Tundu Lissu, vita na Wasafi hutoiweza, utagalagazwa wewe na chama chako

Tundu Lissu, vita na Wasafi hutoiweza, utagalagazwa wewe na chama chako

Siyo kweli kuwa Lissu anataka wasanii wote wawe kama Roma, bali ameeleza sababu za kutomsapoti Sadala. Wanaomsapoti Sadala wanataka kila mtu amsapoti kuonyesha uzalendo kwa kuwa ni Mtanzania mwenzetu kitu ambacho ni upuuzi!

Lissu amesema hawezi kumsapoti mtu ambaye hakuonyesha kukerwa au kuumizwa na maovu ambayo serikali iliwafanyia wananchi wake!

Ushamba ni kijifanya mzalendo kwa kusapoti wale wanaowashangilia watu ambao wametumia madaraka yao vibaya kwa kuwatesa wananchi wenzao.
Tafuteni kiini cha hayo yote ni kigogo sasa nyie mnarukia gari kwa mbele na kigogo alieleza bayana kwamba kwa sababau anashabikia ccm sasa kumbe mnataka kila MTU awafuate nyie kwani nyie ni nani.
 
JIBU HILI,
Wanajeshi Wana vyama, Dimond alitakiwa aishi Kama hao ili kutengeneza mahusiano mazuri na wananchi tasnia aliyonayo.

Mtambue siasa alizofanya magu zilikuwa za uadui na wote waliojiingiza kwenye siasa zile wanachukiwa mpk mwisho wa dahari
Mifano

1. Makonda hatapendwa
2. Sabaya( watu wanashangiria yanayompata)
3. Mnyeti
4. Mwigulu nchemba, uteuzi wake unalamikiwa nk
Walikuwa kwenye siasa za magu
Mfano mwingine kijana Good luck Gosbet, alipoimba wimbo Hauwezi kushinda, wengi tuliupenda lakini alipoitwa na kuzunguka na magu kwenye misafara yake, ikawa ameutia kinyesi wimbo ule
Na umaarufu ukashuka.
mkuu hivi unajua kweli toauti ya mtumishi wa umma na raia wa kawaida? Diamond sio mwalimu, polisi, mwanajeshi, muandishi wa habari wala askari magereza, hivyo ana haki ya kuonesha hisia zake wazi wazi kua yeye mfuasi wa chama fulani...
 
Tafuteni kiini cha hayo yote ni kigogo sasa nyie mnarukia gari kwa mbele na kigogo alieleza bayana kwamba kwa sababau anashabikia ccm sasa kumbe mnataka kila MTU awafuate nyie kwani nyie ni nani.
Na wanaotaka kila mtu amsapoti Sadala wao ni kina nani? Kila mtu avune alichopanda!
 
Siyo kweli kuwa Lissu anataka wasanii wote wawe kama Roma, bali ameeleza sababu za kutomsapoti Sadala. Wanaomsapoti Sadala wanataka kila mtu amsapoti kuonyesha uzalendo kwa kuwa ni Mtanzania mwenzetu kitu ambacho ni upuuzi!

Lissu amesema hawezi kumsapoti mtu ambaye hakuonyesha kukerwa au kuumizwa na maovu ambayo serikali iliwafanyia wananchi wake!

Ushamba ni kijifanya mzalendo kwa kusapoti wale wanaowashangilia watu ambao wametumia madaraka yao vibaya kwa kuwatesa wananchi wenzao.
Lissu anataka Diamond awe kama Roma na Nay Au Bob Marley ndio maana kawataja hapo kwa sababu wanaendana na mitazamo yake ila waliyo na mitazamo tofauti yeye hakubaliani nao ndio maana anasema hamsapoti Diamond. Sasa hiyo ni sababu ya kipumbavu na ni ushamba, mbona kuna watanzania wanamsapoti Burna boy ambaye ni mnigeria na wametoa sababu zao kama mitazamo yao binafsi lakini sio et kwa sababu Diamond hana mtazamo kama ambao wao walitaka wawe nao.
 
Roma na Ney ni Chadema kwa namna ile ile Diamond alivyo CCM! Hawa wamezoea kuwageuza wanachama wao kama wanaharakati huru while ni watu wa ufipa! Ndio maana CCM wakaiga kupitia Musiba wakaanza kulialia.

Tunajua Roma si mwanaharakati ni Chadema na si kitu kibaya! Tatizo ni wanapotaka kugeuzia kibao wale wa CCM! Hivi hawa tukiwapa nchi waliokinyume nao si watapigwa risasi hadhari!

Siasa zina mipaka, wakati wa uchaguzi watu wako huru kusimama na upande wowote ila ajabu watu wa Chadema hugeuza hilo uadui! Leo huko Marekani bado kuna team Biden vs Trump? Watu wameshasahau maisha yanaendelea.
wanachofanya CDM si sawa, kama wameanza kuingiza siasa kwenye muziki muda sio mrefu wataanza kuingiza siasa kwenye makabila na dini. Hii kitu ni hatari sana mtu yupo nje ya nchi na familia yake anakula bata then anapandikiza maneno kwa vitu visivyo na msing wowote.
 
Siasa za kukurupuka ndio madhara yake hayo hamjui kuwa ni haki yake kushabikia chama anachokipenda,mbona kawaida sana nyie vieleele itawaponza kwanza muziki wake na siasa wapi na wapi.
Wewe huelewi hata msingi wa hoja hii, Diamond ana uhuru wake wa kushabikia ccm haina shida, tatizo linakuja ni watu kulazimisha kwenye hiyo tuzo ya BET watu wampigie kura wote, chadema tumesema hatumpigii kwa kuwa kama msanii alishirikiana na watesi wetu na hakukemea maouvu ya dhahiri ya uvunjifu wa haki za watu, ndiyo msimamo wetu ninyi lumumba mpigieni , sisi hatumpigii mwimba nyegezi,Period.
 
Na wanaotaka kila mtu amsapoti Sadala wao ni kina nani? Kila mtu avune alichopanda!
Yeye aliomba kura kwa watanzania na AkumlaImisha mtu aliyewafanya chadema wadandie gari kwa mbele ni kigogo ,watanzania walio wengi hawawezizi kuwa wajinga kama chadema lialia hivi mtu anayeijua siasa utachukia fulani kuwa chadema au tlp au act, nyie wajinga muziki ni burudani uwe chadema ,cuf,ccm,act ukiupenda mziki wa fulani lazima utacheza tu.
 
Timu mond wana matusi kama nyimbo za mond! Hapa hamuwezi kuelewana hata siku moja kati ya watu wanyonge na wenye akili zao.
Msanii anayehamasisha ngono ni wakala wa shetani na hawezi kufanya Toba kwa sababu hawezi kufuta maneno aliyoyaimba na yemezagaa duniani kote. Huyo ana mkataba wa kudumu na mashetani.
 
Wewe huelewi hata msingi wa hoja hii, Diamond ana uhuru wake wa kushabikia ccm haina shida, tatizo linakuja ni watu kulazimisha kwenye hiyo tuzo ya BET watu wampigie kura wote, chadema tumesema hatumpigii kwa kuwa kama msanii alishirikiana na watesi wetu na hakukemea maouvu ya dhahiri ya uvunjifu wa haki za watu, ndiyo msimamo wetu ninyi lumumba mpigieni , sisi hatumpigii mwimba nyegezi,Period.
Weka clip aliyowalazimisha watu kupiga kura,na ndio maana nawaeleza kuwa mumedandia gari kwa mbele kigogo alitoa mtazamo wake na msimamo kuwa diamond anausapoti utawala hivyo atapiga kampeni kumpinga na kumpigia kura burna na ndipo mjadala ulipoanzia mpaka watu wakaanza kuhoji kwa nini kigogo anashawishi watu wasimpigie kura,hapo wapo waliojitokeza kumuombea kura na wale waliopinga na ndio maana nasema yeye aliomba kura kwa watanzania hakutaja chama alafu kigogo akayakuza mpaka kufikia hapa hivyo chanzo ni kigogo wala si diamond.
 
ucongeee kwa hisia kwan alikuthibitishia kuwa yy ni CHADEMA au kwenu kukosolewa yule mwendazake ilikuwa uhaini????achen ushamba bhana
Roma na Ney ni Chadema kwa namna ile ile Diamond alivyo CCM! Hawa wamezoea kuwageuza wanachama wao kama wanaharakati huru while ni watu wa ufipa! Ndio maana CCM wakaiga kupitia Musiba wakaanza kulialia.

Tunajua Roma si mwanaharakati ni Chadema na si kitu kibaya! Tatizo ni wanapotaka kugeuzia kibao wale wa CCM! Hivi hawa tukiwapa nchi waliokinyume nao si watapigwa risasi hadhari!

Siasa zina mipaka, wakati wa uchaguzi watu wako huru kusimama na upande wowote ila ajabu watu wa Chadema hugeuza hilo uadui! Leo huko Marekani bado kuna team Biden vs Trump? Watu wameshasahau maisha yanaendelea.
 
sio "mume" sema "mmedandia gari kwa mbele"...BURNA BOY KWA AFYA YA JAMII
Weka clip aliyowalazimisha watu kupiga kura,na ndio maana nawaeleza kuwa mumedandia gari kwa mbele kigogo alitoa mtazamo wake na msimamo kuwa diamond anausapoti utawala hivyo atapiga kampeni kumpinga na kumpigia kura burna na ndipo mjadala ulipoanzia mpaka watu wakaanza kuhoji kwa nini kigogo anashawishi watu wasimpigie kura,hapo wapo waliojitokeza kumuombea kura na wale waliopinga na ndio maana nasema yeye aliomba kura kwa watanzania hakutaja chama alafu kigogo akayakuza mpaka kufikia hapa hivyo chanzo ni kigogo wala si diamond.
 
Kwel umedhihirisha ww ndio mbwa waheed!!!!hao unaowasema ni wakenya au???mmbna nyie wafuasiwa marehemu bi.Kirembwe watupu hv????
Hivi ni nani amewalazimisha chadema kumpigia kura diamond nyie mumerukia gari kwa mbele baada ya kumuona kigogo katoa msimamo wake, yeye ameomba kura kwa watanzania na si kwa chadema wala lisu mbwa nyie
 
Wabongo tumelogwa na nn? Hao wasafi miziki imekaa kuharibu watoto ukiangalia watetezi wao humu huoni kama wana lugha za staha ni matusi tele kama miziki ya wasafi utawajua na wao ni walewale. Hivi kweli unaenda kupigia kura wanaume waovaa magauni na hereni, miziki ni kusifia ngono, sigara kubwa na visuruali kama vipedo! Hapo anaelimisha na kuburidisha nn kama sio kuharibu watoto wa kiume! Siwezimpigia kura mtu anayewafundisha watu kuzibua mitaro ya wanawake ujinga kabisa! Wajifunze kwa professor J ila sio huo upuuzi wao.
 
Daimond hahitaji Kura za Lissu na genge lake ili ashinde tuzo, ni akili za kipumbavu za kundi lake kuwaaminisha watu eti Daimond kushinda kwake ni Hadi kundi lake limpigie Kura!

Kwanza, ushabiki wa Vyama na ushabiki wa mziki ni vitu viwili tofauti, mtu akiwa chadema ama CCM bado watakutana kwenye upenzi wa mziki Kwa mwana mziki mmoja, ndivyo ilivyo Kwa Daimond, wa chadema watampigia kasoro Lissu na wajinga wachache
 
Kwanza nyimbo zake za kitandani tu hazina lolote la kujifunza. Kmawe kura yangu siwezi kuwapigia wahuni. Angekuwa Christina Shusho ningempa kura.
 
Ukitumia kichwa kufikiri nadhani utamuelwa Tundu....

ila ni bora ukakaa kimya kabisa...
Tundulisu si mungu wala malaika kwamba kila hoja yake iwe ya kusapotiwa na kila mtu,kama yeye alivyotembea nchi yote kuomba kura na ndivyo diamond anayo haki kuomba kura, na hoja ya kwamba analazimisha na uzalendo imetokana na baadhi ya wenye chuki na diamond kusema hawatompigia kura ndipo hao watetezi wa uzalendo walipoibuka lakini ukweli husiopingika no kuwa watu wanachuki binafsi na diamond kwa sababu za kibiashara,siasa na muziki kitu ambacho ni kawaida sana kwenye maisha lakini chuki zingebaki moyoni na sio kuanza kampeni kabisa kushawishi watu wasipige kura wazi wazi ni ujinga na aibu ikizingatiwa hiki si kipindi cha uchaguzi ni masuala ya burudani.
 
Back
Top Bottom