kujali vyama.
Lissu na viongozi wa huko dizaini yako mnafanya vijana wa kisasa wasivutiwe na Chadema. Yani kwa kifupi mnatuonyesha nyie sio watu poa, kwenu huko ni vurugu, visasi, ukamanda, usela nnya ndio umejaa mpo so harsh [emoji37][emoji37] mnayafanya maisha kama kitu kigumu sana.
Huyo Ney wenu mnaemsifia mkumbuke jina halisi ni Elibariki wa kulekule sasa kwanini asiwe Chadema.
Hili ni onyo Lissu fanya siasa zako na kina Polepole achana na Wasafi kama unahitaji kuungwa mkono na watoto wa mjini.
Beyonce alimfanyia kampeni Hillary.Kayataka mond, nchi Ina watu wa itikadi tofaufi za vyama, yeye Kama msanii mkubwa alitakiwa ajiongeze kwakutokuwa na upande hasa wakati was chaguzi
Hakatazwi kuwa mwanachama wa chama chochote au kupigia kura chama Fulani
Bali ktk kampeni angekaa pembeni asubiri kupiga kura.
Ujue ktk mafanikio Kuna level nyingi, ukifika level Fulani km ya mond lazima macho yote ya wananchi yakutazama Tena waitikadi tofauti.