Wewe mwenzangu ni Mkenya?Kwani kuna mahali imeandikwa kwenye katiba au Sheria kwamba lazima walimu wasimamie uchagu?
Ila mitanganyika mingi mipumbavu Sana ndio maana mnatawaliwa na raia wa Oman Tena mwanamke!!
Huyu mhuni vipi? Aende kwa wanaume zake huko Ubelgiji asitusumbue.!!Amri hiyo kabambe iliyojaa Ukakamavu imetolewa leo na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu mjini Manyoni
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3237038View attachment 3237040
UJUMBE-NO REFORM NO ELECTION
UsilieHuyu mhuni vipi? Aende kwa wanaume zake huko Ubelgiji asitusumbue.!!
Hao ni moderator wa jf, Amri iko palepaleMbona kichwa cha habari kimebadilika?Mwanzo si mliandika "amepiga marufuku waalimu kusimamia uchaguzi"?
Akili zimewarudia au ulikuwa ujinga wa utu uzima?
Moderator wanajua ukweli na uhalisia. Wewe unaendeshwa tu na ujinga na wishful thinking.Lissu hana ubavu wa kuamrisha chochote Nchi hii.Hao ni moderator wa jf, Amri iko palepale
We ulitaka apige marufuku kama mmeo ndio umuelewe auuAnapiga marufuku yeye kama nani?
Stay TunedModerator wanajua ukweli na uhalisia. Wewe unaendeshwa tu na ujinga na wishful thinking.Lissu hana ubavu wa kuamrisha chochote Nchi hii.
Hii Dunia imejaa viroja angemalizia kauli yake wasisimamie uchaguzi wa chadema ,sio uchaguzi mkuu wa nchi ya Tanzania .Amri hiyo kabambe iliyojaa Ukakamavu imetolewa leo na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu mjini Manyoni
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3237038View attachment 3237040
UJUMBE-NO REFORM NO ELECTION
walimu sasa!Anapiga marufuku yeye kama nani?
Watasimamia na Mhuni Lissu hana uwezo wa kuwazuia. Kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2020 hata mke wa Heche ambaye ni Mwalimu nae alisimamia! Ahahahahaha!!Amri hiyo kabambe iliyojaa Ukakamavu imetolewa leo na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu mjini Manyoni
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3237038View attachment 3237040
UJUMBE-NO REFORM NO ELECTION
ππππwalimu sasa!
Walimu sasa!, ndio marupurupu yao, nakumbuka kwenye sensa tulipigana vikumbo na walimu wakajiona wao ndio wenye uzoefu wa hizo kazi na wanastahili kupata, hapo ndo niliamini kila ntu Boss eneo lake, mmepanga msatari lakn mnashangaza afisa elimu amepeleka majina mlango wa pembeniWatasimamia na Mhuni Lissu hana uwezo wa kuwazuia. Kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2020 hata mke wa Heche ambaye ni Mwalimu nae alisimamia! Ahahahahaha!!
Maafisa Elimu sidhani kama walihusika na mambo ya sensa mwaka 2022.Walimu sasa!, ndio marupurupu yao, nakumbuka kwenye sensa tulipigana vikumbo na walimu wakajiona wao ndio wenye uzoefu wa hizo kazi na wanastahili kupata, hapo ndo niliamini kila ntu Boss eneo lake, mmepanga msatari lakn mnashangaza afisa elimu amepeleka majina mlango wa pembeni
waliokuwa wasimamizi wakuu wale ambao semina zao zilitangulia walikuwa akina nani?Maafisa Elimu sidhani kama walihusika na mambo ya sensa mwaka 2022.
Kutafuta haki za uchaguzi ni uhuni?Ninamshukuru sana Lissu kwa kauli zake za kihuni zinazoongeza kura za CCM kwenye uchaguzi. Naanza kuona Yericko Nyerere alikuwa sahihi kusema Lissu hafai hata kuongoza tawi la CHADEMA ngazi ya kitongoji.
Kuna Maafisa Elimu Kata na Maafisa Elimu wa Halmashauri ( Msingi na Sekondari). Wewe unamaanisha wepi?waliokuwa wasimamizi wakuu wale ambao semina zao zilitangulia walikuwa akina nani?
hapo unanipa kazi nyingine mkuu, we jua maafisa elimu walihusika, sasa sijui wa kata au wa halmshauri ila ninachojua walihusika katika kusimamia zoezi la sensaKuna Maafisa Elimu Kata na Maafisa Elimu wa Halmashauri ( Msingi na Sekondari). Wewe unamaanisha wepi?