kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Si bora yeye ana hata huo uthubutu kuliko wewe keyboard warrior umejificha kwa fake ID hapa.kweli ile sio siasa. kugalagala barabarani zee zima eti hatuondoki hapa then baadae linadanganywa kidogo tu linaondoka [emoji1787] ile kweli harakati siasa gani iko vile
Matusi ni kitendo cha kuongea lugha za kutojipendekeza kwa viongozi walioko madarakani, hata kama wako madarakani kwa wizi wa kura.Hivi ni nini tafsiri ya hili neno matusi- hebu nieleweshi bandugu…linanichanganya sana…
Joined may 2023!dalali wa mabeberu 🤣
Ila wizi wa kura ni sifa ya kuigwa. Huwa nashangaa sana mtu anayeingia madarakani kwa njia za kishenzi, kisha akishapata madaraka kwa njia chafu anaanza kulazimisha aheshimiwe.neno lolote lisilo la kiungwana dhidi ya mwingine ni tusi.
matusi husababisha mafarakano, mapigano hadi maafa pia.
Mfano rahisi kutamka maneno yasiyo ya kiungwana dhidi mama mzazi wa mwingine. kitakachotokea ndio madhara ya tusi.
Inakera sana,alafu wanaenda mbali zaidi nakumkamata mtu walompora ushindi.Ila wizi wa kura ni sifa ya kuigwa. Huwa nashangaa sana mtu anayeingia madarakani kwa njia za kishenzi, kisha akishapata madaraka kwa njia chafu anaanza kulazimisha aheshimiwe.
Upepo wa Lisu ni permanent maana unatoka kwa wananchi, na sio kutegemea mbeleko ya vyombo vya dola ama CCM.Siasa ni upepo.....
Bora ya ndg.Zitto Z.Kabwe....
Tundu Lissu ni "bogus" katika siasa....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa, kiongozi ni yule anayetegemea wizi wa kura kukaa madarakani.Lissu hajawahi kuwa kiongozi...Lissu ni mwanaharakati tu...
Ww ni wa kigoma unataka tukwambie nn?Salaàm!
Najiuliza mengi na nabaki ktk mabano au cross junction. Urais si nafasi ya kumpa kila mgombea kutokana na sababu kuwa huhitaji MTU makini katika mienendo na maamuzi.
Sasa hata kama opposition wameshinda kwa bahati mbaya ikiwa hao wawili wamegombea kupitia VYAMA tofauti - yupi awezaye kukabidhiwa mhuri wa Moto? Tundu Lissu au Zitto Kabwe?
- Yupi si muumini wa jino kwa jino?
- Yupi si mfuasi wa lugha za matusi na awezaye kuunganisha watanzania?
- Yupi awezaye kukaa meza moja na Marais wenzake wastaafu na kuwalinda?
- Yupi awezaye kuungwa mkono na jumuiya za kitaifa na kimataifa?
Uchaguzi si furahisha watu, mengi huangaliwa ili kuweka mtengamano miongoni mwa watu.
Ngaika Ndenda
Kigoma
Yani umezunguka wee kutuuliza kumbe lengo lako ni kumweka Home Boy kwa watarajiwa wa Urais.Ila kwa unafiki wa Zitto hapana kwakweli bora tuongozwe na Mbunge Kibajaji tujue mojaSamia 25
Polepole 30
Zitto 35
neno lolote lisilo la kiungwana dhidi ya mwingine ni tusi.
matusi husababisha mafarakano, mapigano hadi maafa pia.
Mfano rahisi kutamka maneno yasiyo ya kiungwana dhidi mama mzazi wa mwingine. kitakachotokea ndio madhara ya
Hii tafsiri Ni yako au umeitoa wapi mkuu wangu ?Matusi ni kitendo cha kuongea lugha za kutojipendekeza kwa viongozi walioko madarakani, hata kama wako madarakani kwa wizi wa kura.
“ Kiungwana maana yake ni nini Na Ni nani anayeamua kwamba neno fulani au sentence Fulani Ni ya kiungwana?neno lolote lisilo la kiungwana dhidi ya mwingine ni tusi.
matusi husababisha mafarakano, mapigano hadi maafa pia.
Mfano rahisi kutamka maneno yasiyo ya kiungwana dhidi mama mzazi wa mwingine. kitakachotokea ndio madhara ya tusi.
Siasa ni kusainishwa mikataba ya kilofa pasipo hata kuisomaLissu hajawahi kuwa kiongozi. Lissu ni mwanaharakati tu.
Kiukweli kwa Tanzania si hata Zito, Hakuna wakumlinganisha Tundu Lissu.Salaàm!
Najiuliza mengi na nabaki ktk mabano au cross junction. Urais si nafasi ya kumpa kila mgombea kutokana na sababu kuwa huhitaji MTU makini katika mienendo na maamuzi.
Sasa hata kama opposition wameshinda kwa bahati mbaya ikiwa hao wawili wamegombea kupitia VYAMA tofauti - yupi awezaye kukabidhiwa mhuri wa Moto? Tundu Lissu au Zitto Kabwe?
- Yupi si muumini wa jino kwa jino?
- Yupi si mfuasi wa lugha za matusi na awezaye kuunganisha watanzania?
- Yupi awezaye kukaa meza moja na Marais wenzake wastaafu na kuwalinda?
- Yupi awezaye kuungwa mkono na jumuiya za kitaifa na kimataifa?
Uchaguzi si furahisha watu, mengi huangaliwa ili kuweka mtengamano miongoni mwa watu.
Ngaika Ndenda
Kigoma
Lisu - Liberal, anajua sheria, siyo mwongo, hana aibu, high disciplined, kibaya Hana heshimaSalaàm!
Najiuliza mengi na nabaki ktk mabano au cross junction. Urais si nafasi ya kumpa kila mgombea kutokana na sababu kuwa huhitaji MTU makini katika mienendo na maamuzi.
Sasa hata kama opposition wameshinda kwa bahati mbaya ikiwa hao wawili wamegombea kupitia VYAMA tofauti - yupi awezaye kukabidhiwa mhuri wa Moto? Tundu Lissu au Zitto Kabwe?
- Yupi si muumini wa jino kwa jino?
- Yupi si mfuasi wa lugha za matusi na awezaye kuunganisha watanzania?
- Yupi awezaye kukaa meza moja na Marais wenzake wastaafu na kuwalinda?
- Yupi awezaye kuungwa mkono na jumuiya za kitaifa na kimataifa?
Uchaguzi si furahisha watu, mengi huangaliwa ili kuweka mtengamano miongoni mwa watu.
Ngaika Ndenda
Kigoma
Alikuwa anafanyaje huyu anaekuongoza?Siasa ni upepo.....
Bora ya ndg.Zitto Z.Kabwe....
Tundu Lissu ni "bogus" katika siasa....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app