Tundu Lissu vs Zitto Kabwe - nani ana uwezo wa kiuongozi?

Sasa wenzio wanagawa bandari buree kwa wanaume mpaka kiama. Wamewafukuza wamasai kwao kwaajili ya hela. Nani bora anaetukana au anetupoteza.
Bandari haikugawiwa bali imewekezwa under win win situation
 

Mkuu unamlinganisha Lissu na Kabwe kwenye haiba ya uongozi? Very interesting .

Well! Lissu ni mwanaharakati na sio kiongozi.

Lissu is not a presidential material.

Ana akili ya darasani zaidi kuliko hekima na busara.

Lissu anaweza kufit kwenye cheo cha waziri mkuu, waziri wa katiba na sheria au Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, lakini kwa ngazi ya Urais? A very loud No!

Zitto is a good fit for a president kwa sababu.

1. Ana hekima n.a. busara za kiuongozi.

2. He is diplomatic

3. He is a presidential material.

4. He is living ahead of his time. Maamuzi anayo fanya Zitto now mtu wa akili ya kawaida anaweza kuelewa mantiki yake after 4 to 5 years or even ten years.


So I will vote for Zitto over Lissu any day any time, anywhere any how.
 
Zitto ni mwanasisa Lissu ni mwanaharakati Zitto anafata upepo wa siasa Lissu anafata Mihemko ya siasa Zitto analow IQ Lissu anahigh IQ Zitto anafikiria kabla ya kuongea Lissu anatabia ya kuropoka wote wawili ni opportunistic, wote wawili ni vinyonga, wote wawili ni vibaraka,wote wanatabia ya kujipendekeza kwa maslahi yao binafsi.
 
Good analysis, watanzania wamekusikia - Lissu aione hii. Uwazi wenu ni mzuri
 
Acha kumlimganisha Lissu na makaratasi ya maandazi!
Lissu ni mavi tu hana busara hata kidogo huwezi kumpa uongozi mtu anaeendeshwa na mawazo kutoka nje na mtu mwenye uraia wa nchi Nyengine kwanza familia yake yote yaani mke na watoto wako nje wanaishi kwa posho ya mabeberu hatuwezi kabisa kumuamini huwezi kabisa kumfananisha zitto na huyo kibaraka wa mabeberu.
 

..Katiba ndio inadhibiti viongozi.

..Tuandike Katiba inayolinda haki na rasilimali zetu.

..Kutegemea Lissu adhibitiwe na kiongozi aliye juu yake ni kucheza kamari mbovu. Vipi ikiwa huyo aliye juu yake ana tabia za kuogofya zaidi ya Lissu?
 

Wote ni matakataka tu, hakuna mwenye ueezo hapo!
 


Nani kati ya Ngomba na Simba atakuu mkikutana naye usiku? Hilo ndo swali lako.
 
Wote wanaweza kuongoza.Kwasababu kuongoza ni kusimamia na kuhakikisha taratibu na sheria zilizoko zinafuatwa.Kuongiza sio jambo kubwa kama utafwata misingi ya kile unachotakiwa ukisimamie.
 
ni aibu na fedheha kubwa sana kumlinganisha Zittio na Kamanda Lissu.
Lissu anaaminika, Zitto haaminiki hata chembe!

Lissu haongeki, zitto ni mwepesi mno mno kwa mlungula!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…