gentleman,Jibu hoja mkuu, wewe ni mwizi na mnufaika wa Halmashauri zetu.
Kamanda, kama upo karibu na Mwenyekiti wako wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu, mwambie aje na mikakati ya kuhakikisha uchaguzi wa mwaka huu unakuwa huru, wa haki na pia usio na wizi wa kura!Amri hiyo kabambe iliyojaa Ukakamavu imetolewa leo na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu mjini Manyoni
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3237038View attachment 3237040
UJUMBE-NO REFORM NO ELECTION
Kwa nini mlitaka kumuua.gentleman,
huyo awababishe na kuwahaadaa ninyi wenyewe na unyumbu wenu, but kama taifa, kibaka hawezi kuskizwa ana puuzwa tu na mabo yanaisha
Mpwayungu Village amesikia atawafikishia ujumbe walimu wenzakeKama Mwenyekiti wa Chadema
Hayo uliyoeleza ndio maagizo ya Kamati KuuKamanda, kama upo karibu na Mwenyekiti wako wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu, mwambie aje na mikakati ya kuhakikisha uchaguzi wa mwaka huu unakuwa huru, wa haki na pia usio na wizi wa kura!
Kutoa matamko tu, tena yasiyo nguvu ya kisheria! haisaidii chochote! Hao walimu na watendaji wa Vijini/Kata, Bosi wao ni DED ambaye amepewa mamlaka na Tume ya uchaguzi kusimamia huo uchaguzi! Sasa katika hali ya kawaida, kuna mwalimu au mtendaji mwenye ujasiri wa kumkatalia Bosi wake akimu assign kazi ya kusimamia huo uchaguzi, na pia kuhakikisha ccm inashinda?
Anachotakiwa kufanya Kamanda Lissu kwa sasa ni kuangalia ni kwa namna gani serikali ya ccm itakubali uchaguzi kuwa huru na wa haki!! Na siyo kupiga tu kelele na kutoa matamko ya kufikirika. Watu wanataka vitendo! Na siyo maneno mengi.
Si ni mwenyekiti wa chademaAnapiga marufuku yeye kama nani?
Kwa niaba ya Watanganyika waliochoka utawala dhalimu wa CCM.Anapiga marufuku yeye kama nani?
tapeliwa kwanza kwa kumchangia pesa kubaka gentleman,Kwa nini mlitaka kumuua.
NaaamKwa niaba ya Watanganyika waliochoka utawala dhalimu wa CCM.
Box la kura lazima liheshimiwe.Amri hiyo kabambe iliyojaa Ukakamavu imetolewa leo na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu mjini Manyoni
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3237038View attachment 3237040
UJUMBE-NO REFORM NO ELECTION
Lisu sio size yako wewe kiroboto tutapeliwa kwanza kwa kumchangia pesa kubaka gentleman,
huna haja kubabaika wala kusingizia mengine
SURE,Lisu sio size yako wewe kiroboto tu
Chura kiziwi wa kizimkazi ni karani tu lakini mnampitisha bila uchaguzi kwa kunyea katiba ya CCM.gentleman,
huyo awababishe na kuwahaadaa ninyi wenyewe na unyumbu wenu, but kama taifa, kibaka hawezi kuskizwa ana puuzwa tu na mabo yanaisha
Vibaka na tapeli wengine wanazurura huko duniani kuombaomba kimatonya,wanauza sura kweli kweli na shungi vichwani Trump kasema no msaada hata ukijua mapenzi ya kipwanipwani. Basi mlichobakiza kuuza mlima Kilimanjaro.tapeliwa kwanza kwa kumchangia pesa kubaka gentleman,
huna haja kubabaika wala kusingizia mengine
Hana hoja anabwabwaja tuAmri hiyo kabambe iliyojaa Ukakamavu imetolewa leo na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu mjini Manyoni
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3237038View attachment 3237040
UJUMBE-NO REFORM NO ELECTION
Tangu awe Mwenyekiti anaongea pumba kama SI mtaalamu wa Sheria.Kamanda, kama upo karibu na Mwenyekiti wako wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu, mwambie aje na mikakati ya kuhakikisha uchaguzi wa mwaka huu unakuwa huru, wa haki na pia usio na wizi wa kura!
Kutoa matamko tu, tena yasiyo nguvu ya kisheria! haisaidii chochote! Hao walimu na watendaji wa Vijini/Kata, Bosi wao ni DED ambaye amepewa mamlaka na Tume ya uchaguzi kusimamia huo uchaguzi! Sasa katika hali ya kawaida, kuna mwalimu au mtendaji mwenye ujasiri wa kumkatalia Bosi wake akimu assign kazi ya kusimamia huo uchaguzi, na pia kuhakikisha ccm inashinda?
Anachotakiwa kufanya Kamanda Lissu kwa sasa ni kuangalia ni kwa namna gani serikali ya ccm itakubali uchaguzi kuwa huru na wa haki!! Na siyo kupiga tu kelele na kutoa matamko ya kufikirika. Watu wanataka vitendo! Na siyo maneno mengi.
Kwahiyo ni heri CCM iendelee kutawala ili ndani ya miaka 5 wapate posho angalau mara 2 au CHADEMA waingie wafanye ulinganifu wa maslahi yao na watumishi wa mashirika ya umma?sasa marupurupu watatoa wapi masikini wakati mshahara wao unaruhusu kula mlo mmoja tu kwa siku