Tundu Lissu, vita na Wasafi hutoiweza, utagalagazwa wewe na chama chako

Tundu Lissu, vita na Wasafi hutoiweza, utagalagazwa wewe na chama chako

Diamond alikosea alivyomfanya Bashite mlezi wa Wasafi...na kuongea shit kwa kina Ridhiwani Sasa nchi yao Tena kaufyata Kama mbwa Koko....
 
Sasa hizi hasira zako kwanini usielekeze kutafuta hela ili kuokoa ukoo wako unaoliwa na umasikini kuliko kutukana hovyo hapa?

Sasa diamond kuwa ccm ni kosa?

Mbona duniani huko wasanii wanawapigia kampeni watu wanaowataka je uliwahi kuona mtu aina ya Lisu wanasimama na kuinesha chuki zao kwao?

Lisu ni mbumbumbu wa siasa!
No wapi Lissu aliposema kuwa hamuungi mkono kwa vile Mondi ni mwana ccm? Labda tuanzie hapo maana inaonekana una kichwa kigumu mno
 
Issue sio hizo hisia zake bali ni huko kutaka hizo hisia zake kwa Magufuli ndio kila mtu awe nazo hizo hizo, yani anataka kila msanii awe kama Roma au Nay sasa huo si ushamba?

Wasiomsapoti Diamond ni wengi tu na sio issue maana kila mtu ana maamuzi yake ila yeye Lissu anaingiza issue zengine kabisa kwamba hakutaka kumuona Diamond kwenye kampeni za Magufuli kwa sababu yeye na Magufuli hawaelewani hivyo ndio sababu ya yeye kutomsapoti Diamond,sasa huo ni ushamba.
Haya maneno umeyapata wapi?
 
Mkuu niwapi Tundu lissu kasema tusimpigie kura Dangote? Tundu anamjibu Goodluck kwamba asilazimishe upendo..ana sissitiza kua uzalendo sio kuunga mkono kila kitu hata kama ni kiovu...anasema Chibu hajawahi simama kwenye haki...maanake chibu anafata maslahi binafsi...pia kasema hata yeye yaani yeye Tundu sio muumini wa Dangote..

Hebu nambie ni wapi kasema tusimpigie kura Dai..au wapi kasema wafuasi wachadema tusipige kura....

Hebu rudi kipindi cha JK kwani Dai hakusupport Chama pendwa!!!!!! uliwahi sikia kiongozi wa upinzani aliinua neno la kusema wazi kua haungi mkoni kundi flani la wasanii? na umejiuliza kwa nn kasema sasa..

Je uliwajiuliza kwa nn Roma alivyotekwa hao wasanii wako walikaa kimya..!!!!!

Kwahiyo acheni kuchanganya siasa na mambo binafsi...

Pumba kubwa kuna mtu hapo juu kafikia kusema eti Biyonce alisapoti Clinton na Trumpa akashinda...hapo unajiuliza huyu anawaza kwa kutumia nn?
Mkuu kuna watu wapumbavu sana kiasi kwamba unashindwa kuelewa humu jf waliingiaje
 
Lisu anapambana na Diamond kumbuka Diamond ameajiri maelfu ya watu huku Lisu akiwa hana legacy nchini na hata jimboni kwake alipowahi kuwa mbunge kwa miaka kumi.Lisu kwa sasa amefugwa na Amsterdam Ubelgiji.
Utamlinganisha nyege nyegezi na Lissu?
Huyo mkata viuno mwisho wa umaarufu wake ni kwenye mabaa.
Na wale wafanyakazi wake wanaofikiri nguvu zao za kazi ni kwa hisani ya Nasibu.

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Kwani wewe sii mmoja wa jeshi la wasafi tv.
Kusudi lenu kuanzisha hii post ni nini ila kupingana na wale wanaotaka kutumia haki yao ya kuchagua?
Kwamba eti hawana uzalendo. Uzalendo ni kusimama na taifa hasa haki za wanaodhulumiwa sii kuungana na mtawala dikteta katika kufanyia vurugu haki ya binadamu hadi haki ya kuishi kama alivyo fanya mondi.

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
Tuoneshe hiyo sehemu ambayo diamond ametumia nguvu kuomba kura kwanza kama ulivyosema
 
Diamond asahau hapati tuzo! Huwezi ukajinasibisha na wachawi na majambazi ya ccm halafu utuombe tukupigie kura kenge yeye
 
Wacheni kelele, hawa wasanii wa hili taifa wanatakiwa kufunzwa iwe kwa mijeledi au vyovyote waache kujipendekeza kwa CCM halafu ukifika wakati wanahitaji kupigiwa kura ili washinde tuzo fulani, wanawaomba watanzania wawachague.

Wanatakiwa wakawaombe CCM wenzao wawapigie hizo kura, wasanii wa Tanzania ni mfano wa wasanii wachovu kiakili ambao hawawazi chochote kingine kinachoisibu jamii iliyowazunguka, zaidi ya kuangalia maslahi yao kwa kujipendekeza kwa mabwana zao.
Sijasoma hadi mwisho ila naona unaongea upuuzi mwingi SANA
 
Ushauri wangu tu kama itakuja swala la kupiga kura basi kila mtu awe huru kufanya kile anachoona ni sahihi kwake.

Ila isiwe lazima kumpigia kura kwa kichaka cha uzalendo, uzalendo haujawahi lazimishwa hivyo.

Kama mtu atampigia kura ni haki yake na mtu ambaye hatampigia pia ni haki yake.
 
Wajinga wengi huwa wanawaza nakusema namna hii huyo mtu wenu kuwa ccm sio issue kama mtu anaetegemea kazi zake zinunuliwe au kusikilizwa na watu wote kwanini amechagua upande wa watawala waliokuwa wanaua nakutesa watu ! awali ni je kama aliamini upande aliochagua ndio sahihi kwanini anarudi kwenye jamii ya wapenda haki kuwaomba wamchague...
kwanini asiwaambie ccm wenzie mupigie kura
Sio lazima wew kaa na upambavu wako hata kampani unawaomba wote waliopo Kwenye chama chako na wasiopo Shida iko wapi hapo mangi
 
Kaka Goodluck mapenzi hayalazimishwi & uzalendo sio kuunga mkono kila kitu cha nchi yako hata kama hakistahili. @Diamondplatinumz sio Roma Mkatoliki au Ney wa Mitego au mrithi wa Bob Marley. Hajawahi kusimama kwenye haki, au kupinga maovu ya nchi hii. Mimi binafsi simuungi mkono!
View attachment 1807079
Lissu nakushauri kabisa achana na habari za Diamond maana vita yake hauiwezi. Diamond anafanya sanaa na anawapa watu burudani.

Team Wasafi ni jeshi kubwa na likishambulia linashambulia kama waveitnamu.

Yeye kuchagua chama cha CCM chama cha watoto wa mjini, kosa lake mpaka wewe na wafuasi wako wa Chadema kumshambulia mitandaoni ni lipi?

Mnahubiri haki ila haki ya wenzenu kuchagua wanachopenda hamuitaki. Huu mbona ni udikteta sasa, siku mkipewa nchi watu wasiounga mkono chama chenu hakuna rangi wataacha ona hapa. Hamna polisi hamna jela ila mnataka kila mtu aamini mnachoamini kwa mabavu akiwa tofauti ni adui.

Beyonce alimpigia Hillary Clinton kampeni za kufa mtu ila Trump akachukua nchi, Trump akumgeuza Beyonce adui wala Republican hawakuanzisha vita na Beyonce kwanza full unyamwezi yani Beyonce support bila kujali vyama.

Lissu na viongozi wa huko dizaini yako mnafanya vijana wa kisasa wasivutiwe na Chadema. Yani kwa kifupi mnatuonyesha nyie sio watu poa, kwenu huko ni vurugu, visasi, ukamanda, usela nnya ndio umejaa mpo so harsh [emoji37][emoji37] mnayafanya maisha kama kitu kigumu sana.

Hili ni onyo Lissu fanya siasa zako na kina Polepole achana na Wasafi kama unahitaji kuungwa mkono na watoto wa mjini
Nasimama na Lissu katika hili
IMG-20210603-WA0001.jpg
 
Attachments

  • IMG-20210603-WA0207.jpg
    IMG-20210603-WA0207.jpg
    30.4 KB · Views: 1
Chadema ni madikteta walimpigia kelele JPM kwa sababu aliyajua na kutathibiti, Chadema dawa yao ni CCM kuwa kiongozi akili kubwa tu basi

Hawa jamaa chadema hawafai kbs

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kaka Goodluck mapenzi hayalazimishwi & uzalendo sio kuunga mkono kila kitu cha nchi yako hata kama hakistahili. @Diamondplatinumz sio Roma Mkatoliki au Ney wa Mitego au mrithi wa Bob Marley. Hajawahi kusimama kwenye haki, au kupinga maovu ya nchi hii...
wasafi ni misukule ya diamond tu. period!
 
By The Associated Press
NEW YORK — The BET Awards served as an extension of the voices of Black people protesting in the streets about the inequalities Black people face daily, as artists used their performances to highlight the Black Lives Matter movement, civil rights and the lives of those lost because of police officers, including George Floyd.
DaBaby, with his face pressed against the ground as an officer's knee crippled his neck — replicating the last moments of Floyd’s life — rapped a verse from the Black Lives Matter remix of his hit song “Rockstar." His performance also featured images from protests, a reflection of the current world in the wake of Floyd’s death and the death of others, including Breonna Taylor and Ahmaud Arbery.

Sunday’s show, a virtual event because of the coronavirus pandemic, featured a number of highly produced, well-crafted and pre-taped performances. The BET Awards kicked off with Black artists rapping and singing anthems about the Black experience and fighting for equal rights.
The 12-year-old sensation Keedron Bryant, who turned heads on social media with his passionate performance about being a young Black man in today’s world, started the show with an a cappella performance of his poignant song “I Just Wanna Live,” which earned him a record deal. That was followed by an all-star performance of Public Enemy’s 1989 anthem “Fight the Power,” featuring Nas, Black Thought, Rapsody and YG adding new lyrics to the song, even namedropping Taylor and others.
Michelle Obama highlighted Beyoncé’s commitment to the black community before presenting her with the humanitarian award, saying: “You can see it in everything she does, from her music that gives voice to Black joy and Black pain, to her activism that demands justice for Black lives.”
Beyoncé used her speech to encourage viewers to vote “like our life depends on it" in the upcoming election.

Beyonce accepts the humanitarian award during the BET Awards.

Beyonce accepts the humanitarian award during the BET Awards.BET via AP
“I want to dedicate this award to all of my brothers out there, all of my sisters out there inspiring me, marching and fighting for change. Your voices are being heard and you're proving to our ancestors that their struggles were not in vain. Now we have one more thing we need to do to walk in our true power, and that is to vote," she said. “There are people banking on us staying at home during local elections and primaries happening in states across the country. We have to vote like our life depends on it, because it does."
Sunday’s show celebrated BET's 20th awards show and BET's 40th year as a network. The three-hour event, which aired on CBS for the first time, was hosted by comedian, actress and TV personality Amanda Seales, who starred in several skits, including one about women who identify as “Karen,” a common stereotype and term for racist and privileged white women.

Other artists were political during their performances, including Roddy Ricch, who wore a Black Lives Matter shirt while he rapped, Alicia Keys, Anderson Paak and Jay Rock, as well as brothers SiR and D Smoke, who performed with their mother Jackie Gouché.
Lil Wayne paid tribute to NBA icon Kobe Bryant, who died in January, with a performance of his 2009 song “Kobe Bryant,” weaving in new lyrics. Wayne Brady, in a glittery suit, rolled around on top of a piano as he sang a medley of Little Richard hits.

Nipsey Hussle, who was named best male hip-hop artist and earned the humanitarian award at last year’s BET Awards, won video of the year for “Higher,” a clip he filmed with DJ Khaled and John Legend shortly before he died.

“This is for Nipsey Hussle and hip-hop,” Khaled said in a taped video. “Nipsey Hussle, thank you for working with me on this ‘Higher’ record. I appreciate you. Nipsey’s family, we love you.”
The BET Awards, one of the first awards shows to air virtually, featured performances that were sharp with artsy stage production, giving extra life to the songs being performed. It was a welcomed break from the “living room” and homebound performances hundreds of artists have shared on social media since the pandemic hit in March.
Chloe x Halle, who have successfully performed for various TV shows and events during the pandemic while promoting their new album, gave an epic performance of their songs “Do It" and “Forgive Me." R&B star Summer Walker, who played guitar and sang, was also impressive during her performance, which featured Usher.
Megan Thee Stallion went to the desert with background dancers as she twerked and rapped her No. 1 hit “Savage.” She won best female hip-hop artist, beating out Cardi B and Nicki Minaj.

“Oh my God, I probably recorded this video like 10 times. It feels so crazy doing this from my house,” she said. “I used to watch the BET Awards all the time thinking, ‘One day that’s going to be me going up there accepting my award’ — and now it is.”
Though the BET Awards are technically about handing out trophies, the awards were an afterthought. Ricch won album of the year for his debut album, “Please Excuse Me for Being Antisocial"; Lizzo was named best female R&B/pop artist; and Burna Boy won best international act.
The BET Awards is an annual celebration of Black entertainment and culture, and this year’s ceremony is the first major awards show since the May 25 death of Floyd at the hands of Minneapolis police, which sparked global protests aimed at reforming police actions and removing statues and symbols considered racist from public places.
 
Kaka Goodluck mapenzi hayalazimishwi & uzalendo sio kuunga mkono kila kitu cha nchi yako hata kama hakistahili. @Diamondplatinumz sio Roma Mkatoliki au Ney wa Mitego au mrithi wa Bob Marley. Hajawahi kusimama kwenye haki, au kupinga maovu ya nchi hii. Mimi binafsi simuungi mkono!
View attachment 1807079
Lissu nakushauri kabisa achana na habari za Diamond maana vita yake hauiwezi. Diamond anafanya sanaa na anawapa watu burudani.

Team Wasafi ni jeshi kubwa na likishambulia linashambulia kama waveitnamu.

Yeye kuchagua chama cha CCM chama cha watoto wa mjini, kosa lake mpaka wewe na wafuasi wako wa Chadema kumshambulia mitandaoni ni lipi?

Mnahubiri haki ila haki ya wenzenu kuchagua wanachopenda hamuitaki. Huu mbona ni udikteta sasa, siku mkipewa nchi watu wasiounga mkono chama chenu hakuna rangi wataacha ona hapa. Hamna polisi hamna jela ila mnataka kila mtu aamini mnachoamini kwa mabavu akiwa tofauti ni adui.

Beyonce alimpigia Hillary Clinton kampeni za kufa mtu ila Trump akachukua nchi, Trump akumgeuza Beyonce adui wala Republican hawakuanzisha vita na Beyonce kwanza full unyamwezi yani Beyonce support bila kujali vyama.

Lissu na viongozi wa huko dizaini yako mnafanya vijana wa kisasa wasivutiwe na Chadema. Yani kwa kifupi mnatuonyesha nyie sio watu poa, kwenu huko ni vurugu, visasi, ukamanda, usela nnya ndio umejaa mpo so harsh 😖😖 mnayafanya maisha kama kitu kigumu sana.

Hili ni onyo Lissu fanya siasa zako na kina Polepole achana na Wasafi kama unahitaji kuungwa mkono na watoto wa mjini
Nimeona bandiko reeeefuuuuu... nikadhani kuna chochote kumbe "utumbo mtupu" soma vema mistari michache tu ya TL kisha tuliza akili na usome ulichokiandika...
Mapenzi hayalazimishwi... hivyo hukatazwi kula matango pori... 😀 😀
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kaka Goodluck mapenzi hayalazimishwi & uzalendo sio kuunga mkono kila kitu cha nchi yako hata kama hakistahili. @Diamondplatinumz sio Roma Mkatoliki au Ney wa Mitego au mrithi wa Bob Marley. Hajawahi kusimama kwenye haki, au kupinga maovu ya nchi hii. Mimi binafsi simuungi mkono!
View attachment 1807079
Lissu nakushauri kabisa achana na habari za Diamond maana vita yake hauiwezi. Diamond anafanya sanaa na anawapa watu burudani.

Team Wasafi ni jeshi kubwa na likishambulia linashambulia kama waveitnamu.

Yeye kuchagua chama cha CCM chama cha watoto wa mjini, kosa lake mpaka wewe na wafuasi wako wa Chadema kumshambulia mitandaoni ni lipi?

Mnahubiri haki ila haki ya wenzenu kuchagua wanachopenda hamuitaki. Huu mbona ni udikteta sasa, siku mkipewa nchi watu wasiounga mkono chama chenu hakuna rangi wataacha ona hapa. Hamna polisi hamna jela ila mnataka kila mtu aamini mnachoamini kwa mabavu akiwa tofauti ni adui.

Beyonce alimpigia Hillary Clinton kampeni za kufa mtu ila Trump akachukua nchi, Trump akumgeuza Beyonce adui wala Republican hawakuanzisha vita na Beyonce kwanza full unyamwezi yani Beyonce support bila kujali vyama.

Lissu na viongozi wa huko dizaini yako mnafanya vijana wa kisasa wasivutiwe na Chadema. Yani kwa kifupi mnatuonyesha nyie sio watu poa, kwenu huko ni vurugu, visasi, ukamanda, usela nnya ndio umejaa mpo so harsh 😖😖 mnayafanya maisha kama kitu kigumu sana.

Hili ni onyo Lissu fanya siasa zako na kina Polepole achana na Wasafi kama unahitaji kuungwa mkono na watoto wa mjini
Tundu lissu ni mwanaharakati na mhanga wa utawala wa CCM.Diamond ni mwanmuziki,mtafuta pesa na anyeangalia maslahi yake zaidi.Hawa ni watu wawili tofauti kama Myahudi na mwanachama wa Chama cha Nazi cha Hitler.Lissu ametoa maoni yake na ni vyema yaheshimiwe lakini kumtishia kuwa wasafi ni jeshi kubwa ni kujidanganya.Ni ukweli usiofichika kuwa wanamuziki wa Tanzania hawajui wanchosimamia.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom