Tundu Lissu: Walimu wasisimamie uchaguzi

Ni kweli hata Sasa hivi waajiriwa wapya Bado hawajapewa Hela Yao ya kujikimu Kwa baadhi ya Halmashauri lakini kupaza sauti imekuwa ngumu wamebaki kulalamika tu chini Kwa chini na Kwa tetesi Hela Tayari zimeshatumwa kwenye Halmashauri zao.
 
Waliopelekwa zanziber kupiga kura kabla ya tarehe rasmi ya kura walikuwa walimu?
Jkt waliopelekwa zanziber kulinda kura kwa ahadi ya kuwapa ajira jwtz walikuwa walimu?
Kina mama ambao hupewa chumvi,kanga na t-shirt huwa ni walimu?
Silinde,katambi,nasari,mdee,bulaya nk nao niwalimu bilashaka!

NB;it seems CHADEMA has failed to identify it's real enemy and it wants to add enemies among it's enemies! We will show them that we are teachers who taught them how to insult us!
 
Walimu ni kundi oga sana ktk utumishi wa umma wanatumika na ccm kwa kuwa ni waoga na maskini wa kipato

Laiti wangejua nguvu yao tungeshapata ukombozi zamani
Bado Kuna mbweha watakuja kuharibu hii post, why asilimia kubwa wanasema ni waoga Inamana tunawasingizia
 
Ni kweli hata Sasa hivi waajiriwa wapya Bado hawajapewa Hela Yao ya kujikimu Kwa baadhi ya Halmashauri lakini kupaza sauti imekuwa ngumu wamebaki kulalamika tu chini Kwa chini na Kwa tetesi Hela Tayari zimeshatumwa kwenye Halmashauri zao.
Acha yateseke machiz ayo
 
Waliopelekwa zanziber kupiga kura kabla ya tarehe rasmi ya kura walikuwa walimu?
Jkt waliopelekwa zanziber kulinda kura kwa ahadi ya kuwapa ajira jwtz walikuwa walimu?
Kina mama ambao hupewa chumvi,kanga na t-shirt huwa ni walimu?
Silinde,katambi,nasari,mdee,bulaya nk nao niwalimu bilashaka!

NB;it seems CHADEMA has failed to identify it's real enemy and it wants to add enemies among it's enemies! We will show them that we are teachers who taught them how to insult us!
Kupiga kura ni haki ya kila mtu, tunachoongea ni kusimamia uchaguzi kura wanaoiba ni Walimu,,, wewe ajenda uliyoleta ni nje ya mada fungua uzi wako
 
Mkuu ni wewe au umepokonywa simu anatumia chizi?? Hujui mawakala wa upinzani huwa wanatolewa na polisi Kwa nguvu kwenye chumba cha kupiga kura?? Ukionekana hutaki rushwa unasimamia kura vizuri za upinzani zisiibiwe unaambiwa una vurugu unasukumwa nje, sasa kusema vituo vingi havina mawakala wa upinzani nakuona hujitambui
Mimi nimeongelea maeneo mengi ya vijijini wakati wa uchaguzi, vyama vya upinzani huwa hawaweki mawakala.

Sasa kama sababu ni kutokana na kutolewa kwao nje ya vituo vya kupigia kura na polisi, mimi huko sihusiki.
 
Kupiga kura ni haki ya kila mtu, tunachoongea ni kusimamia uchaguzi kura wanaoiba ni Walimu,,, wewe ajenda uliyoleta ni nje ya mada fungua uzi wako
Haki ya Kila mtu kivipi ikiwa watu wanatolewa bara na kuoelekwa zanziber ambako hawakujiandikisha! Wajinga Sana nyie msiojua mnachokitafuta Kila siku mnanyanyaswa na askari ila mmekalia kusema walimu walimu,eti walimu maskini mbona familia nyingi za tz zinaishi chini ya dola ikiwemo familia yako kijijini
 
Nilichogundua watu wengi hawawezi kutofautisha profession ya mtu na maendeleo ya mtu binafsi,hakuna uhusiano wa umasikini na ualimu!walimu wengi kupitia ualimu Leo hii ni matajiri na profession zingine wapo masikini tu
 
Hueleweki umeegamia wp, mada kuu ni msimamizi wa kura za wananchi sio wapiga kura (wanajeshi) kuwa mwelewa
 
Nilichogundua watu wengi hawawezi kutofautisha profession ya mtu na maendeleo ya mtu binafsi,hakuna uhusiano wa umasikini na ualimu!walimu wengi kupitia ualimu Leo hii ni matajiri na profession zingine wapo masikini tu
Taja mwalimu Tajiri nikutajie mpemba asiyekula samaki
 
Kiukweli hii kada inashda sababu ni nying...
1. Weng wa walimu n kutoka familia maskin sana...kifikra na kiuchumi
2. Naunga mkono kwasababu ya protocol zao sjui n waoga sana kuchukua hatua mwalim anaweza kutembelewa na mkaguz wa kanda shulen sku hiyo hata mchana hatakula anatetemeka ...
3. Serikali kuna kipindi walikuwa wanachagua failure's ndoo wakasomee ualimu wale cream walikuwa wanaenda kupiga fani zenye mashko.

NB: nilialikwa kama mgen KAHAMA kumuaga mkuu wa shule flan hafla ilifanyikia sehem inaitwa NITESH aseeee jamaaa walimu wanagombana kisa soda na bia...nliondoka kabla hata nusu ya sherehe haijafka..
Kweli kabisa..lakini pamoja na hayo sijui fani zenye mashiko wote tumetoka kwa walimu.Swine
 
Back
Top Bottom