Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No wapi Lissu aliposema kuwa hamuungi mkono kwa vile Mondi ni mwana ccm? Labda tuanzie hapo maana inaonekana una kichwa kigumu mnoSasa hizi hasira zako kwanini usielekeze kutafuta hela ili kuokoa ukoo wako unaoliwa na umasikini kuliko kutukana hovyo hapa?
Sasa diamond kuwa ccm ni kosa?
Mbona duniani huko wasanii wanawapigia kampeni watu wanaowataka je uliwahi kuona mtu aina ya Lisu wanasimama na kuinesha chuki zao kwao?
Lisu ni mbumbumbu wa siasa!
Haya maneno umeyapata wapi?Issue sio hizo hisia zake bali ni huko kutaka hizo hisia zake kwa Magufuli ndio kila mtu awe nazo hizo hizo, yani anataka kila msanii awe kama Roma au Nay sasa huo si ushamba?
Wasiomsapoti Diamond ni wengi tu na sio issue maana kila mtu ana maamuzi yake ila yeye Lissu anaingiza issue zengine kabisa kwamba hakutaka kumuona Diamond kwenye kampeni za Magufuli kwa sababu yeye na Magufuli hawaelewani hivyo ndio sababu ya yeye kutomsapoti Diamond,sasa huo ni ushamba.
Mkuu kuna watu wapumbavu sana kiasi kwamba unashindwa kuelewa humu jf waliingiajeMkuu niwapi Tundu lissu kasema tusimpigie kura Dangote? Tundu anamjibu Goodluck kwamba asilazimishe upendo..ana sissitiza kua uzalendo sio kuunga mkono kila kitu hata kama ni kiovu...anasema Chibu hajawahi simama kwenye haki...maanake chibu anafata maslahi binafsi...pia kasema hata yeye yaani yeye Tundu sio muumini wa Dangote..
Hebu nambie ni wapi kasema tusimpigie kura Dai..au wapi kasema wafuasi wachadema tusipige kura....
Hebu rudi kipindi cha JK kwani Dai hakusupport Chama pendwa!!!!!! uliwahi sikia kiongozi wa upinzani aliinua neno la kusema wazi kua haungi mkoni kundi flani la wasanii? na umejiuliza kwa nn kasema sasa..
Je uliwajiuliza kwa nn Roma alivyotekwa hao wasanii wako walikaa kimya..!!!!!
Kwahiyo acheni kuchanganya siasa na mambo binafsi...
Pumba kubwa kuna mtu hapo juu kafikia kusema eti Biyonce alisapoti Clinton na Trumpa akashinda...hapo unajiuliza huyu anawaza kwa kutumia nn?
Utamlinganisha nyege nyegezi na Lissu?Lisu anapambana na Diamond kumbuka Diamond ameajiri maelfu ya watu huku Lisu akiwa hana legacy nchini na hata jimboni kwake alipowahi kuwa mbunge kwa miaka kumi.Lisu kwa sasa amefugwa na Amsterdam Ubelgiji.
Lissu ni duni mno Mbele ya MondUtamlinganisha nyege nyegezi na Lissu?
Huyo mkata viuno mwisho wa umaarufu wake ni kwenye mabaa.
Na wale wafanyakazi wake wanaofikiri nguvu zao za kazi ni kwa hisani ya Nasibu.
Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
Tuoneshe hiyo sehemu ambayo diamond ametumia nguvu kuomba kura kwanza kama ulivyosemaKwani wewe sii mmoja wa jeshi la wasafi tv.
Kusudi lenu kuanzisha hii post ni nini ila kupingana na wale wanaotaka kutumia haki yao ya kuchagua?
Kwamba eti hawana uzalendo. Uzalendo ni kusimama na taifa hasa haki za wanaodhulumiwa sii kuungana na mtawala dikteta katika kufanyia vurugu haki ya binadamu hadi haki ya kuishi kama alivyo fanya mondi.
Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
Nimeyapata kwa Lissu au hujaona Lissu anavyosema Diamond sio Roma au Bob Marley?Haya maneno umeyapata wapi?
Sijasoma hadi mwisho ila naona unaongea upuuzi mwingi SANAWacheni kelele, hawa wasanii wa hili taifa wanatakiwa kufunzwa iwe kwa mijeledi au vyovyote waache kujipendekeza kwa CCM halafu ukifika wakati wanahitaji kupigiwa kura ili washinde tuzo fulani, wanawaomba watanzania wawachague.
Wanatakiwa wakawaombe CCM wenzao wawapigie hizo kura, wasanii wa Tanzania ni mfano wa wasanii wachovu kiakili ambao hawawazi chochote kingine kinachoisibu jamii iliyowazunguka, zaidi ya kuangalia maslahi yao kwa kujipendekeza kwa mabwana zao.
Sio lazima wew kaa na upambavu wako hata kampani unawaomba wote waliopo Kwenye chama chako na wasiopo Shida iko wapi hapo mangiWajinga wengi huwa wanawaza nakusema namna hii huyo mtu wenu kuwa ccm sio issue kama mtu anaetegemea kazi zake zinunuliwe au kusikilizwa na watu wote kwanini amechagua upande wa watawala waliokuwa wanaua nakutesa watu ! awali ni je kama aliamini upande aliochagua ndio sahihi kwanini anarudi kwenye jamii ya wapenda haki kuwaomba wamchague...
kwanini asiwaambie ccm wenzie mupigie kura
Nasimama na Lissu katika hiliKaka Goodluck mapenzi hayalazimishwi & uzalendo sio kuunga mkono kila kitu cha nchi yako hata kama hakistahili. @Diamondplatinumz sio Roma Mkatoliki au Ney wa Mitego au mrithi wa Bob Marley. Hajawahi kusimama kwenye haki, au kupinga maovu ya nchi hii. Mimi binafsi simuungi mkono!
View attachment 1807079
Lissu nakushauri kabisa achana na habari za Diamond maana vita yake hauiwezi. Diamond anafanya sanaa na anawapa watu burudani.
Team Wasafi ni jeshi kubwa na likishambulia linashambulia kama waveitnamu.
Yeye kuchagua chama cha CCM chama cha watoto wa mjini, kosa lake mpaka wewe na wafuasi wako wa Chadema kumshambulia mitandaoni ni lipi?
Mnahubiri haki ila haki ya wenzenu kuchagua wanachopenda hamuitaki. Huu mbona ni udikteta sasa, siku mkipewa nchi watu wasiounga mkono chama chenu hakuna rangi wataacha ona hapa. Hamna polisi hamna jela ila mnataka kila mtu aamini mnachoamini kwa mabavu akiwa tofauti ni adui.
Beyonce alimpigia Hillary Clinton kampeni za kufa mtu ila Trump akachukua nchi, Trump akumgeuza Beyonce adui wala Republican hawakuanzisha vita na Beyonce kwanza full unyamwezi yani Beyonce support bila kujali vyama.
Lissu na viongozi wa huko dizaini yako mnafanya vijana wa kisasa wasivutiwe na Chadema. Yani kwa kifupi mnatuonyesha nyie sio watu poa, kwenu huko ni vurugu, visasi, ukamanda, usela nnya ndio umejaa mpo so harsh [emoji37][emoji37] mnayafanya maisha kama kitu kigumu sana.
Hili ni onyo Lissu fanya siasa zako na kina Polepole achana na Wasafi kama unahitaji kuungwa mkono na watoto wa mjini
Ukiwa ccm lazima akili ukabidhi mahali.Aisee! Yani hata Lisu nae kaingia huku?
Nae ameenda kwenye ligi za kina Diamond?
Huyu jamaa kumbe hazimtoshi?
Mkuu kwani unatakiwa kupiga kura yako kwenye hilo au wanaamua tu!Diamond asahau hapati tuzo! Huwezi ukajinasibisha na wachawi na majambazi ya ccm halafu utuombe tukupigie kura kenge yeye
wasafi ni misukule ya diamond tu. period!Kaka Goodluck mapenzi hayalazimishwi & uzalendo sio kuunga mkono kila kitu cha nchi yako hata kama hakistahili. @Diamondplatinumz sio Roma Mkatoliki au Ney wa Mitego au mrithi wa Bob Marley. Hajawahi kusimama kwenye haki, au kupinga maovu ya nchi hii...
Nimeona bandiko reeeefuuuuu... nikadhani kuna chochote kumbe "utumbo mtupu" soma vema mistari michache tu ya TL kisha tuliza akili na usome ulichokiandika...Kaka Goodluck mapenzi hayalazimishwi & uzalendo sio kuunga mkono kila kitu cha nchi yako hata kama hakistahili. @Diamondplatinumz sio Roma Mkatoliki au Ney wa Mitego au mrithi wa Bob Marley. Hajawahi kusimama kwenye haki, au kupinga maovu ya nchi hii. Mimi binafsi simuungi mkono!
View attachment 1807079
Lissu nakushauri kabisa achana na habari za Diamond maana vita yake hauiwezi. Diamond anafanya sanaa na anawapa watu burudani.
Team Wasafi ni jeshi kubwa na likishambulia linashambulia kama waveitnamu.
Yeye kuchagua chama cha CCM chama cha watoto wa mjini, kosa lake mpaka wewe na wafuasi wako wa Chadema kumshambulia mitandaoni ni lipi?
Mnahubiri haki ila haki ya wenzenu kuchagua wanachopenda hamuitaki. Huu mbona ni udikteta sasa, siku mkipewa nchi watu wasiounga mkono chama chenu hakuna rangi wataacha ona hapa. Hamna polisi hamna jela ila mnataka kila mtu aamini mnachoamini kwa mabavu akiwa tofauti ni adui.
Beyonce alimpigia Hillary Clinton kampeni za kufa mtu ila Trump akachukua nchi, Trump akumgeuza Beyonce adui wala Republican hawakuanzisha vita na Beyonce kwanza full unyamwezi yani Beyonce support bila kujali vyama.
Lissu na viongozi wa huko dizaini yako mnafanya vijana wa kisasa wasivutiwe na Chadema. Yani kwa kifupi mnatuonyesha nyie sio watu poa, kwenu huko ni vurugu, visasi, ukamanda, usela nnya ndio umejaa mpo so harsh 😖😖 mnayafanya maisha kama kitu kigumu sana.
Hili ni onyo Lissu fanya siasa zako na kina Polepole achana na Wasafi kama unahitaji kuungwa mkono na watoto wa mjini
Tundu lissu ni mwanaharakati na mhanga wa utawala wa CCM.Diamond ni mwanmuziki,mtafuta pesa na anyeangalia maslahi yake zaidi.Hawa ni watu wawili tofauti kama Myahudi na mwanachama wa Chama cha Nazi cha Hitler.Lissu ametoa maoni yake na ni vyema yaheshimiwe lakini kumtishia kuwa wasafi ni jeshi kubwa ni kujidanganya.Ni ukweli usiofichika kuwa wanamuziki wa Tanzania hawajui wanchosimamia.Kaka Goodluck mapenzi hayalazimishwi & uzalendo sio kuunga mkono kila kitu cha nchi yako hata kama hakistahili. @Diamondplatinumz sio Roma Mkatoliki au Ney wa Mitego au mrithi wa Bob Marley. Hajawahi kusimama kwenye haki, au kupinga maovu ya nchi hii. Mimi binafsi simuungi mkono!