Tundu Lissu vs Zitto Kabwe - nani ana uwezo wa kiuongozi?

Lissu ni mtetezi na kiongozi jasiri anayeipambania nchi yake kufa na kupima,.

Zitto anachomzidi lisu ni mambo yajadi, ubinafsi na uzandiki!!

Taja jambo lakutetea wananchi aliyofanya zito?

Tumapicha hata akisaidia ombaomba..

Zito ni mdee wa kiume fulustopu
 
kweli ile sio siasa. kugalagala barabarani zee zima eti hatuondoki hapa then baadae linadanganywa kidogo tu linaondoka [emoji1787] ile kweli harakati siasa gani iko vile
Si bora yeye ana hata huo uthubutu kuliko wewe keyboard warrior umejificha kwa fake ID hapa.
 
Kama Magufuli na JK waliweza kuwa maraisi wa nchi hii, huwezi kusema kuna vigezo maalum vinaangaliwa.

Labda hicho kigezo cha kulinda marais wastaafu.

Na hapo ndio ilipo sifa ya kuwa rais wa nchi hii ili ulinde uchafu wa viongozi wastaafu.
 
Hivi ni nini tafsiri ya hili neno matusi- hebu nieleweshi bandugu…linanichanganya sana…
Matusi ni kitendo cha kuongea lugha za kutojipendekeza kwa viongozi walioko madarakani, hata kama wako madarakani kwa wizi wa kura.
 
neno lolote lisilo la kiungwana dhidi ya mwingine ni tusi.

matusi husababisha mafarakano, mapigano hadi maafa pia.

Mfano rahisi kutamka maneno yasiyo ya kiungwana dhidi mama mzazi wa mwingine. kitakachotokea ndio madhara ya tusi.
Ila wizi wa kura ni sifa ya kuigwa. Huwa nashangaa sana mtu anayeingia madarakani kwa njia za kishenzi, kisha akishapata madaraka kwa njia chafu anaanza kulazimisha aheshimiwe.
 
Inakera sana,alafu wanaenda mbali zaidi nakumkamata mtu walompora ushindi.
 
Salaàm!

Najiuliza mengi na nabaki ktk mabano au cross junction. Urais si nafasi ya kumpa kila mgombea kutokana na sababu kuwa huhitaji MTU makini katika mienendo na maamuzi.

Sasa hata kama opposition wameshinda kwa bahati mbaya ikiwa hao wawili wamegombea kupitia VYAMA tofauti - yupi awezaye kukabidhiwa mhuri wa Moto? Tundu Lissu au Zitto Kabwe?

  • Yupi si muumini wa jino kwa jino?
  • Yupi si mfuasi wa lugha za matusi na awezaye kuunganisha watanzania?
  • Yupi awezaye kukaa meza moja na Marais wenzake wastaafu na kuwalinda?
  • Yupi awezaye kuungwa mkono na jumuiya za kitaifa na kimataifa?

Uchaguzi si furahisha watu, mengi huangaliwa ili kuweka mtengamano miongoni mwa watu.

Ngaika Ndenda
Kigoma
Ww ni wa kigoma unataka tukwambie nn?
 
Samia 25
Polepole 30
Zitto 35
Yani umezunguka wee kutuuliza kumbe lengo lako ni kumweka Home Boy kwa watarajiwa wa Urais.Ila kwa unafiki wa Zitto hapana kwakweli bora tuongozwe na Mbunge Kibajaji tujue moja
 
neno lolote lisilo la kiungwana dhidi ya mwingine ni tusi.

matusi husababisha mafarakano, mapigano hadi maafa pia.

Mfano rahisi kutamka maneno yasiyo ya kiungwana dhidi mama mzazi wa mwingine. kitakachotokea ndio madhara ya
Matusi ni kitendo cha kuongea lugha za kutojipendekeza kwa viongozi walioko madarakani, hata kama wako madarakani kwa wizi wa kura.
Hii tafsiri Ni yako au umeitoa wapi mkuu wangu ?
 
neno lolote lisilo la kiungwana dhidi ya mwingine ni tusi.

matusi husababisha mafarakano, mapigano hadi maafa pia.

Mfano rahisi kutamka maneno yasiyo ya kiungwana dhidi mama mzazi wa mwingine. kitakachotokea ndio madhara ya tusi.
“ Kiungwana maana yake ni nini Na Ni nani anayeamua kwamba neno fulani au sentence Fulani Ni ya kiungwana?
 
Baada ya samia naina Dr Slaa ni kiongoz makini.
 
Salaàm!

Najiuliza mengi na nabaki ktk mabano au cross junction. Urais si nafasi ya kumpa kila mgombea kutokana na sababu kuwa huhitaji MTU makini katika mienendo na maamuzi.

Sasa hata kama opposition wameshinda kwa bahati mbaya ikiwa hao wawili wamegombea kupitia VYAMA tofauti - yupi awezaye kukabidhiwa mhuri wa Moto? Tundu Lissu au Zitto Kabwe?

  • Yupi si muumini wa jino kwa jino?
  • Yupi si mfuasi wa lugha za matusi na awezaye kuunganisha watanzania?
  • Yupi awezaye kukaa meza moja na Marais wenzake wastaafu na kuwalinda?
  • Yupi awezaye kuungwa mkono na jumuiya za kitaifa na kimataifa?

Uchaguzi si furahisha watu, mengi huangaliwa ili kuweka mtengamano miongoni mwa watu.

Ngaika Ndenda
Kigoma
Kiukweli kwa Tanzania si hata Zito, Hakuna wakumlinganisha Tundu Lissu.
 
Salaàm!

Najiuliza mengi na nabaki ktk mabano au cross junction. Urais si nafasi ya kumpa kila mgombea kutokana na sababu kuwa huhitaji MTU makini katika mienendo na maamuzi.

Sasa hata kama opposition wameshinda kwa bahati mbaya ikiwa hao wawili wamegombea kupitia VYAMA tofauti - yupi awezaye kukabidhiwa mhuri wa Moto? Tundu Lissu au Zitto Kabwe?

  • Yupi si muumini wa jino kwa jino?
  • Yupi si mfuasi wa lugha za matusi na awezaye kuunganisha watanzania?
  • Yupi awezaye kukaa meza moja na Marais wenzake wastaafu na kuwalinda?
  • Yupi awezaye kuungwa mkono na jumuiya za kitaifa na kimataifa?

Uchaguzi si furahisha watu, mengi huangaliwa ili kuweka mtengamano miongoni mwa watu.

Ngaika Ndenda
Kigoma
Lisu - Liberal, anajua sheria, siyo mwongo, hana aibu, high disciplined, kibaya Hana heshima

Zitto- haeleweki, msomi mzuri, yupo biased, ana uwezo, nashindwa kusema mnafiki hasa kama tumbo lake linahitaji kushiba. Huyu labda awe waziri
 
Siasa ni upepo.....

Bora ya ndg.Zitto Z.Kabwe....

Tundu Lissu ni "bogus" katika siasa....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Alikuwa anafanyaje huyu anaekuongoza?
IMG_20220511_180942.jpg
 
Back
Top Bottom