Tundu Lissu, vita na Wasafi hutoiweza, utagalagazwa wewe na chama chako

Tundu Lissu, vita na Wasafi hutoiweza, utagalagazwa wewe na chama chako

Uzuri watu wanajua kutenganisha burudani na haki, wanaccm ndio huwa hawajui kutenganisha haya mambo. Pigeni propaganda mtakavyo ila Diamond hapewi kura na wapenda haki kwani ameamua kujiunga na kundi la watu waovu wa ccm fullstop. Anejiona shabiki wa Diamond asiipe kura cdm.
Ile tu kuwa nominated ni ushindi kwake,

Lisu na genge lake ndio maana hata kwenye uchaguzi alipata chini ya 20%

Kila mtu ana uhuru wa kuwa chama chochote akipendacho ndio maana hata Marekani msaniii anaweza kumpigia kampeni mtu amtakae.

Hapa kwetu ili uwe mpenda haki inabidi uipende chadema na kuipigia kampeni chadema.

Akili kama hizi wanazo wajinga tu.
 
Huwezi kumlazimisha Daimond awe shabiki wa chadema, hii nchi ni huru, na kila mtu ako na Uhuru wa kushabikia Chama atakacho kama ilivyo Kwa Roma n.k
 
Hebu weka ushahidi hapa wa yeyote yule ndani ya Chadema KUMLAZIMISHA domo awe shabiki wa Chadema. Kukemea maovu dhidi ya Watanzania kama Bomoa bomoa, kubambikiwa kesi na mauaji etc hayamaanishi kufanya hivyo ni kuwa shabiki wa Chadema.
Huwezi kumlazimisha Daimond awe shabiki wa chadema, hii nchi ni huru, na kila mtu ako na Uhuru wa kushabikia Chama atakacho kama ilivyo Kwa Roma n.k
 
Hiyo ni mgonjwa wa akili, mimi niliacha nae kwenye makinikia , taifa lina pigania chake sote tuneemeke yeye akatuambia tusiguse tutafungwa MIGA, hapo hapo nilipiga chini upinzani wa hivi, nchi kwanza Mambo mengine ya vyama ndio yafuate.

USA wana vyama viwili lakini its policies remain the same regardless who is on power, tuna takiwa tuwe na dira na policy moja bila kujali CCM au chadema wako madarakani, angalia hii issue ya diamond kwa tundu lissu na ile hotuba ya mwenyekiti kuhusu kutetea wachaga kutoajiliwa au kutengwa , inaonyesha dhahiri chadema ipo kwa ajilli ya ukanda fulani tu .
Be honest. Wewe ni m-nazi mkubwa wa CCM, period. Siku zote, “the devil is in the details “. Na manazi wa CCM mnakimbilia kauli rahisi rahisi kukwepa ukweli. Lissu mara nyingi ameleezea umuhimu wa kushughulikia masuala yanayohusu mikataba ya kimataifa tuliyosaini kama taifa kwa kuzingatia sheria zake. Kwa kutofanya hivyo tumejikuta tukishindwa kesi kadhaa tulizoshitakiwa na wawekezaji/makandarasi na kulipa faini kubwa au rasilimali zetu kama ndege kushikiliwa. Ndio sababu nguvu kubwa imekuwa ikutumika kuzuia habari zisitoke.
Hii kauli ya “tutashitakiwa MIGA” si ya mtu aliyeenda shule. MIGA si mahakama au jela. Ni mkataba unaosimamia uwekezaji kimataifa. Tanzania imesaini. Lissu alielezea vizuri sana. Na uzuri wenyewe ni kuwa baada ya ile maneno, serikali ilizingatia kikamilifu. Ndio maana yale madai feki ya trilioni 1.4 (noah kwa kila mtz) yaliyeyuka kama mvuke.
Kuhusu USA Republicans na Democrats WANAPISHANA KWA SERA. Sera za Republicans ni kupunguza ukubwa, nguvu na matumizi ya serikali kwenye masuala ya kiuchumi na kijamii na kuimarisha vyombo vya dola (law and order). Aidha, kupunguza kodi, kuimarisha sekta binafsi na kubania uhamiaji hasa toka sthl countries. Sera za Democrats ni kuongeza kodi, matumizi ya serikali kwenye misaada ya kiuchumi (financial rescue packages) kuongeza mishahara (minimum wage limit), huduma za afya (kumbuka Obamacare), uimarishaji miundombinu, kusaidia wanaokimbia nchi nchi zenye ukandamizaji (asylum seekers), kuongeza misaada nchi masikini, nk.
Tanzania uelewa wa wengi kuhusu itikadi, sera, mikakati ni karibia na zero. Ndio maana kuna kauli za kijinga sana (ignorant) kama: “maendeleo hayana chama”, “kugombea fito katika kujenga nyumba moja”, “nilipiga chini upinzani”, “CHADEMA na CCM wote ni sawa”... Kiuhalisia, kwa jinsi uelewa wetu wa haya mambo ulivyo finyu, na ushabiki mkubwa wa propaganda, hatutaweza kuwa na mfumo wa maana wa vyama vingi vya siasa nchini. Multiparty politics are simply doomed here.
 
Andiko refuuu, lakini ni ujinga tupu

Mzee wa MIGA na wewe wote ni walewale, upuuzi tupu

Ni zaidi ya akili kubwa iliyotumika kuwavuta hao mabwana zenu kuja ku negotiate na serikari, sio kama ulivyolidaka wewe na huyo mhuni wenu, 1.4 t. Ni nguvu ya akili kubwa kuwatingisha hao ndugu zenu na baada ya hapo, ushindi uliuona mwenyewe, hakuna cha MIGA wa nduguye, na sasa tunakula matunda yake ukiwamo wewe,
 
Ile tu kuwa nominated ni ushindi kwake,

Lisu na genge lake ndio maana hata kwenye uchaguzi alipata chini ya 20%

Kila mtu ana uhuru wa kuwa chama chochote akipendacho ndio maana hata Marekani msaniii anaweza kumpigia kampeni mtu amtakae.

Hapa kwetu ili uwe mpenda haki inabidi uipende chadema na kuipigia kampeni chadema.

Akili kama hizi wanazo wajinga tu.

Hakuna mtu mwenye shida na uccm wake, hata angekuwa vyama vyote nchini kasoro cdm m, sisi tuna shida na yeye kujihusisha na siasa chafu za Magufuli, kisha kutaka watanzania wote wampigie kura. Kama kuchaguliwa kushindana kwenye hiyo award kwake ni ushindi, hizo kura mnataka apigiwe tena ili iwe nini?

Na kwa taarifa yako kwa hii kelele inayopigwa ya kumpaka shombo, yeye mwenyewe amejua kwamba alijichanganya kwenye siasa za kipuuzi.
 
KIJANA WENU HUYO MASHAIRI YAKE HAYO AKIWASHANGAA KWA NINI MNALALAMIKA UTEKAJI,UNYANYASAJI,MAUAJI NA VYETI FEKI KWA BASHITE ANASEMA BORA AKAE KIMYA SAME IDIOT ALILALAMIKA MAUAJI YA NIGERIA ...USELESS PRICK
acha nikae kimya 1.PNG
acha nikae kimya 2.PNG
acha nikae kimya 3.PNG

acha nikae kimya 1.PNG

acha nikae kimya 2.PNG

acha nikae kimya 3.PNG
 
Huwezi kumlazimisha Daimond awe shabiki wa chadema, hii nchi ni huru, na kila mtu ako na Uhuru wa kushabikia Chama atakacho kama ilivyo Kwa Roma n.k
Wajinga wengi huwa wanawaza nakusema namna hii huyo mtu wenu kuwa ccm sio issue kama mtu anaetegemea kazi zake zinunuliwe au kusikilizwa na watu wote kwanini amechagua upande wa watawala waliokuwa wanaua nakutesa watu ! awali ni je kama aliamini upande aliochagua ndio sahihi kwanini anarudi kwenye jamii ya wapenda haki kuwaomba wamchague...
kwanini asiwaambie ccm wenzie mupigie kura
 
Pumbavu,
Daimond ako CCM tangu chadema ilipoundwa, na hajawahi kutetereka, na utajiri wake tangu muwe adui zake, anakizidi Chama chenu chote, na usinunie kazi yake, huyo ni wa Kimataifa,

Jinga kabisa wewe, roho mbaya haiwezi kutibu chadema na kukifanya kuwa Chama cha wote
 
Andiko refuuu, lakini ni ujinga tupu

Mzee wa MIGA na wewe wote ni walewale, upuuzi tupu

Ni zaidi ya akili kubwa iliyotumika kuwavuta hao mabwana zenu kuja ku negotiate na serikari, sio kama ulivyolidaka wewe na huyo mhuni wenu, 1.4 t. Ni nguvu ya akili kubwa kuwatingisha hao ndugu zenu na baada ya hapo, ushindi uliuona mwenyewe, hakuna cha MIGA wa nduguye, na sasa tunakula matunda yake ukiwamo wewe,

Huyo jamaa amekuzidi kwa hoja, ww huna lolote zaidi ya kupiga Siasa na propaganda mfu hapa jukwaani.
 
Kosa hela ila upewe akili,ulichoandika kuhusu Tundu lisu ni ujinga mtupu na mbaya zaid utakuta eti nyumban kwenu na katika ukoo wenu ww ndio tegemeo

Ni hatar kwa jamii forum na kwa wajinga wachache kama ww
 
Huyu mwenyekigoda msaidizi amefilisika kabisa.Hadi amefikia hatua anagombana na akina Diamond!!!
 
Mkuu maoni ya Lisu ndio maoni ya chadema.

Unapotaka kuleta u diamond kwenye chama huo ni ushamba pia.
Nakuhurumia kwa sababu haulijui jeshi halisi la Wasafi ni kina nani. Labda kama Lissu Hana mpango wa kugombea tena urais. Kama ungelijua jeshi nalolizungumzia ungeskitikia chama chenu.
Wasafi Ni takataka tu. Mi sijawahi waskiliza
 
Tundu Lissu na Chadema walishashindwa mengi.Baada ya uchaguzi mwaka 2015 walihamasishana kutosikiliza nyimbo wasanii wa bongo,wakafeli na matokeo yake Diamond akazidi kupasua anga.

Walishawahi kuhamasishana kugomea laini za voda matokeo yake wao ndio wamezidi kuzinunua.

Sasa hivi wanatangaza kutoshiriki uchaguzi wowote lakini watashiriki chini ya hii hii NEC.

Tundu Lissu na chama chake sio relevant tena,webaki kupiga ramli.

Tundu Lissu yupo chini sana ukimlinganisha na Diamond.
Wapumbavu nyie, raisi wa nchi anayekaa ughaibuni unamlinganisha na takataka
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kaka Goodluck mapenzi hayalazimishwi & uzalendo sio kuunga mkono kila kitu cha nchi yako hata kama hakistahili. @Diamondplatinumz sio Roma Mkatoliki au Ney wa Mitego au mrithi wa Bob Marley. Hajawahi kusimama kwenye haki, au kupinga maovu ya nchi hii. Mimi binafsi simuungi mkono!
View attachment 1807079
Lissu nakushauri kabisa achana na habari za Diamond maana vita yake hauiwezi. Diamond anafanya sanaa na anawapa watu burudani.

Team Wasafi ni jeshi kubwa na likishambulia linashambulia kama waveitnamu.

Yeye kuchagua chama cha CCM chama cha watoto wa mjini, kosa lake mpaka wewe na wafuasi wako wa Chadema kumshambulia mitandaoni ni lipi?

Mnahubiri haki ila haki ya wenzenu kuchagua wanachopenda hamuitaki. Huu mbona ni udikteta sasa, siku mkipewa nchi watu wasiounga mkono chama chenu hakuna rangi wataacha ona hapa. Hamna polisi hamna jela ila mnataka kila mtu aamini mnachoamini kwa mabavu akiwa tofauti ni adui.

Beyonce alimpigia Hillary Clinton kampeni za kufa mtu ila Trump akachukua nchi, Trump akumgeuza Beyonce adui wala Republican hawakuanzisha vita na Beyonce kwanza full unyamwezi yani Beyonce support bila kujali vyama.

Lissu na viongozi wa huko dizaini yako mnafanya vijana wa kisasa wasivutiwe na Chadema. Yani kwa kifupi mnatuonyesha nyie sio watu poa, kwenu huko ni vurugu, visasi, ukamanda, usela nnya ndio umejaa mpo so harsh 😖😖 mnayafanya maisha kama kitu kigumu sana.

Hili ni onyo Lissu fanya siasa zako na kina Polepole achana na Wasafi kama unahitaji kuungwa mkono na watoto wa mjini
Nyimbo pamoja na video za diamond hazina afya kwa watoto wa Tanzania
 
Lazima mkubali uhuru na haki ya kila mtu kuchagua anachopenda na kuamini anachoamini.

Lissu aliamini tukipigania madini yetu tutapelekwa mahakamani za kimataifa JPM aliamini tunaweza kupambana na wazungu na tukagawqna kinachopatikana. Kila mtu aachwe aamini anachoona sawa.

Mnachofanya Chadema ni kama waliompiga risasi Lissu kwa sababu ya kutofautiana mitazamo.
Siwezi kamwe kamwe kumuunga mkono jitu lililo kana baba yake hadharani.

Kwani hayo madini huoni serikali imesalimu amri kwa beberu kuendelea na shughuli ya kuyasafirisha.
JPM aliyashikilia huku akiwa hujui afanye nayo nini.
Tulimwomba tuyayachukue angalau tupandishe thamani nyumba zetu kwa kuyafetulia matufali.

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom