JIBU HILI,
Wanajeshi Wana vyama, Dimond alitakiwa aishi Kama hao ili kutengeneza mahusiano mazuri na wananchi tasnia aliyonayo.
Mtambue siasa alizofanya magu zilikuwa za uadui na wote waliojiingiza kwenye siasa zile wanachukiwa mpk mwisho wa dahari
Mifano
1. Makonda hatapendwa
2. Sabaya( watu wanashangiria yanayompata)
3. Mnyeti
4. Mwigulu nchemba, uteuzi wake unalamikiwa nk
Walikuwa kwenye siasa za magu
Mfano mwingine kijana Good luck Gosbet, alipoimba wimbo Hauwezi kushinda, wengi tuliupenda lakini alipoitwa na kuzunguka na magu kwenye misafara yake, ikawa ameutia kinyesi wimbo ule
Na umaarufu ukashuka.